Iran ndani kwawaka moto, wanajeshi 5 wapigwa na kuuawa

World confrontation ya nani dhidi ya nani, Urusi amewekwa busy na kataifa ka Ukraine, huyu Iran akilianzisha atabaki mwenyewe, kwanza waarabu wenyewe wenye dini yao hawaipendi hiyo Iran.
Hivi wewe unaishi Dunia gani,Urusi ingekuwa inapigana na Ukraine kama Ukraine there would be no Ukraine today.Russia is fighting the collective West.Mtu anayefuatilia taarifa authentic na sio taarifa za MSM analijua hili.
 
Hyo toka kitambo mzee....sema wale jamaa wanausoma uislamu kuliko waislamu wenyewe...ila kwa lengo moja tu la kidunia

Apo washajua Iran kuna mashia....ngoja tuunde waasi wao suni.
 
Nime-refresh hii page hadi nimechoka. Mitandaoni nako kimya! Ila ndani ya saa 48 wamepasuana wenyewe kwa wenyewe!
Tutaingia Tel Aviv kukiwa kumejaa mifereji ya damu .Hatutaacha hata panya apumue
 
Iran haina namna ila kuwashambulia hao magaidi wanaojificha huko Pakistan.
 
Hivi wewe unaishi Dunia gani,Urusi ingekuwa inapigana na Ukraine kama Ukraine there would be no Ukraine today.Russia is fighting the collective West.Mtu anayefuatilia taarifa authentic na sio taarifa za MSM analijua hili.

Mpaka sasa bado mnaendelea kuaminishana hizi pumba, West ingetia mguu pale Urusi ingefutika kitambo, wacha Urusi iendelee kuwekwa busy na hako kataifa....
 
Mpaka sasa bado mnaendelea kuaminishana hizi pumba, West ingetia mguu pale Urusi ingefutika kitambo, wacha Urusi iendelee kuwekwa busy na hako kataifa....
Believe what you want to believe in,ila wenye akili wanajua kinachoendelea kwenye vita kati ya Ukraine na Urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…