Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Wajinga na Wapumbavu tu ndiyo wanaweza kuamini UHARO wako huu!!Kwani Iran si alishasema Nuclear ni kwa matumizi ya Nishati tu na kama haitoshi hadi IAEA walifanya ukaguzi na hufanya hivyo from time to time.
Kifupi Iran haina Lengo la kutengeeza Bomu la Nyuklia bali wanataka kwa matumiz ya Kiraia tu.