Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
🤣🤣🤣Kutumia nchi kavu kulingana na jiografia ya Iran na sehemu ilipo ina maana gharama za bidhaa kutoka nje zitakuwa ghali mara nne na itapelekea uchumi wa Iran kusambaratika kabisa.
Hivi unafuatilia kweli habari za kimataifa? Nani aliyeblock ? Iran ndio kablock ,juzi vimeli vya mafuta vya UAE vimetandikwa kama chapati, hata sijui unaongelea kitu gani,Iran ana nguvu za kijeshi according to some people, andiko langu sijaja kuzungumza ilo. Iran alifunga mlango bahari wa Hormuz kama kete ya kuiadhibu Dunia. Na alidhani Dunia itamnyenyekea. Iran ilidhani yenyewe na allies wake ndo wangetumia mlango bahari wa Hormuz.
Marekani alipiga calculation ya Hali ya juu Kwa kuweka Naval blockade Kwa bandari za Iran. Hii Naval blockade ni hatari yaani ni hatari kuliko ata kurusha bomu. Iran amejikuta hawezi tumia malango bahari wa Hormuz completely, so yeye alifunga na US kamfungia.
Swali langu ni je nguvu alizonazo Iran ameshindwa ku bleach US naval blockade??
Ana makombora ya kutosha ana Drone lakini US kapaki meli zake hapo Hormuz na hakuna meli ya Iran inayokatiza. Je meli za USA ni unsinkable??
Leo Iran inasema itafungua Hormuz kama US itaondoa Naval blockade.
Mto wa Mbu
USA
Na jana nyengine mbili zimerambishwa mchanga mapema sana yaaaniHivi unafuatilia kweli habari za kimataifa? Nani aliyeblock ? Iran ndio kablock ,juzi vimeli vya mafuta vya UAE vimetandikwa kama chapati, hata sijui unaongelea kitu gani,
Haya hao usa wameshindwa hata kuwapa chakula askari wao kwenye meli yao ya kivita hadi wamecjanganyikiwa wakauana wenyewe kwa wenyewe bado unawaamini kweli?
USA na nguvu alizonazo alishindwa nini kuimaliza hii vita ndani ya wiki 2 kama alivyosema? 😀😀Iran ana nguvu za kijeshi according to some people, andiko langu sijaja kuzungumza ilo. Iran alifunga mlango bahari wa Hormuz kama kete ya kuiadhibu Dunia. Na alidhani Dunia itamnyenyekea. Iran ilidhani yenyewe na allies wake ndo wangetumia mlango bahari wa Hormuz.
Marekani alipiga calculation ya Hali ya juu Kwa kuweka Naval blockade Kwa bandari za Iran. Hii Naval blockade ni hatari yaani ni hatari kuliko ata kurusha bomu. Iran amejikuta hawezi tumia malango bahari wa Hormuz completely, so yeye alifunga na US kamfungia.
Swali langu ni je nguvu alizonazo Iran ameshindwa ku bleach US naval blockade??
Ana makombora ya kutosha ana Drone lakini US kapaki meli zake hapo Hormuz na hakuna meli ya Iran inayokatiza. Je meli za USA ni unsinkable??
Leo Iran inasema itafungua Hormuz kama US itaondoa Naval blockade.
Mto wa Mbu
USA
Ilan ndio niniLeo narudia tena
Hali ni mbaya sana Iran. Leo hela ya ilani ni 2.1m against $1
Naval blockade Trump aliwaza sana, Yaani Kwa hii blockade ameishika kende Iran😁
Endelea kujichekeshaLeo narudia tena
Hali ni mbaya sana Iran. Leo hela ya ilani ni 2.1m against $1
Naval blockade Trump aliwaza sana, Yaani Kwa hii blockade ameishika kende Iran😁
PoleEndelea kujichekesha
Pole na wewePole