Iran na Uturuki kuunda meli ya kubebea droni kuzipiku meli za kubebea ndege za kivita za Marekani, Urusi na China

Kwamba ilo wazo la kuunda meli za namna hiyo west hawakua nalo siku zote izo una ota wewe
 

Nimi na ww nina uhakika kuna vitu zaid hatuvijui kwenye mgogoro wa mashariki ya kati na bahar nyekundu.. belive me kuna namna marekan na wenzie wanafaidika na mgogoro huo.. ukiangalia kiuhalisia huwez kusema Houth wako same league na Marekan.. hasa ukizingantia Houth sio Nchi maana tayar yemen kumegawanyina..

Kuna zaid ya tunayoyajua.. hasa kwa watu hawa .. Iran, US , Israel, na Asia na Europe.. ila amin nakwambia ukiangalia miaka 10 na ushee iliopita utagundua marekan na wenzie wanaingia vitan kimkakat sana.. wanaweza wakaipanga vita hata 5 years.. rejea Sadam,Ghadafi na wengine.. Sadam alikuwa kama Iran ya sasa aliwapiga mkwara hasa wamarekan na Dunia iliamini Marekan anahofia kumwingia Sadam.. ila US walikuwa wanasubir the right time..

So rafiki amin nakwambia tunachokijua ni kile wanachotaka tukijue .. rudi fanya utafit wa Vita ya Yemen uone kulivyo na mikono mingi.. Saudia naye yupo alikuwa ana swtch upande tu mara asaidie houth mara asaidie yemen govt.. na kumbuka Saudia ni pro US.. urusi pia bila kusahau iran naye yupo Yaan pana vurugu za kibiashara, kidini, kisiasa. Usiamini kila habar hawa mabwana wanaoirusha ziko kimakakat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…