Iran Ndani ya Kibano Kikali cha Marekani, Hakuna meli yoyote inayoruhusiwa Kuingia au Kutoka Bandari za Iran

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Kama njia ya kulipiza kisasi kwa kitendo cha Iran kuzuia meli za baadhi ya mataifa kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, tangu jana majira ya saa 4 asubuhi, Jeshi la Marekani limeweka zuio la meli yoyote kuingia au kutoka kwenye bandari zote za Iran. Na Marekani imeweka wazi kuwa kwenye zuio hilo, meli yoyote ya kivita ya Iran itakayozisogelea meli za kivita za Marekani zinazohakikisha hakuna meli inayoingia au kutoka bandari za Iran, itazamishwa.

Mpaka sasa Iran imeamua kutulia bila ya kupambana na Marekani kivita, badala yale waziri wa mambo ya nje wa Iran amepeleka malalamiko kwenye Baraza la Umoja wa mataifa akilalamika kuwa kitendo hicho cha Marekani ni kutoheshimu sovereignity ya Iran. Marekani nayo imesema kuwa inafanya hivyo ili kukomesha Economic Terrorism ya Iran.

Sijui kwa nini Iran inakazania kuendelea na mradi wa nuklia. Kwa nini isikubali kuachana nao, ila na yenyewe itake majirani zake wote wa Mashariki ya kati wasitengeneze wala kumiliki silaha za nuklia? Iran ipo disadvantaged kutokana na ile kauli yake na msimamo wake mpaka leo, kuwa eti Taifa la Wayahudi halitakiwi kuwepo Duniani, linatakiwa kuangamizwa, eti ni agizo la Allah.

Kutokana na msimamo huu, chochote inachokifanya Iran ili kuwa na silaha za maangamizi inatafsiriwa inataka kuiangamiza Israel. Iran ilitakiwa kuufuta msimamo huo wa kigaidi, kisha kutangaza kulitambua taifa la Israel kama taifa jirani, kama ilivyokuwa kabla ya utawala wa Ayatollah, kisha kuanzisha uhusiano mpya na majirani zake. Bila hivyo, Iran itakuwa nchi ya vita na shida kubwa kiuchumi miaka yote.
 
Kama njia ya kulipiza kisasi kwa kitendo cha Iran kuzuia meli za baadhi ya mataifa kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, tangu jana majira ya saa 4 asubuhi, Jeshi la Marekani limeweka zuio la meli yoyote kuingia au kutoka kwenye bandari zote za Iran. Na Marekani imeweka wazi kuwa kwenye zuio hilo, meli yoyote ya kivita ya Iran itakayozisogelea meli za kivita za Marekani zinazohakikisha hakuna meli inayoingia au kutoka bandari za Iran, itazamishwa. Mpaka sasa Iran imeamua kutulia bila ya kupambana na Marekani kivita, badala yale waziri wa mambo ya nje wa Iran amepeleka malalamiko kwenye Baraza la Umoja wa mataifa akilalamika kuwa kitendo hicho cha Marekani ni kutoheshimu sovereignity ya Iran. Marekani nayo imesema kuwa inafanya hivyo ili kukomesha Economic Terrorism ya Iran.

Sijui kwa nini Iran inakazania kuendelea na mradi wa nuklia. Kwa nini isikubali kuachana nao, ila na yenyewe itake majirani zake wote wa Mashariki ya kati wasitengeneze wala kumiliki silaha za nuklia? Iran ipo disadvantaged kutokana na ile kauli yake na msimamo wake mpaka leo, kuwa eti Taifa la Wayahudi halitakiwi kuwepo Duniani, linatakiwa kuangamizwa, eti ni agizo la Allah. Kutokana na msimamo huu, chochote inachokifanya Iran ili kuwa na silaha za maangamizi inatafsiriwa inataka kuiangamiza Israel. Iran ilitakiwa kuufuta msimamo huo wa kigaidi, kisha kutangaza kulitambua taifa la Israel kama taifa jirani, kama ilivyokuwa kabla ya utawala wa Ayatollah, kisha kuanzisha uhusiano mpya na majirani zake. Bila hivyo, Iran itakuwa nchi ya vita na shida kubwa kiuchumi miaka yote.
Na unafikiri hana Hizo silaha za nuclear ?? I have Been hearing Iranians near weapon grade for 25 years
😂
😂
😂
 
Sasa Iran akimwaga ugali na Marekani amwage mboga, wote wawili wanafaidika nini? Ni sawa na ugomvi wa wazazi kuumiza watoto

Kwa ujumla, vita yoyote ile haina faida zaidi ya madhara. Kwenye vita hata ukishinda kwa sababu umewaua maadui elfu 1, wewe wa kwako wamekufa 10, bado ni hasara kwa sababu uhai wa hawa 10 hauwezi kufidiwa na chochote. Na kwa ndugu wa hawa 10, kwao ni aheri watu wengine wafe hata 10 lakini ndugu yao awe hai. Vita vinapiganwa kwa vile tu njia nyingine zote zimeshindikana.

Ndiyo maana ni jambo jema wahusika wangerudi nyuma na kutafakari ni nini kimesababisha haya yote, kisha waweke dhamira ya kuishi pamoja.

Misimamo mikali, hasa ya Iran, ni tatizo kubwa. Fikiria uwe na jirani yako, halafu aseme kuwa wewe na familia yako hamtakiwi kuishi, halafu ukamwona anakusanya mapanga.

Hata kama pengine yalikuwa mapanga ya kwenda kuyatumia shambani, lazima utafikiria ni mapanga ya kukuondolea uhai wako na familia yako.

Na ni vigumu sana mtu huyo kuja kuwa rafiki yako bila ya yeye kusimama na kusema kuwa ule msimamo wangu wa kale nilipotoka, na sasa naufuta.
 
Wachambuzi wa Tanzania wengi ni wanafiki. Waliongoza kampeni za kupinga Kanisa katoliki kuingilia siasa nchini Tanzania. Sasa hivi wapo bize kumsapoti Papa Leo IVX na Kanisa Katoliki kuingilia siasa za Marekani. Kanisa Katoliki na siasa ni mapacha, cheo cha papa kinapigiwa mizinga 21 pale anapoenda katika ziara katika nchi husika. Hivyo Trump kumkosoa Leo hajamkosoa kama askofu bali kama Mwanasiasa.
 
Na unafikiri hana Hizo silaha za nuclear ?? I have Been hearing Iranians near weapon grade for 25 years
😂
😂
😂

Wewe na mimi hatuna uhakika, ila taasisi za kimataifa zinazoshughulikia nguvu za atomic, zinasema Iran bado haijaweza kutengeneza silaha za nuclear labda kama itakuwa imenunua au kupewa na mataifa mengine. Wanasema urutubishaji wake wa nuclear energy umefikia 60%.
 
Tuendelee kufurahia hilo zuio haramu la USA lakini amini waathirika namba moja tutakuwa sisi kuliko Iran 🙏

Mazuio yote, lile la Iran na hilo la US ni haramu kwa ustawi wa Ulimwengu. Zuio la Marekani litawatesa wairan na mataifa ambayo Iran inafanya nayo biashara, zuio la Iran linautesa Ulimwengu.
 
Misimamo mikali, hasa ya Iran, ni tatizo kubwa. Fikiria uwe na jirani yako, halafu aseme kuwa wewe na familia yako hamtakiwi kuishi, halafu ukamwona anakusanya mapanga.
Kwa nini Iran awe na msimamo mkali na kusema wewe na familia yako hamtakiwi kuish, tuanzie hapo kwanza. Tatuta source ya tatizo, sio matokeo ya tatizo
 
Wewe na mimi hatuna uhakika, ila taasisi za kimataifa zinazoshughulikia nguvu za atomic, zinasema Iran bado haijaweza kutengeneza silaha za nuclear labda kama itakuwa imenunua au kupewa na mataifa mengine. Wanasema urutubishaji wake wa nuclear energy umefikia 60%.

na unaamini hizo hadithi ?? Walisema hivyo hivyo kwa Pakistani na ghafla akawastukizia na bomu tayari .
 
Mazuio yote, lile la Iran na hilo la US ni haramu kwa ustawi wa Ulimwengu. Zuio la Marekani litawatesa wairan na mataifa ambayo Iran inafanya nayo biashara, zuio la Iran linautesa Ulimwengu.
1. La Iran linakutesa wewe kivipi mkuu?
2. Iran anatoza ushuru ndani ya eneo la mipaka yake na hilo linafanywa Dunia nzima,
Kama ni haramu aanze kulalamika China na India wanaopitisha meli kila siku.
 
Ut
Kwa nini Iran awe na msimamo mkali na kusema wewe na familia yako hamtakiwi kuish, tuanzie hapo kwanza. Tatuta source ya tatizo, sio matokeo ya tatizo

awala ule wa Ayatollah ndiyo ulikuwa chanzo cha matatizo makubwa:
Huo utawala ndio uliotangaza kuwa:
1. Hakutakiwi kuwa na Taifa la wayahudi Duniani, eti ni agizo la Allah. Na kuruhusu Wayahudi kuwepo Duniani ndiyo kumesababisha uwepo wa taifa la Israel lililowapora wapalestina ardhi yao.
2. Mataifa yote yenye waislam wa Shia, wanatakiwa kuhakikisha ndio wanatawala mataifa yao na kuweka serikali za kiislam.

Msimamo huo wa Ayatollah, umaifanya Iran kuwa adui wa mataifa ya kiarabu na taifa la Israel. Kuchochea uhasama zaidi, Iran ikaanzisha makundi ya kigaidi ili kuziangusha Serikali za wasuni na kupambana na Israel.
Ukumbuke kuwa mwaka 1947, Waarabu wa Palestine waliridhia kuwa na taifa moja pamoja na Wayahudi, lakini baadhi ya nchi za kiarabu ndiyo zilizowakatalia waarabu wa Palestine wasikubali kuwa Taifa moja na Wayahudi na kwamba wao watawasaidia kuwaua wayahudi wote ili nchi yote iwe yao. Jambo ambalo mpaka leo wameshindwa. Bila ya baadhi ya mataifa ya kiarabu, leo hii waarabu wa palestine wangekuwa na maisha mazuri sana, maana hao wayahudi wala hawakutaka kuanzisha taifa la wayahudi pekee bali la wote waliokuwemo humo.
 
1. La Iran linakutesa wewe kivipi mkuu?
2. Iran anatoza ushuru ndani ya eneo la mipaka yake na hilo linafanywa Dunia nzima,
Kama ni haramu aanze kulalamika China na India wanaopitisha meli kila siku.

Fungua ufahamu:
Zuio la Iran kwenye mkondo wa bahari wa kimataifa, ni kosa. Ule mkondo japo upo karibu na Iran na Oman, lakini ni international strait. Iran kuufunga huo mkondo wa kimataifa, wewe na mimi tunadhurika kwa sababu Duniani hapa mataifa hutegemeana. Kikitokea kizuizi cha biashara mahali fulani, hakiishii hapo. Iran kama anayafikiria mataifa mengine asingeyaingiza hayo mataifa kwenye ugomvi wao na USA na Israel. Hoja ya Iran ni kuwa wamefanya hivyo ili Dunia isimame dhidi ya USA na Israel, waliomvamia. Kama China na Russia wameshindwa kufanya hivyo, ni nchi gani itathubutu?
 
Utawala ule wa Ayatollah ndiyo ulikuwa chanzo cha matatizo makubwa:
Huo utawala ndio uliotangaza kuwa:
1. Hakutakiwi kuwa na Taifa la wayahudi Duniani, eti ni agizo la Allah. Na kuruhusu Wayahudi kuwepo Duniani ndiyo kumesababisha uwepo wa taifa la Israel lililowapora wapalestina ardhi yao.
2. Mataifa yote yenye waislam wa Shia, wanatakiwa kuhakikisha ndio wanatawala mataifa yao na kuweka serikali za kiislam.
Basi suluhisho ni kupeleka wahubiri wa Kiislamu Iran wakawafafanulie kuwa Quran haisemi hivyo
 
Kama njia ya kulipiza kisasi kwa kitendo cha Iran kuzuia meli za baadhi ya mataifa kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, tangu jana majira ya saa 4 asubuhi, Jeshi la Marekani limeweka zuio la meli yoyote kuingia au kutoka kwenye bandari zote za Iran. Na Marekani imeweka wazi kuwa kwenye zuio hilo, meli yoyote ya kivita ya Iran itakayozisogelea meli za kivita za Marekani zinazohakikisha hakuna meli inayoingia au kutoka bandari za Iran, itazamishwa.

Mpaka sasa Iran imeamua kutulia bila ya kupambana na Marekani kivita, badala yale waziri wa mambo ya nje wa Iran amepeleka malalamiko kwenye Baraza la Umoja wa mataifa akilalamika kuwa kitendo hicho cha Marekani ni kutoheshimu sovereignity ya Iran. Marekani nayo imesema kuwa inafanya hivyo ili kukomesha Economic Terrorism ya Iran.

Sijui kwa nini Iran inakazania kuendelea na mradi wa nuklia. Kwa nini isikubali kuachana nao, ila na yenyewe itake majirani zake wote wa Mashariki ya kati wasitengeneze wala kumiliki silaha za nuklia? Iran ipo disadvantaged kutokana na ile kauli yake na msimamo wake mpaka leo, kuwa eti Taifa la Wayahudi halitakiwi kuwepo Duniani, linatakiwa kuangamizwa, eti ni agizo la Allah.

Kutokana na msimamo huu, chochote inachokifanya Iran ili kuwa na silaha za maangamizi inatafsiriwa inataka kuiangamiza Israel. Iran ilitakiwa kuufuta msimamo huo wa kigaidi, kisha kutangaza kulitambua taifa la Israel kama taifa jirani, kama ilivyokuwa kabla ya utawala wa Ayatollah, kisha kuanzisha uhusiano mpya na majirani zake. Bila hivyo, Iran itakuwa nchi ya vita na shida kubwa kiuchumi miaka yote.
Huna ujualo, povu linakutoka US ameshindwa kwenye uwanja wa vita ataweza vita ya maneno? Iran imekuwa kwenye vikwazo kwa zaidi ya miaka 47 lakini ni taifa pekee la ajabu lililoonyesha uwezo wa hali ya juu kupambana na taifa linalojiita superpower wa dunia, US aliomba usaidizi kwenye vita ndani ya wiki ya kwanza tuu na baadae akalazimisha ceasefire.

Ukisikia hiyo Strait of Hormuz ni mlango unaotumiwa na mataifa mengi sana siyo Iran tu, wanasema 20% lakini huenda ni zaidi ya hapo sasa kama trump atazuia huko bahari kuu hata yeye ataendelea kuumia, kumbuka Iran alipofunga mferej US alishindwa ndani ya wiki 1 na uchumi wa dunia ulianguka na alishindwa kustahamili -"Open the fucking Strait you bustered.., hayo ni maneno alitoa trump kwa hasira baada ya maumivu makali aliyopata baada ya hali ya uchumi wa marekani kudorora na dunia.

IRGC ndio jeshi makini duniani, Trump alikiri uwezo wa Iran uliwashangaza wengi hawakutegemea. Wewe tulia uone mambo yatakavyokwenda trump amebezwa na kudharauliwa na kila mtu na kila mshirika wake, hasara ni kwao sio kwa Iran
 
Ut

awala ule wa Ayatollah ndiyo ulikuwa chanzo cha matatizo makubwa:
Huo utawala ndio uliotangaza kuwa:
1. Hakutakiwi kuwa na Taifa la wayahudi Duniani, eti ni agizo la Allah. Na kuruhusu Wayahudi kuwepo Duniani ndiyo kumesababisha uwepo wa taifa la Israel lililowapora wapalestina ardhi yao.
2. Mataifa yote yenye waislam wa Shia, wanatakiwa kuhakikisha ndio wanatawala mataifa yao na kuweka serikali za kiislam.

Msimamo huo wa Ayatollah, umaifanya Iran kuwa adui wa mataifa ya kiarabu na taifa la Israel. Kuchochea uhasama zaidi, Iran ikaanzisha makundi ya kigaidi ili kuziangusha Serikali za wasuni na kupambana na Israel.
Ukumbuke kuwa mwaka 1947, Waarabu wa Palestine waliridhia kuwa na taifa moja pamoja na Wayahudi, lakini baadhi ya nchi za kiarabu ndiyo zilizowakatalia waarabu wa Palestine wasikubali kuwa Taifa moja na Wayahudi na kwamba wao watawasaidia kuwaua wayahudi wote ili nchi yote iwe yao. Jambo ambalo mpaka leo wameshindwa. Bila ya baadhi ya mataifa ya kiarabu, leo hii waarabu wa palestine wangekuwa na maisha mazuri sana, maana hao wayahudi wala hawakutaka kuanzisha taifa la wayahudi pekee bali la wote waliokuwemo humo.
Kama Ayatollah hapendi wayahudi kwanini Iran ina wayahudi wengi sasa, na kwanini Israel inapiga mabomu masinagogi ya wayahudi huko Iran?
 
Back
Top Bottom