Iran na nguvu zake alizonazo ameshindwa nini kuvunja US Naval blockade?

Iran na nguvu zake alizonazo ameshindwa nini kuvunja US Naval blockade?

Strong force anayo , ila Iran nae apongezwe maana ni mwanaume haswa! Sio wendawazimu wale Venezuela rais anachukuliwa kama kuku na mwewe
Strongh force Kwa mabwege huko sio Kwa Iran , USA walitaka kujaribu kuleta ambacho kimemkuta atakaa asumulie mpaka wajukuu zao wa kizazi Cha Saba kijacho
 
Kobazi siku zote hawajielewi, wafuasi wa mudi ni empty set.
Ila hatujawazidi ninyi vilaza wa grade ya juu kabisa
Kama kujielewa ni kutoa Baraka kwa mashoga na wasagaji kanisani ni bora nisijielewe mpaka naingia kaburini
 
Hujajubu swali langu, why Iran hasivunje US Naval blockade???

US katoka mbaliiiiiiii kapiga kufuli bandari za Iran then unasema US ndo ivunje kwanza blockade ya Iran

Ja Leo Iran wanasema US aondoe blocked yake ndo Hormuz ifunguliwe
Kwani blockade ya USA ipo Iran ama maji ya mbali huko? Ingekua Iran Hana Nguvu basi hizo Meli za USA zingeenda kufungua Hormuz pale.

Pia wengi humu hata Ramani ya Iran hawajui ipoje Tofauti na Reli ambayo umeambiwa huku juu kuhusu Iran, wanayo pia Caspian sea inayounganisha Urusi Na Iran,

fa55c8bad0e242eb7986dc1135b50adb_XL.jpg


Bandari Abbas ambayo Fujo zote zipo hapo ndio Bandari kubwa ila still Wana Bandari 4 (Tatu kubwa north ) na Wana Chabahar ambayo ipo nje ya Hormuz.
 
Iran ana nguvu za kijeshi according to some people, andiko langu sijaja kuzungumza ilo. Iran alifunga mlango bahari wa Hormuz kama kete ya kuiadhibu Dunia. Na alidhani Dunia itamnyenyekea. Iran ilidhani yenyewe na allies wake ndo wangetumia mlango bahari wa Hormuz.

Marekani alipiga calculation ya Hali ya juu Kwa kuweka Naval blockade Kwa bandari za Iran. Hii Naval blockade ni hatari yaani ni hatari kuliko ata kurusha bomu. Iran amejikuta hawezi tumia malango bahari wa Hormuz completely, so yeye alifunga na US kamfungia.

Swali langu ni je nguvu alizonazo Iran ameshindwa ku bleach US naval blockade??

Ana makombora ya kutosha ana Drone lakini US kapaki meli zake hapo Hormuz na hakuna meli ya Iran inayokatiza. Je meli za USA ni unsinkable??

Leo Iran inasema itafungua Hormuz kama US itaondoa Naval blockade.

Mto wa Mbu
USA
Naval blockade ya US haipo kwenye mipaka ya Iran nakusudia kwenye bahari ya Iran, ipo international waters, na huko ni haki ya kila mtu kuko huru na US hawasubutu kusogelea maji ya Iran. Iran ni mwamba ameweza kuishi kwenye vikwazo vya ulimwengu kwa miaka 47 na mziki wake ndo unauona ule.

Hormuz anayeteseka na kuumia ni adui zaidi na zaidi na ww unaona hivyo Iran yeye anatumia Hormuz kama karata yake muhimu kumtia adabu adui.

Wewe jiulize swali dogo tu, US walishambulia Iran wakiwa na malengo ya kubadilisha utawala wa Iran lakini wakaja na ajenda ya nuclear lakini walipobanwa Hormuz mpaka sasa wanatoa mlio na Iran anajua dhati maeneo ya kumtia adabu adui na aila zake. Hile ndio karata muhimu kwa Iran. as long as US wapo International waters haisumbui kwa Iran wacha wakae huko, wanaoumia ni yeye mwenywe na jamaa zake zaidi.
 
Fikiria kwa Namna hii.

Ww una nyumba na geti lako na umejifungia ndani.
Na mtu wa nje akasema sawa. Basi kaa ndan maana Hauruhusiwi kutoka nje.

Hapa nani anaumia zaidi?.
Huyu wa nje hana shida. Anasubiria ww udhoofike ili utoke nje kuomba msaada.

Ishu ilikuwa kudondosha Dola ya Iran. Imeshindikana. Bas sasa ni kuweka vikwazo had Serikali ije mezani na USA wahakikishe Wanayotaka yanafanyika.

Pia naona kuna mgawanyiko. Spika wa Iran vs Jeshi hawako sawa sawa
.na ndio maana unaona sarakasi haziishi.

Ila uwezo wa USA kuipiga Iran na miundo Mbinu yao inayo.
Unataka kusema USA wanashindwa kulipua hizo bandari?.
kipind cha mashambulizi ya kwanza na ya Pili. Iran iliweza kuyazuia?.
Mtu anaweA shambulia hadi Rais wako alipo na akamuua, anapiga kambi yoyote ndani ya nchi ya Iran na kuondoka salama. Anarun operation ya kumuokoa Pilot wake na anafanikiwa bila changamoto yoyote, aiseee US iko mbali sana kuliko Iran.
 
Tukulize na wewe,US pamoja na nguvu zote mnazodai anazo ameshindwa vipi kuung'oa kabisa utawala wa Iran hadi leo na wenyewe ndioo superpower wa Dunia?
 
US ana reserve ya miaka takriban 100 ya mafuta.
Mbona anakokoreka bas kuhusu Homourz, Ni hivi..
US pamoja na reserve aliyonayo ni kwamba yeye atalazimika awe ni supplier mkubwa hivyo stock yake itapungua kwa kasi sana, jeuri aliyonayo ni kwamba kuna vyanzo vyengine duniani ikiwemo hiyo njia kuu ya Hourmoz ambayo 25% ya mafuta duniani hupita hapo, zile nchi ambazo zitakosa kupitia Hormoz watalazimika kununua US ambako nako haitoshi kwa ulimwengu mzima kununua tu stock ya US

Ndio maana US wako buzy sana kutoka Hormoz ifunguliwe au kwa garama yoyote ile kama vita au Diplomasia lakini mlango uwe wazi, Ndio mana Iran wanalijua hilo na ule mlango ndio karata yao muhimu sana kutia adabu nchi za Marekani na aila zake, ni kama vile mtu amekubana mapumbu huwezi kusimama wala kukaa kitako
 
US ana reserve ya miaka takriban 100 ya mafuta.
Ila chakushangaza kwao mafuta yamepanda bei kama kenya na tanzania
Kwahio hio reserve yake haina msaada wowote kwake
Hata ndege zake tuliambiwa haziingia bomu
Hata meli zake tuliambiwa zinakaa baharini hata miaka kumi leo bungeni huko wanalialia
Safari hii hamuna point maana itan kawaeka uchi
 
Mtu anaweA shambulia hadi Rais wako alipo na akamuua, anapiga kambi yoyote ndani ya nchi ya Iran na kuondoka salama. Anarun operation ya kumuokoa Pilot wake na anafanikiwa bila changamoto yoyote, aiseee US iko mbali sana kuliko Iran.
Rubani alo okolewa yuko wapi anaitwa nani
Hata jeshi walitwambia iran hawana ila mpaka sasa wanapita hormuz wakiwa ndotoni tu
 
Mbona anakokoreka bas kuhusu Homourz, Ni hivi..
US pamoja na reserve aliyonayo ni kwamba yeye atalazimika awe ni supplier mkubwa hivyo stock yake itapungua kwa kasi sana, jeuri aliyonayo ni kwamba kuna vyanzo vyengine duniani ikiwemo hiyo njia kuu ya Hourmoz ambayo 25% ya mafuta duniani hupita hapo, zile nchi ambazo zitakosa kupitia Hormoz watalazimika kununua US ambako nako haitoshi kwa ulimwengu mzima kununua tu stock ya US

Ndio maana US wako buzy sana kutoka Hormoz ifunguliwe au kwa garama yoyote ile kama vita au Diplomasia lakini mlango uwe wazi, Ndio mana Iran wanalijua hilo na ule mlango ndio karata yao muhimu sana kutia adabu nchi za Marekani na aila zake, ni kama vile mtu amekubana mapumbu huwezi kusimama wala kukaa kitako
Naomba kwa heshima unlike huo mfano upya kwa herufi kubwa
Nataka niuekee lamination
 
Mfano wa kipuuzi

Huu ndio mfano halisi:
Mtaani kwenu njia ni moja tu yakutokea, halafu Iran Nyumba yake iko karibu ya mwisho wa mtaa, akaamua kuufuga mtaa, wote mnatokea na kutaka kupita mnakula kichapo na kurudi mlikotoka.
Halafu mpumbavu mmoja anajiita US anaenda kusimama mwisho kabisa wa mtaa halafu anasema hapitui mtu, sasa hapo amezuia nini zaidi kuungeza kizuizi kingine
Kwanini US asifungue mtaa kila mtu apite ?
Marekani akizuia huo mtaa iran yeye haumii ?
 
Meli huwa zinasogea kubadilisha positions/locations pale radar zinaponasa ujio wa mizinga, tofauti na bases zilizopo huko ambako huwa wanashambulia sana ni vigumu kuzihamisha.

Ili uweze kupiga kitu chenye uwezo wa kufanya manuva ni lazima uwe karibu nacho au utumie mizinga yenye uwezo wa kubadilisha uelekeo zikiwa safarini.

Yes, Iran amebanwa kutumia njia ya maji, ila vipi kuhusu landlocked countries, huwa wanaishi vipi bila bahari ambapo Iran itashindwa?.
Kutumia nchi kavu kulingana na jiografia ya Iran na sehemu ilipo ina maana gharama za bidhaa kutoka nje zitakuwa ghali mara nne na itapelekea uchumi wa Iran kusambaratika kabisa.
 
Back
Top Bottom