Iran na nguvu zake alizonazo ameshindwa nini kuvunja US Naval blockade?

Iran na nguvu zake alizonazo ameshindwa nini kuvunja US Naval blockade?

German hii hii inayotumia ndege za F-16, F-35, F-15 za marekani German hii hiii ambayao Ina wanajeshi 35,000 wa Marekani, German hii inayotegemea mifumo ya Patriots,kujilinda.

Oky America Haina strong military nani ana strong military Russia?

America siraha zake zoote anazifanyia experiment kwenye combat, Ata 1994 Al shabaab walimtandika USA ila haimanishi Al shabaab Ina strong force

Russia kupigana na Ukraine aomba msaada North Korea,Iran na china
German labda ya sasa sio ile ya Adolf Hitler , tangu wajiingize kwenye demokrasia wamekuwa dhaifu , kazi kubwa kuunga mkono mambo ya kijinga kama ushoga .

German ya Hitler miaka ya 44 kurudi nyuma , hawa walikuwa na uwezo wa kuvamia nchi yoyote ile , mpaka Russia alitaka kuvamiwa.
 
German hii hii inayotumia ndege za F-16, F-35, F-15 za marekani German hii hiii ambayao Ina wanajeshi 35,000 wa Marekani, German hii inayotegemea mifumo ya Patriots,kujilinda.

Oky America Haina strong military nani ana strong military Russia?

America siraha zake zoote anazifanyia experiment kwenye combat, Ata 1994 Al shabaab walimtandika USA ila haimanishi Al shabaab Ina strong force

Russia kupigana na Ukraine aomba msaada North Korea,Iran na china
Huenda Russia ikawa ina jeshi imara zaidi kuliko marekani pamoja na shoga zake wakina nato na israhell pia

Kuomba msaada hata marekani kuungana na nato ndio kuomba msaada wenyewe huko kama anaweza asimame mwenyewe uone atakavyo dhalilika

Kuzifanyia experiment kwenye combat sio shida shida inakuja unazifanyia dhidi ya nani na unapata matokeo gani

Combat ambayo hatakuja kuisahau ni hii aloingia chaka anapasuka mpaka anashindwa kufungua hormuz anaimba tu twaarab

Kama Russia kupigana na Ukraine na kuomba msaada kwa Korea na China mataifa yasio zidi matano au kumi ndio udhaifu
Basi nadhani marekani kupigana na libya Afghanistan Iraq na kuomba mmsaada kwa mataifa zaidi ya 30+ sio udhaifu tu ni udhaifu uliopitiliza kabisa
 
Sasa kama Russia ana jeshi Bora zaidi si ashinde vita na Ukraine
 
Sasa kama Russia ana jeshi Bora zaidi si ashinde vita na Ukraine
Kwanza ashinde marekani ambae kwa utashi wako anajeshi bora zaidi kuliko Russia
Russia vita hajashinda ila bado yupo vitani na hakuweka dead line kama super glue
Rais wenu wa super glue alisema itamchukua week sita kumchapa muajemi
Hatimae mwezi unaenda wa saba huu
Nakukumbusha tu mpaka sasa muajemi ni jeshi la mtu mmoja
 
German hii hii inayotumia ndege za F-16, F-35, F-15 za marekani German hii hiii ambayao Ina wanajeshi 35,000 wa Marekani, German hii inayotegemea mifumo ya Patriots,kujilinda.

Oky America Haina strong military nani ana strong military Russia?

America siraha zake zoote anazifanyia experiment kwenye combat, Ata 1994 Al shabaab walimtandika USA ila haimanishi Al shabaab Ina strong force

Russia kupigana na Ukraine aomba msaada North Korea,Iran na china
Kama unafuatilia data za kidunia by 2050 Marekani inaenda kuwa ya tatu kichumi na nguvu za kijeshi
Kinara anaenda kuwa China...
Na kama pia unafuatilia data za kiuchumi na kijeshi zilizopita duniani; kuna (dola) Empire kadhaa zilikuwa na nguvu kuliko Marekani katika kipindi chake na zote zilisha potea; mfano; British Empire, Mongol Empire hata Roman Empire nk

Kwa hiyo hakuna cha ajabu, Marekani inatembea taratiiibu huku walio nyuma yake wanakimbia kama duma/Chita na hawatumii fedha/nguvu zao za kijeshi kizembe; lazima ipitwe muda sio mrefu. Umeona hapa inapelekeshwa na ka nchi kama Irani ambako hata kalikuwa hakafahamiki kijeshi.

Lakini pia, Marekani ikiendelea kuwapa madaraka viongozi wa ajabu ajabu kama huyu wa sasa; nafikiri ndani ya mika 10 China itakuwa imesha chukua nafasi yake......
 
Wewe una Akili kweli !?? USA sindiye mnaye mapema kuwa ni super power na ni undisputed kwanini Iran walivyo ifunga Hormuz USA asiwatwange kama alivyo mfanyia Maduro mpaka Iran waombe Pooh na kufungua Hormuz

Hilo swali ulipaswa kuwa uliza USA maana Wao tuliaminishwa kwamba ndio super power na hakuna wakufanya nae battle aka win

So inakuwaje Leo swali lako ulipeleke Kwa Iran !?
 
Mtoa mada nani anaye kuambia Iran anashindwa kuzizamisha Careers za USA na nani anaye kuambia zipo Hormuz

Iran hawezi kucheza karata zake zote lakini hizo Careers alizipiga mwanzo na zilikimbia zikaenda zingine mpaa kutengenezwa au unajitoa fahamu.

Al Houth walizitandika na zilikimbia pia

Iran anazungumza vile hiyo ni propoganda war sababu USA kaziweka Carriers zake mbali na kule anazuia meli zinazo kwenda Iran na Kutokea Iran na Iran anavuta time anajua vita na USA haishi leo hawezi zipiga hizo Careers ziko mbali afu anacho taka wajiamini kuwa Iran hawezi kuzizamisha ili zisogee karibu hata akizizamisha iwe hakuna wakuja ziokoa kule indian sea zitaokolewa na marafiki zake
Sa mimi nakuliza swali hilo hilo kama USA ana nguvu kwanini kashindwa wazuia Iran wasizuie meli kupita na wewe unadai Carriers za USA zipo Hormuz kwa hio zinafanya nini kama zipo Hormuz ni mapambo tu au 🤣
Huyu jamaa ni mwehu 😂😂

USA ndiye super power according to them inakuwaje ashindwe kumdhibiti Iran asiifunge Hormuz yaani anashindwa kujiuliza swali kama Hilo kweli !? USA anachoogopa ni Nini kumzuia Iran asiifunge Hormuz mbona aliishia vitisho tu !!!
 
kwanini avunje wakati IRAN ndo anatka hapo pawe hivyo,asiyetaka hormuz kufungwa ambaye ni USA ndo alitakiwa avunje blockade ya IRAN kipi huelewi hapo,aliyekuja na mpango wa blockade ni IRAN aliyekuwa na mpango wa ku unblock hapo ni USA au umeanza kufuatilia huo mtanange hapo jana!
😂😂😂
 
Kuna ugumu Fulani kwa Iran ya ku-unblock kama ilivyo ngumu kwa marekani..yaku-unblock Hormuz hapo wote Iran na marekani wanna nguvu za kutosha kumzuia mwingine endapo tu mmoja wapo kamtangulia mwenzie kusimika mahali.....Kwa hiyo mwenye kusafa hapo ni marekani ambaye ametuaminisha Dunia nzima kwamba yeye ni supa powa anaweza kuifungua Hormuz (japo kashindwa)..supa powa ambaye hakuna taifa la kumzuia anapotaka kufanya jambo lake( Iran kamuabisha)
Mtoto mada kalewa 😄

Msameheni Bure
 
Hili swali la ukilaza wa hali ya juu
Yaani Iran afunge Hormuz mpaka ukoo wako uliouucha kule sitimbi wanaipata fresh kwa mfumuko wa bei halafu unabadilisha uhalisia kuwa Iran kafungiwa na US, hivi huu ulokole huwa mnaambiwa mjitoe akili ndio utafikia uzima wa milele
🤣🤣🤣🤣
 
Mfano wa kipuuzi

Huu ndio mfano halisi:
Mtaani kwenu njia ni moja tu yakutokea, halafu Iran Nyumba yake iko karibu ya mwisho wa mtaa, akaamua kuufuga mtaa, wote mnatokea na kutaka kupita mnakula kichapo na kurudi mlikotoka.
Halafu mpumbavu mmoja anajiita US anaenda kusimama mwisho kabisa wa mtaa halafu anasema hapitui mtu, sasa hapo amezuia nini zaidi kuungeza kizuizi kingine
Kwanini US asifungue mtaa kila mtu apite ?
😄😄😄
 
mzee aliyetakiwa kuvunja blockade ya mwenzie ni USA si IRAN,yeye IRAN kaweka block hapo USA kaja kumsaidia kublock hiyo sehemu before USA kumsaidia IRAN hiyo blockade,USA a.k.a SUPERPOWER SIJUI KIRANJA WA DUNIA alitoa countdown na vitisho vizito sijapata kuona kwamba IRAN atoe blockade yake la sivyo atakipatapata,mwisho wa siku kaunga mkono harakati za IRAN za kuifunga hormuz...SWALI KATI YA HAO WAWILI NANI ANA NGUVU NA NANI KASHINDWA KUVUNJA BLOCKADE YA MWENZIE...IRAN kashaonesha haopgopi chochote kuhusu yeyote kwenye hii dunia kitu anachoogopa ni unyonge tu mbele ya PEDOPHILES...kuwaogopa PEDOPHILES NI DHAMBI KUBWA SANA kwa MUNGU BABA
Kobazi siku zote hawajielewi, wafuasi wa mudi ni empty set.
 
Back
Top Bottom