Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado una mawazo ya kizamani kuangalia ukubwa wa kitu badala ya ufanisi wake.
Unajua hata ndege za kusafirisha watu na mizigo za masafa marefu sasa zinatumia injini ndogo tu lakini zina ufanisi mkubwa kuliko zile jet engine za zamani.
Sasa ukubwa wa meli za kijeshi za Marekani na wenzake zina umuhimu gani kwa sasa wakati ndege za kivita zinapigwa na droni kabla hazijaruka.
Na sijui una hofu gani ya kukubali kwamba Houth imeshindikana kuwadhibiti wakati makamanda wenyewe wa kijeshi wa wMarekani wameshaliweka wazi hilo baada ya kupata hasara kubwa kuwadondoshea mabomu mazito ya gharama.,Baada ya siku chache wanaonekana kurudia kazi zao za kuzipiga meli zenye uhusiano na Israel