zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Punguza ujuaji si uingie hata google, Iran ilishaanza pigwa blockade tokea 1950s na baada ya blockade wakawekewa vikwazo basically tokea 1979 mpaka leo wamezuiwa kuuza mafuta yao na bidhaa zao popote pale duniani.Kwamba blocked Ina miaka zaidi ya 40 ila haya mahaba, Iran ikipigwa Naval blockade Kwa miezi 6 sijui itakuwaje Leo Iran wanataka US aondoe blocked Ili na wenyewe wafungue Hormuz
Kwahiyo kwa miaka zaidi ya 50 wana operate kwa black market na ndoo mbinu wanayotumja mpaka leo kuuza mafuta na kuingiza bidhaa na nimekuwekea hapo documentary za mwaka huu unachobisha ni nini? Kabla ya kuandika hizi speculation ulikua unajua kuwa kuna reli ya kutoka Tehran mpaka China? Au hujui China ni moja ya trade partners wakuu wa Iran?
Ni vizuri uwe informed kabla ya kuandika mada.