Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Hapana sikuenda shule ila nna uhakika kwenye ukoo wenu hamna anae nikaribia !!!🚶🏿🚶🏿🚶🏿Wewe kweli ulienda shule, mbona hujibu swali..!!!???
Hapana sikuenda shule ila nna uhakika kwenye ukoo wenu hamna anae nikaribia !!!🚶🏿🚶🏿🚶🏿Wewe kweli ulienda shule, mbona hujibu swali..!!!???
Iran iliishasema hata ziungane nchi zote duniani atazipa stahiqqi zao zinazo ztahiqi1. USA ana nguvu ya kijeshi kubwa kuliko Iran
2.Iran akiamua kuvuruga blockade ya USA ataudidimiza kabsaa uchumi wake
3. Akishambulia tu atafanya USA aungwe mkono na mataifa mengi duniani kuliko Hali ilivyo sasa
Iran ilio na vikwazo tokea miaka 70s huko uitishe niniHii kitu ni more than vita yenyewe ni uchumi ulipo nyuma ya hio mvurigano but yet wabongo wengi hawaelewi
Sasa inaumiaje wakati ilitaka kujifungia tokea mwanzoFikiria kwa Namna hii.
Ww una nyumba na geti lako na umejifungia ndani.
Na mtu wa nje akasema sawa. Basi kaa ndan maana Hauruhusiwi kutoka nje.
Hapa nani anaumia zaidi?.
Huyu wa nje hana shida. Anasubiria ww udhoofike ili utoke nje kuomba msaada.
Ishu ilikuwa kudondosha Dola ya Iran. Imeshindikana. Bas sasa ni kuweka vikwazo had Serikali ije mezani na USA wahakikishe Wanayotaka yanafanyika.
Pia naona kuna mgawanyiko. Spika wa Iran vs Jeshi hawako sawa sawa
.na ndio maana unaona sarakasi haziishi.
Ila uwezo wa USA kuipiga Iran na miundo Mbinu yao inayo.
Unataka kusema USA wanashindwa kulipua hizo bandari?.
kipind cha mashambulizi ya kwanza na ya Pili. Iran iliweza kuyazuia?.
Kaka unaelewa nilichoandika au umejibu kwa jazba na hisia, sijasema iran hiv au vile , nazungumzia uchumi ila siajataja nchiIran ilio na vikwazo tokea miaka 70s huko uitishe nini
Endeleeni tu kujidanganya
Anza kujiuliza hili kwanini hormuz haijafunguliwa??Iran ana nguvu za kijeshi according to some people, andiko langu sijaja kuzungumza ilo. Iran alifunga mlango bahari wa Hormuz kama kete ya kuiadhibu Dunia. Na alidhani Dunia itamnyenyekea. Iran ilidhani yenyewe na allies wake ndo wangetumia mlango bahari wa Hormuz.
Marekani alipiga calculation ya Hali ya juu Kwa kuweka Naval blockade Kwa bandari za Iran. Hii Naval blockade ni hatari yaani ni hatari kuliko ata kurusha bomu. Iran amejikuta hawezi tumia malango bahari wa Hormuz completely, so yeye alifunga na US kamfungia.
Swali langu ni je nguvu alizonazo Iran ameshindwa ku bleach US naval blockade??
Ana makombora ya kutosha ana Drone lakini US kapaki meli zake hapo Hormuz na hakuna meli ya Iran inayokatiza. Je meli za USA ni unsinkable??
Leo Iran inasema itafungua Hormuz kama US itaondoa Naval blockade.
Mto wa Mbu
USA
Nadhani haupo informed, kwanza bloackade haijaanza leo ila miaka zaidi ya 40 sasa Iran imewekewa vikwazo kufanya biashara na nchi zingine na Marekani akijua unafanya naye biashara unaweza pigwa sanctions pia.
Kwahiyo Iran ilitengeneza mbinu za kusafirisha mizigo hasa meli za mafuta kwenda kisiri hadi huko katikati ya bahari na kufanya exchange ya mafuta yake na meli za mataifa yanayonunua mafuta yao bila necessarily kufika bandari za nchi husika.
Na documentary kibao zilishafanyika tokea ile blockade ya February kuonyesha meli zilikuwa zinapita kama kawa kwa kutumia mbinu tofauti kuanzia false flags, kuzima transponders, spoofing kwa kufeki AIS signal etc. Kwahiyo tokea blockade ianze Iran inapitisha mafuta kama kawaida.
The blockade is more symbolic than practical.
View: https://youtu.be/zP3OgufvnIY?si=aWadJHQLe6NvPg6L
Meli huwa zinasogea kubadilisha positions/locations pale radar zinaponasa ujio wa mizinga, tofauti na bases zilizopo huko ambako huwa wanashambulia sana ni vigumu kuzihamisha.Mbona hueleweki mkuu, swali Iran kama anaweza piga Kambi za US hadi Jordan why hasipige hizo meli za US maana US anatumia hizo hizo meli kurusha mindege yake na kuitandika Iran
So my question is why Iran hazilipui izo meli? Na Kama kuzishambulia si azizamishe
It is true kajitahidi, US ata Talban waliwadindia, ata Mogadishu Somalia 1994 walichapika,ila haiondoi kuwa US ana strong forcePamoja na yote yake Iran kaonyesha umwamba sana!! Mpaka marekani kapoa anataka maridhiano.
Ni vile tu ushabiki ila Iran kakomaa sana apewe heshima yake anashambuliwa na Israel pamoja na marekani still yupo vizuri.
Nawaza endapo project zake za nuclear toka 1970 huko zingefanikiwa sijui ingekuaje maana Israel alijitahidi kuua scientist wote waliokuwa wapo kwenye payroll ya Iran . Lakini pamoja na yote Iran kaonyesha umwamba
Labda wewe ndio hujaelewa nlichoandikaKaka unaelewa nilichoandika au umejibu kwa jazba na hisia, sijasema iran hiv au vile , nazungumzia uchumi ila siajataja nchi
Labda force of gravity 😁It is true kajitahidi, US ata Talban waliwadindia, ata Mogadishu Somalia 1994 walichapika,ila haiondoi kuwa US ana strong force
Toka ianze iyo blockade mpaka sasa ni miezi mingapi??Narudia Iran ikiwekewa Naval blockade Kwa 6 months sijui Hali itakuwaje wenyewe Leo wanataka US blocked iondoke na wenyewe wafungue Hormuz, Navy blockade ni hatari yaaani ni hatari kuliko ata kurusha mabomu
Iran ana nguvu za kijeshi according to some people, andiko langu sijaja kuzungumza ilo. Iran alifunga mlango bahari wa Hormuz kama kete ya kuiadhibu Dunia. Na alidhani Dunia itamnyenyekea. Iran ilidhani yenyewe na allies wake ndo wangetumia mlango bahari wa Hormuz.
Marekani alipiga calculation ya Hali ya juu Kwa kuweka Naval blockade Kwa bandari za Iran. Hii Naval blockade ni hatari yaani ni hatari kuliko ata kurusha bomu. Iran amejikuta hawezi tumia malango bahari wa Hormuz completely, so yeye alifunga na US kamfungia.
Swali langu ni je nguvu alizonazo Iran ameshindwa ku bleach US naval blockade??
Ana makombora ya kutosha ana Drone lakini US kapaki meli zake hapo Hormuz na hakuna meli ya Iran inayokatiza. Je meli za USA ni unsinkable??
Leo Iran inasema itafungua Hormuz kama US itaondoa Naval blockade.
Mto wa Mbu
USA
German hii hii inayotumia ndege za F-16, F-35, F-15 za marekani German hii hiii ambayao Ina wanajeshi 35,000 wa Marekani, German hii inayotegemea mifumo ya Patriots,kujilinda.Nafikiri swali lako lingekuwa, Marekani inayojitangaza kuwa ndio kinara wa kijeshi Duniani imeshindwaje kufungua mlango wa Hormuz. Binafsi naona Iran imefungua ulimwengu macho kuwa Marekani si chochote kwenye masuala ya kivita. Marekani ikipigana na nchi kama Ujerumani au China itaachwa magofu...Huwa inajipa promo nyiiingi kumbe hakuna kitu
Nakumbuka mwezi July Trump alivyo hudhurika kupokea makumi kama sio mamia ya wanajeshi wa marekani walio uwawa huko Ghaba (Marehemu) katangaza eti, Vita ikiisha Irani itabidi ilipe fidia za wanajeshi wa marekani walio uwawa huko...kama sio kuchanganyikiwa....