Iran ndani kwawaka moto, wanajeshi 5 wapigwa na kuuawa

Iran ndani kwawaka moto, wanajeshi 5 wapigwa na kuuawa

World confrontation ya nani dhidi ya nani, Urusi amewekwa busy na kataifa ka Ukraine, huyu Iran akilianzisha atabaki mwenyewe, kwanza waarabu wenyewe wenye dini yao hawaipendi hiyo Iran.
Hivi wewe unaishi Dunia gani,Urusi ingekuwa inapigana na Ukraine kama Ukraine there would be no Ukraine today.Russia is fighting the collective West.Mtu anayefuatilia taarifa authentic na sio taarifa za MSM analijua hili.
 
Naibu waziri wa mambo ya ndani ya Iran amesema kuwa wapiganaji hawa wa JAYSH AL- ADL (Sunni militants) wameshaua wanajeshi wa Iran watano pia wamefanikiwa kuzingira mji mdogo wa chah bahar na kuteka baadhi ya silaha za kijeshi la jeshi la serikali..
Hawa wapiganaji wapo Jimbo la Baluchistan kitambo sana wakisumbua serikali ya Iran

Leo wametangaza kuanza mapigano rasmi na jeshi la Iran kama Iran ataanza kushambulia Israel huku wakitumia mwanza wa vita kuondoa utawala wa Iran madarakani.

My take
..... kwanini hawa wanamgambo wameanza chokochoko na Iran kipindi hiki? Hapa nimeanza kuamini kuwa baadhi ya vikundi vya jihad wanafadhiliwa na nchi za magharibi hasa USA na Israel
Hyo toka kitambo mzee....sema wale jamaa wanausoma uislamu kuliko waislamu wenyewe...ila kwa lengo moja tu la kidunia

Apo washajua Iran kuna mashia....ngoja tuunde waasi wao suni.
 
Maskini Iran inapigwa kote, sio ndani, sio nje yaani wanavuna walichopanda kwenye maugaidi ya dini yao....

5 Iranian Security Officers Reported Killed In Clashes​


Eight gunmen and five members of Iran's security forces were killed in clashes at two separate points in southeastern Iran, state media said on April 4. The official IRNA news agency said 10 other security force members were injured.

It said the fighting erupted overnight in Sistan-Baluchistan Province when gunmen opened fire on a Revolutionary Guards post in Rask and a coast guard station in Chahbahar, some 1,400 kilometers southeast of Tehran.

IRNA said six assailants were under siege and holding hostages at the two sites. It did not elaborate on the hostages, but it blamed the attacks on the militant group Jaish al-Adl, which ostensibly seeks greater rights for the ethnic Baluch minority.

Iran haina namna ila kuwashambulia hao magaidi wanaojificha huko Pakistan.
 
Hivi wewe unaishi Dunia gani,Urusi ingekuwa inapigana na Ukraine kama Ukraine there would be no Ukraine today.Russia is fighting the collective West.Mtu anayefuatilia taarifa authentic na sio taarifa za MSM analijua hili.

Mpaka sasa bado mnaendelea kuaminishana hizi pumba, West ingetia mguu pale Urusi ingefutika kitambo, wacha Urusi iendelee kuwekwa busy na hako kataifa....
 
Mpaka sasa bado mnaendelea kuaminishana hizi pumba, West ingetia mguu pale Urusi ingefutika kitambo, wacha Urusi iendelee kuwekwa busy na hako kataifa....
Believe what you want to believe in,ila wenye akili wanajua kinachoendelea kwenye vita kati ya Ukraine na Urusi.
 
Back
Top Bottom