Iran - Nchi inayohofiwa zaidi ulimwenguni na Marekani kuliko Taifa lolote lile duniani

Iran - Nchi inayohofiwa zaidi ulimwenguni na Marekani kuliko Taifa lolote lile duniani

bro unapoteza muda kwa hao jamaa wa mudi linapofka swala linalogusa dini yao hawawez kubali bora waseme uwongo ili mrad wawe tu wamepnga na wametetea knacholinda dini yao....wao israel kwao ni kheri shetani, ajabu wanajiaminisha seriously iran inaweza pgana na marekani na ikashnda seriously kbs aaahaahaaah yote ksa nn dini kwmb iran ana ufuasi wa dini yao. Kama urusi na china wamegwaya khs venezuela wanadhan wamependa? Hapana wanaijua nguvu ya marekani kijesh lingekuwa taifa lingne limevamia venezuela hakika urusi na china wasngekubali wangemfurusha mvamizi.
Madhara ya kula nguruwe minyoo inapanda hadi kichwani
 
Kuna mambo yapo wazi lakini inashangaza mtu anabisha.
Jamaa anasema hakuna ndege za Israel ziliingia Iran, ziliishia Iraq zikawa zinashambulia zikiwa Iraq. Fikiria sasa umbali kutoka Iraq mpaka Tehran au mpaka bandar abbas ni karibu kilomita 2000, sijui bomu gani hilo linaweza kurushwa na ndege likaenda kupiga umbali wa kilomita 2000
 
Wabongo bana😛 yani USA iihofie shithole iliyochangamka? We nani kakwambia? mwegulu? au mwashambwa?
 
Wewe tayari una upande umechagua kushabikia, lakini unanipa mimi angalizo nisichague upande, seriously!?
Siwezi kuchagua upande sababu sifaidiki wala sipati hasara kwa yoyote Kati ya marekani, Israel au Iran au Russia.

Lakini hilo haliwezi kuondoa ukweli pale napoona kuna uongo unaingia katikati
 
Mkuu uongo unategemea na mapenzi yako yalipo, pale mapenzi yako yalipo ukisikia uongo utaona ni ukweli na pale ambapo hayapo ukisikia ukweli utahisi uongo.

Turudi kwenye mjadala. Unamaanisha kuwa israel haijaingia Iran na kushambulia? Sijakuelewa vizuri hadi sasa
Unasema wangeshambulia Iran ingekuwaje? Hivi unajua Iran ilipoteza vingapi kutokana na ile vita ya siku 12? Unajua kuwa kuwa fordow, Isfahan na natanz palikuwaje? Unajua ni mamia ya Askari wangapi walifariki?
Acha kujipa umuhimu wa kipuuzi kama ulikuwepo, nataka nipime ubongo wako kati ya Iran na Israel nani aliomba vita iishe?? Yaan kwa logic ya kawaida upige adui harafu wewe unae piga ndio uombe vita viishe??

NDIO MAANA MZUNGU MNASEMAJE YESU😃😀😂😀😃
 
Hakuna nspojipa umuhimu kila mtu anachangia pale anapoona

Turudi kwenye mjadala
Unasema nani aliomba vita iishe? Kwa nini vita iishe wakati Iran lengo lake ni kuiangamiza na kuifuta Israel? Iran kwa nini akubali vita iishe ikiwa angeweza kuiangamiza Israel?

Iran anaumizwa na wanaofanyiwa palestina, kwa nini Iran hakutumia hii chance kuiangamiza kabisa israel ili kuwaokoa Palestine?

Israel bado inaendelea kuua wapelestina, kwa nini Iran isiiangamize Israel ili kuwaokoa wapalestina?

Hayo ni maswali naamini tutajadiliana vizuri
 
Madhara ya kula nguruwe minyoo inapanda hadi kichwani
we endelea kuinua kiuno juu upate sugu la utosi uchuchumilie mito ya gongo na wanzuki na malaya 72 uko peponi, bila kusahau kuua watu wengne wasiotaka imani yenu, kumpgania allah mungu fake anayepganiwa kwa damu na nyama za wanadamu, usisahau na kuunda vikund vya kijesh ili mpndue serikali halali msimike ya kdini maana hayo ndo mambo yenu....
 
Kuna mambo yapo wazi lakini inashangaza mtu anabisha.
Jamaa anasema hakuna ndege za Israel ziliingia Iran, ziliishia Iraq zikawa zinashambulia zikiwa Iraq. Fikiria sasa umbali kutoka Iraq mpaka Tehran au mpaka bandar abbas ni karibu kilomita 2000, sijui bomu gani hilo linaweza kurushwa na ndege likaenda kupiga umbali wa kilomita 2000
kwaiyo lile dege BOMBER B2 aka popo, likiwa na washkaji zake F22 RAPTOR, F16, F35 lilishambulia likiwa iraq likapga pale kwny manyukilia au siyo, kama hlo dude na washkaji zake lilikuwa anga la iran bs hata myahudi na ndege zake alikuwepo hayo mengne kubshana ni upuuz tu.
 
we endelea kuinua kiuno juu upate sugu la utosi uchuchumilie mito ya gongo na wanzuki na malaya 72 uko peponi, bila kusahau kuua watu wengne wasiotaka imani yenu, kumpgania allah mungu fake anayepganiwa kwa damu na nyama za wanadamu, usisahau na kuunda vikund vya kijesh ili mpndue serikali halali msimike ya kdini maana hayo ndo mambo yenu....
Ungekuwa na akili mzungu muigizaji usingemuita Yesu, unatumia nguvu kubwa kukashifu huku akili hata ya kutafakali ndogo huna, yaan binadamu muigizaji ukamuweka ndani kwamba ndio Yesu? Pumbavu kabisa na ndio maana wenye akili anajipigia fedha kwakuwa mipumbavu ipo mingi
 
Historia uchwara kutoka madrasa.
Naona unawahi uokovu
downloadfile.jpg
 
Unauliza silaha polisi?.
Embu wacha uongo. Pia kama hukui kitu nyamaza.
Hivi unajua kama Iran wanapanda usafiri wa treni approximately free of charge!??
Iran haumuwezi kwa huduma za afya.
Iran haumuwezi kwa huduma za kielimu,shule zako Tanzania za serikali ni sawa na vyoo vya stendi vya Iran.
Iran inakusanya pato kubwa la serikali kuliko Tanzania.
Iran ina akiba kubwa ya fedha za kigeni kuliko Tanzania.
 
Kulinganisha Iran na Tanzania ni wendawazimu.
Tanzania ilinganishwe na Uganda, burundi, Malawi, na maskini wengine
 
Iran zaidi ya teknolojia ya drone na makombora aliyowekeza kwa muda mrefu hakuna Cha zaidi alichonacho..kiburi chake chote ni anaringia makombora yake
 
thamani ya pesa ni subjective na haina uhusiano wowote na uchumi wa nchi husika, kwa lugha nyepesi thamani ya pesa ni thamani ya kisiasa ya matumizi ya pesa za kigeni nchini
Swadakta kabisa mkuu 👍😊
 
Kuna chungu cha uongo kuzidi Israel na washirika wake? Au we unafikiri kama kweli wangekuwa wanaweza kuingia wanavyotaka leo hii Iran ingekuwaje? Juzi tu katika yale maandamano yangefanikiwa kuitoa Serikali madarakani wangeingia na kupiga kila sehemu ya ile nchi ila ndiyo hivo mahesabu yalienda kombo.
Endelea kumpa elimu ya uchumi, siasa na vita huyo myahudi wa Mahenge Morogoro.
 
Iran zaidi ya teknolojia ya drone na makombora aliyowekeza kwa muda mrefu hakuna Cha zaidi alichonacho..kiburi chake chote ni anaringia makombora yake
Iran ina uwezo wa kutengeneza kila kitu. Huenda hauijui historia halisi ya Iran kutokana na kushikiwa akili na Netanyahu, ila siku akili yako ikiachwa huru na kufuatilia uwezo wake halisi iliyokuwa nao, Hakika utarudi kufuta ulichoandika.

Kinachofanya Iran ijizatiti zaidi katika makombora kuliko silaha zingine, japo ina uwezo wa kutengeneza silaha hizo, ni vikwazo.

Iran ndio nchi yenye vikwazo vikubwa na vya muda mrefu vya kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia kuliko nchi yoyote hapa duniani. Sasa ili uweze kutengeneza silaha zingine mbali mbali, inahitaji uwe na uchumi mzuri ili uweze kununua materials mbali mbali zinazohitajika kutengenezea hizo silaha. Na materials hizo hizo huwa zinatoka katika nchi mbali mbali. Sasa vikwazo vikubwa vya kiuchumi na kijeshi ilivyowekewa Iran inaifanya ishindwe kwenda kununua materials hizo. Na hata hizo nchi zenye materials pia haziwezi kuiuzia kutokana na kuiogopa Marekani na washirika wake ambao wameiwekea vikwazo Iran.

Hivyo Iran ikaamua kuwekeza huko kwenye drone na makombora ambapo utengenezaji wake ni wa gharama nafuu kulingana na uchumi wake.

Ushawahi kujiuliza kama Iran isingewekewa vikwazo vya kiuchumi na kijeshi leo hii ingekuwa wapi kijeshi na kiuchumi. Fikiria miaka zaidi ya 50 kwenye vikwazo, lkn imekuwa tishio kwa Israel na mshirika wake Marekani. Na hata wakiingia kwenye vita lazima waichangie, huku UK, Ujerumani, Italy, Uholanzi, Ufaransa nk zikijiunga upande wa Israel kuweka ulinzi. But still Iran ikiwa wenyewe na vikwazo lukuki inapenyeza tu makombora yake na kulenga shabaha walioikusudia.

Israel haina vikwazo, lkn mpaka leo inalelewa. Tuliona hata ilipopambana na wanamgambo wa Hamas ambao hawana hata kifaru cha jeshi, bado Israel ilikuwa inaomba msaada wa kijeshi na kifedha kutoka Marekani ili kupambana tu na wanamgambo wanaotumia mitutu. Sasa mfano wawekewe vikwazo kama Iran kwa muda wa miaka mitano tu si jeshi zima litatepeta!!
 
Back
Top Bottom