Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
Hatoruhusu,na akiruhusu nasema kabisa ITAKULA KWAKE.IRAN Sio Mpuuzi MKUU Wanayoyawaza Wao Mwenzao Kaishayawaza Muda
Na kama ukiona kawaruhusu Basi Ujue Kaishaweka Mazingira Yake Salama Anajua Hatakama Watafanya Wanaoita Ukaguzi Hautamuathiri Katika Masuala Yake Ya USALAM
All Is Well In Turampet Voice[emoji4][emoji1][emoji2][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Point ndogo sana adui yake akiifahamu ni mwanya mkubw wa kukumaliza.