Iran - Nchi inayohofiwa zaidi ulimwenguni na Marekani kuliko Taifa lolote lile duniani

Ayatollah alisema 'punde tu Trump ataondoka'
Trump akajibu 'iran ikijaribu kuniua itapigwa ichakae'
Siku mbili baadae tangazo la kufukuza wairan USA
Ahahaha!!Trump anaogopa kuuliwa na Iran....noma sana≥!!!
 
Bora umemueleza ukweli huyo mshamba wa Nzega, asiejua hata kile alichokiandika hapa JF.
 
Ndege za marekani na israel znaingia iran na kufanya mashambuliz na znatoka ila haziwez zamia urusi, sa nani anayeogopeka urusi au iran? Huyo muogopwaji rais wake alikufa akiwa ndan ya helcopter ya kzaman iliyotengenezwa marekani....
Wewe msukule, hakuna ndege iliyothubutu kuingia katika anga la la Iran hata siku moja. Tumia akili yako vizuri kufikiri, badala ya kulishwa matango pori na wahuni kina Shetaninyau.
 
Ishu ya Exchange rate huathiri zaidi nchi tegemezi inayotrgemea kila kitu kuagiza kutoka nje,
Kwanini unahisi hadi leo tamko la kuipiga Iran halijatekeezwa?
Achana nae huyo mkuu. Mwenzio akili zake ashazikabidhi kwa kina Shetaninyau na Trump.
 
Ahahaha!!Trump anaogopa kuuliwa na Iran....noma sana≥!!!
Just imagine raisi mzima wa Marekani anaogopa kuuliwa na Iran. Halaf wanakuja wajinga humu kuichukulia poa nchi ile.

Nchi zaidi ya 6 ikiwemo Marekani, Israel, UK, Ujerumani, Italy, Uholanzi Ufaransa nk zinatamani kuuangusha utawala wa Iran ambayo haina tegemezi ya taifa lolote, na bado wanamgwaya.
 
Hata kama ndio ushabiki Ila acha kuongea uongo
 
Ndege za marekani na israel znaingia iran na kufanya mashambuliz na znatoka ila haziwez zamia urusi, sa nani anayeogopeka urusi au iran? Huyo muogopwaji rais wake alikufa akiwa ndan ya helcopter ya kzaman iliyotengenezwa marekani....
Ungejua uadui wa Iran na Israel ulivyo wala usingeandika hizi pumba zako!
Yaani Israel apate nafasi ya kutawala anga la Iran atakavyo halafu ashindwe kutumia hiyo nafasi kuigeuza Iran GAZA.

Israel apate nafasi ya kutawala anga la Iran, yaani awe na nafasi ya kuingiza ndege za kivita na kufanya mashambulizi vile anataka halafu afanye tu uamuzi wa kusitisha vita?

Hivi unajua nani alikuwa wa mwisho kumshambulia mwenzake kwenye ile vita ya siku 12?

Inawezekana elimu yako ni ya kubangaiza, lakini jitahidi kujiongeza kidogo aisee!
 
Nilichovomment halihusiani na unachoandika. Matusi ya nini? Matusi hutolewa na mtu ambae si muungwana na asiye na aibu
Ni wapi nlipokutukana? Kusema umebugizwa matango pori ndo umetafsiri kama hilo ni tusi.

Kama haufahamu maana ya matango pori basi ni vyema ungeuliza kuliko kukimbilia kunilaumu.

Kulishwa matango pori maana yake ni kupewa taarifa ya uongo. Au kwa lugha nyingine naweza kusema kudanganywa. Hivyo mimi nilimaanisha ulidanganywa na kina Netanyahu, wala sijakutukana kama ulivyodhani.
 
Nimekuelewa mkuu kuhusu hilo la matango pori, tuje kwenye mjadala kwa nini unasema nimelishwa hayo matango pori?
 
Huyo uliem quite, hana uwezo wa kujibu swali lako hata 1. Shuleni alienda kujifunza kuandika na kusoma tu, haya mengine wala hayafahamu.
 
Nimekuelewa mkuu kuhusu hilo la matango pori, tuje kwenye mjadala kwa nini unasema nimelishwa hayo matango pori?
Ok mkuu.. hilo la matango pori nimelisema kwa sababu umeandika kitu ambambacho hakina uhalisia.
 
Historia uchwara kutoka madrasa.
 
Hata kama ndio ushabiki Ila acha kuongea uongo
Kuna chungu cha uongo kuzidi Israel na washirika wake? Au we unafikiri kama kweli wangekuwa wanaweza kuingia wanavyotaka leo hii Iran ingekuwaje? Juzi tu katika yale maandamano yangefanikiwa kuitoa Serikali madarakani wangeingia na kupiga kila sehemu ya ile nchi ila ndiyo hivo mahesabu yalienda kombo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…