Iran Ndani ya Kibano Kikali cha Marekani, Hakuna meli yoyote inayoruhusiwa Kuingia au Kutoka Bandari za Iran

Huna ujualo, povu linakutoka US ameshindwa kwenye uwanja wa vita ataweza vita ya maneno? Iran imekuwa kwenye vikwazo kwa zaidi ya miaka 47 lakini ni taifa pekee la ajabu lililoonyesha uwezo wa hali ya juu kupambana na taifa linalojiita superpower wa dunia, US aliomba usaidizi kwenye vita ndani ya wiki ya kwanza tuu na baadae akalazimisha ceasefire.

Ukisikia hiyo Strait of Hormuz ni mlango unaotumiwa na mataifa mengi sana siyo Iran tu, wanasema 20% lakini huenda ni zaidi ya hapo sasa kama trump atazuia huko bahari kuu hata yeye ataendelea kuumia, kumbuka Iran alipofunga mferej US alishindwa ndani ya wiki 1 na uchumi wa dunia ulianguka na alishindwa kustahamili -"Open the fucking Strait you bustered.., hayo ni maneno alitoa trump kwa hasira baada ya maumivu makali aliyopata baada ya hali ya uchumi wa marekani kudorora na dunia.

IRGC ndio jeshi makini duniani, Trump alikiri uwezo wa Iran uliwashangaza wengi hawakutegemea. Wewe tulia uone mambo yatakavyokwenda trump amebezwa na kudharauliwa na kila mtu na kila mshirika wake, hasara ni kwao sio kwa Iran
Hv mfano vita ikaisha leo mambo yakarudi kama zaman nikwamba Iran atakua ameshinda nakupata faida ? Gharama zakujijenga upya asee amepoteza vingi sana ogopa vita ikapiganwa kwenye ardhi yako marekan anawezakua amepoteza pesa navifaa jeshi ila nchi yake hakuna chochote kimeguswa
 
Kuangamizwa Israel ni Agizo la
Wakati huo Basha wako Khomenei na wenzie zaidi ya 40 wanaendelea kubikiri bikra 72 kila mmoja wewe una ngoja nini kuungana nao ukafaidi ? umekalia papuchi pana ya mkeo km handaki la Hamas !
 
Kama njia ya kulipiza kisasi kwa kitendo cha Iran kuzuia meli za baadhi ya mataifa kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, tangu jana majira ya saa 4 asubuhi, Jeshi la Marekani limeweka zuio la meli yoyote kuingia au kutoka kwenye bandari zote za Iran. Na Marekani imeweka wazi kuwa kwenye zuio hilo, meli yoyote ya kivita ya Iran itakayozisogelea meli za kivita za Marekani zinazohakikisha hakuna meli inayoingia au kutoka bandari za Iran, itazamishwa.

Mpaka sasa Iran imeamua kutulia bila ya kupambana na Marekani kivita, badala yale waziri wa mambo ya nje wa Iran amepeleka malalamiko kwenye Baraza la Umoja wa mataifa akilalamika kuwa kitendo hicho cha Marekani ni kutoheshimu sovereignity ya Iran. Marekani nayo imesema kuwa inafanya hivyo ili kukomesha Economic Terrorism ya Iran.

Sijui kwa nini Iran inakazania kuendelea na mradi wa nuklia. Kwa nini isikubali kuachana nao, ila na yenyewe itake majirani zake wote wa Mashariki ya kati wasitengeneze wala kumiliki silaha za nuklia? Iran ipo disadvantaged kutokana na ile kauli yake na msimamo wake mpaka leo, kuwa eti Taifa la Wayahudi halitakiwi kuwepo Duniani, linatakiwa kuangamizwa, eti ni agizo la Allah.

Kutokana na msimamo huu, chochote inachokifanya Iran ili kuwa na silaha za maangamizi inatafsiriwa inataka kuiangamiza Israel. Iran ilitakiwa kuufuta msimamo huo wa kigaidi, kisha kutangaza kulitambua taifa la Israel kama taifa jirani, kama ilivyokuwa kabla ya utawala wa Ayatollah, kisha kuanzisha uhusiano mpya na majirani zake. Bila hivyo, Iran itakuwa nchi ya vita na shida kubwa kiuchumi miaka yote.
Hii blockade haiwezi last a week ngoja bei ya crude ipande
 
Mkuu tuwe na utaratibu wa kujisomea,ni kwamba iko hivi mwaka 1970 UN ilipitisha azimio[Non Proliferation Treaty of Nuclear Weapons-NPT]. Lengo ni kutoendeleza silaha ya Nuclear kutokana na madhara yaliyo tokea kule Nagasaki Japan.

Hivyo walikubaliana hakuna ruhusa nchi nyingine mpya kumiliki hyo silaha kwa malengo ya kivita..na zile ambazo tayari zinazo hiyo silaha waendelee kupunguza kiwango chake.labda unaweza kurutubisha kwa malengo ya kupata nishati.

IRANI ilisaini huo mkataba wa kukubali hayo masharti. Kwa kifupi nenda ukajisomee..ni mkataba ulio sainiwa mwaka 1970
Acha ujinga na usituganye na sisi waninga kama wewe. Kama ni hivyo Israeli imewezekamaje kuwa na hizo silaha?
 
Sasa Iran akimwaga ugali na Marekani amwage mboga, wote wawili wanafaidika nini? Ni sawa na ugomvi wa wazazi kuumiza watoto
Iran hana ugali wa kumwaga huo uwezo hana tena, aachane na nuclear bila hilo atapigwa na kuwekewa vikwazo 💯, msioelewa hiyo ni sera ya Marekani sio Trump,kijeshi kapunguzwa sana uwezo,blockade ni kummaliza kiuchumi, next airspace blockade
 
Kama njia ya kulipiza kisasi kwa kitendo cha Iran kuzuia meli za baadhi ya mataifa kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, tangu jana majira ya saa 4 asubuhi, Jeshi la Marekani limeweka zuio la meli yoyote kuingia au kutoka kwenye bandari zote za Iran. Na Marekani imeweka wazi kuwa kwenye zuio hilo, meli yoyote ya kivita ya Iran itakayozisogelea meli za kivita za Marekani zinazohakikisha hakuna meli inayoingia au kutoka bandari za Iran, itazamishwa.

Mpaka sasa Iran imeamua kutulia bila ya kupambana na Marekani kivita, badala yale waziri wa mambo ya nje wa Iran amepeleka malalamiko kwenye Baraza la Umoja wa mataifa akilalamika kuwa kitendo hicho cha Marekani ni kutoheshimu sovereignity ya Iran. Marekani nayo imesema kuwa inafanya hivyo ili kukomesha Economic Terrorism ya Iran.

Sijui kwa nini Iran inakazania kuendelea na mradi wa nuklia. Kwa nini isikubali kuachana nao, ila na yenyewe itake majirani zake wote wa Mashariki ya kati wasitengeneze wala kumiliki silaha za nuklia? Iran ipo disadvantaged kutokana na ile kauli yake na msimamo wake mpaka leo, kuwa eti Taifa la Wayahudi halitakiwi kuwepo Duniani, linatakiwa kuangamizwa, eti ni agizo la Allah.

Kutokana na msimamo huu, chochote inachokifanya Iran ili kuwa na silaha za maangamizi inatafsiriwa inataka kuiangamiza Israel. Iran ilitakiwa kuufuta msimamo huo wa kigaidi, kisha kutangaza kulitambua taifa la Israel kama taifa jirani, kama ilivyokuwa kabla ya utawala wa Ayatollah, kisha kuanzisha uhusiano mpya na majirani zake. Bila hivyo, Iran itakuwa nchi ya vita na shida kubwa kiuchumi miaka yote.
Iran wala husimbuki na ujinga wa America sababu yuko mbali na Hormuz na pia kisha geuza njia sababu Al Houth wameisha zuia hakuna mtu kupita kule Bab Al Mandam.

Afu nakupa habari ingine zile satellite nne alizo kuwa anazitumia USA kuspy Iran zimeisha zimishwa huko mpaa USA kachanganyikiwa
 
Mkuu tuwe na utaratibu wa kujisomea,ni kwamba iko hivi mwaka 1970 UN ilipitisha azimio[Non Proliferation Treaty of Nuclear Weapons-NPT]. Lengo ni kutoendeleza silaha ya Nuclear kutokana na madhara yaliyo tokea kule Nagasaki Japan.

Hivyo walikubaliana hakuna ruhusa nchi nyingine mpya kumiliki hyo silaha kwa malengo ya kivita..na zile ambazo tayari zinazo hiyo silaha waendelee kupunguza kiwango chake.labda unaweza kurutubisha kwa malengo ya kupata nishati.

IRANI ilisaini huo mkataba wa kukubali hayo masharti. Kwa kifupi nenda ukajisomee..ni mkataba ulio sainiwa mwaka 1970
1. Iran wanakaguliwa na hakuna ushahidi wowote kwamba wanatumia Silaha za Nyuklia, hata hio Nyuklia ya sasa Marekani wanayoitafuta bado haijarutubishwa kutumika kwenye Silaha. Matokeo yake shirika ambalo lilitakiwa liwe neutral likawachoma wanasayansi wa Iran kwa Israel wakauliwa.

2. Israel anamiliki Nyuklia na hakaguliwi na MTU yoyote, genge la wahuni ambalo linaua watoto na watu wasio na hatia kila siku ambalo lilikua tayari kuwapa Nyuklia wazungu wa Africa wateketeze Weusi wenzako, wao unaona ni Sawa kumiliki hizo Silaha na hata kuwapa ukiranja wa Dunia kuamua Nani amiliki na nani asimiliki?
 
Iran wala husimbuki na ujinga wa America sababu yuko mbali na Hormuz na pia kisha geuza njia sababu Al Houth wameisha zuia hakuna mtu kupita kule Bab Al Mandam.

Afu nakupa habari ingine zile satellite nne alizo kuwa anazitumia USA kuspy Iran zimeisha zimishwa huko mpaa USA kachanganyikiwa
Iran-linked ships seized by the US military as part of its blockade of Iranian ports will be taken to temporary holding areas in the Arabian Sea or Indian Ocean while a permanent location is determined, The Wall Street Journal reported, citing US officials.

The US is looking at vessels for potential seizure, even as multiple tankers reversed course near the Strait of Hormuz after the operation began.
 
Hv mfano vita ikaisha leo mambo yakarudi kama zaman nikwamba Iran atakua ameshinda nakupata faida ? Gharama zakujijenga upya asee amepoteza vingi sana ogopa vita ikapiganwa kwenye ardhi yako marekan anawezakua amepoteza pesa navifaa jeshi ila nchi yake hakuna chochote kimeguswa
Akili kisoda.

1. Nchi za gulf ndio zinamfanya Marekani aringe na Dollar, there is a reason kwanini Dola Inaitwa petrodollar na kwanini Marekani ana uwezo wa kuweka vikwazo kwa Nchi nyengine, bila Hormuz hakuna Petrodollar na bila Dola kunakuwa na Multipolar world ambazo Nchi zitafanya biashara kwa hela zake hence USA Hana tena influence Duniani.

2. Export ya Sasa ya Iran ni chini ya Dola Bilioni 60, hapo unaongelea Mafuta na bidhaa zote ambazo Iran anatengeneza, halafu Hormuz pekee ipo projected kumuingizia Dola Bilioni 60 kwa mwaka, kumbuka hii ni hela ya bure, zaidi ya kutengeneza kibanda cha kupokelea tozo hakuna Cost nyengine za maana, Tofauti na mafuta uchimbe, yaende kwenye refineries, yasafirishwe etc.

Analyst wote wa uchumi Hadi wa west Wana predict kitu kimoja ikiendelea sasa Uchumi wa Iran Una boom Ila mahaba niue wa JF hawaoni hili.

Ma CEO wakubwa wa mafuta Hadi wa west wapo tayari kulipa tozo, kwao Hormuz kufungwa na kulipa tozo Bora walipe Tozo. CEO wa Total tayari kaongea yupo tayari kulipa tanker zake zipite, kwa hela wanayocharge Iran (Dola moja kwa Pipa) bi visenti Tu na haitaathiri soko la Dunia ila ni Hela nyingi Sana kwao Irani.
 
Huo niwizi pale ni international passage siku zote iko free naneutral kama kucharge na Oman nae atataka kuchaji pia Jordan nandio mana USA ameingia mwenyewe kuzui meli zote zinazoenda ama kutoka Iran ili nae imuume
 
Tuendelee kufurahia hilo zuio haramu la USA lakini amini waathirika namba moja tutakuwa sisi kuliko Iran 🙏
Sisi hata tusipofurahia, haisaidii kutuondolea dhahama za kiuchumi.

Kwani kupanda huku kwa mafuta Tz kumesababishwa na kufurahia hivyo vita?

Au upandishwaji huo wa bei kiholela kwa stock iliyokuwepo kumesababishwa na vita vya Iran vs USA?

Hivi vita kwetu imekuwa ni sababu tosha ya kutesea raia na kunufaisha mafisadi kwa visingizio vyepesi, tutake tusitake.
 
Kama njia ya kulipiza kisasi kwa kitendo cha Iran kuzuia meli za baadhi ya mataifa kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, tangu jana majira ya saa 4 asubuhi, Jeshi la Marekani limeweka zuio la meli yoyote kuingia au kutoka kwenye bandari zote za Iran. Na Marekani imeweka wazi kuwa kwenye zuio hilo, meli yoyote ya kivita ya Iran itakayozisogelea meli za kivita za Marekani zinazohakikisha hakuna meli inayoingia au kutoka bandari za Iran, itazamishwa.

Mpaka sasa Iran imeamua kutulia bila ya kupambana na Marekani kivita, badala yale waziri wa mambo ya nje wa Iran amepeleka malalamiko kwenye Baraza la Umoja wa mataifa akilalamika kuwa kitendo hicho cha Marekani ni kutoheshimu sovereignity ya Iran. Marekani nayo imesema kuwa inafanya hivyo ili kukomesha Economic Terrorism ya Iran.

Sijui kwa nini Iran inakazania kuendelea na mradi wa nuklia. Kwa nini isikubali kuachana nao, ila na yenyewe itake majirani zake wote wa Mashariki ya kati wasitengeneze wala kumiliki silaha za nuklia? Iran ipo disadvantaged kutokana na ile kauli yake na msimamo wake mpaka leo, kuwa eti Taifa la Wayahudi halitakiwi kuwepo Duniani, linatakiwa kuangamizwa, eti ni agizo la Allah.

Kutokana na msimamo huu, chochote inachokifanya Iran ili kuwa na silaha za maangamizi inatafsiriwa inataka kuiangamiza Israel. Iran ilitakiwa kuufuta msimamo huo wa kigaidi, kisha kutangaza kulitambua taifa la Israel kama taifa jirani, kama ilivyokuwa kabla ya utawala wa Ayatollah, kisha kuanzisha uhusiano mpya na majirani zake. Bila hivyo, Iran itakuwa nchi ya vita na shida kubwa kiuchumi miaka yote.
🤣🤣🤣🤣👇👇

View: https://www.threads.com/@brics_countries/post/DXGTJ-UE04J?xmt=AQF0ptH1GohhqaxX7hwVcKF07g6Z1Lc8Og2Fctk85SleAtX_aPVhb9UFwgivM3GOzrdv0pg&slof=1
 
😂😂😂😂😂👇👇

View: https://www.threads.com/@bil_hajj/post/DXILikzj_10?xmt=AQF077Mdca3KNCkeCT7I9AuRmW5LbL3ZlyxUFhCpyXxk9CpjhdnpjXKKYzDW4shxeD4r_Ni9&slof=1

Iran sio Venezuela
 
Kuna tofauti kati ya bandari za Iran na Hormuz strait. Marekani wamezuia meli kuingia kwenye bandari za Iran, au meli zinazoenda kwenye bandari za Iran siyo meli kupita Hormuz Strait. Hormuz ni international strait, siyo mali ya Iran.
Hebu soma Uzi wako mwenyewe labda umesahau umeandika nini maana comment yako inakinzanza na Uzi wako, si ni wewe umeandika

​

"Hakuna meli yoyote inayoruhusiwa Kuingia au Kutoka Bandari za Iran"​

Inakuwaje sasa unasema tena Meli rafiki zinaingia na kutoka?
 
Mkuu tuwe na utaratibu wa kujisomea,ni kwamba iko hivi mwaka 1970 UN ilipitisha azimio[Non Proliferation Treaty of Nuclear Weapons-NPT]. Lengo ni kutoendeleza silaha ya Nuclear kutokana na madhara yaliyo tokea kule Nagasaki Japan.

Hivyo walikubaliana hakuna ruhusa nchi nyingine mpya kumiliki hyo silaha kwa malengo ya kivita..na zile ambazo tayari zinazo hiyo silaha waendelee kupunguza kiwango chake.labda unaweza kurutubisha kwa malengo ya kupata nishati.

IRANI ilisaini huo mkataba wa kukubali hayo masharti. Kwa kifupi nenda ukajisomee..ni mkataba ulio sainiwa mwaka 1970
Hoja Yangu, u.s.a peke anaweza jiamulia?
 
Unawivu ,zionist is finished tell your friends,europe is kicking them no visa for them in spain and italy.
Italy stoped all military cooperation with zionist.
Spain na Italy hao wote wanategemea teknolojia ya kijeshi ya Israel kwa ajili ya wao kujilinda lakini si Israel inawahitaji wao kujilinda!! Hawana impact yoyote kwa Israel!!!

Canada australia and europe is not joining your friend Trump in Hormuz.
Canada na Australia na Ulaya kwa ujumla wote hao wanaitegemea Marekani na si Marekani inawategemea wao hivyo wakishindwa ku-Join kazi itaendelea tu maana hawana Impact!!

Zionist american empire is finished
Hizo ni ndoto za Mwendawazimu!!!
 
Kama njia ya kulipiza kisasi kwa kitendo cha Iran kuzuia meli za baadhi ya mataifa kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, tangu jana majira ya saa 4 asubuhi, Jeshi la Marekani limeweka zuio la meli yoyote kuingia au kutoka kwenye bandari zote za Iran. Na Marekani imeweka wazi kuwa kwenye zuio hilo, meli yoyote ya kivita ya Iran itakayozisogelea meli za kivita za Marekani zinazohakikisha hakuna meli inayoingia au kutoka bandari za Iran, itazamishwa.

Mpaka sasa Iran imeamua kutulia bila ya kupambana na Marekani kivita, badala yale waziri wa mambo ya nje wa Iran amepeleka malalamiko kwenye Baraza la Umoja wa mataifa akilalamika kuwa kitendo hicho cha Marekani ni kutoheshimu sovereignity ya Iran. Marekani nayo imesema kuwa inafanya hivyo ili kukomesha Economic Terrorism ya Iran.

Sijui kwa nini Iran inakazania kuendelea na mradi wa nuklia. Kwa nini isikubali kuachana nao, ila na yenyewe itake majirani zake wote wa Mashariki ya kati wasitengeneze wala kumiliki silaha za nuklia? Iran ipo disadvantaged kutokana na ile kauli yake na msimamo wake mpaka leo, kuwa eti Taifa la Wayahudi halitakiwi kuwepo Duniani, linatakiwa kuangamizwa, eti ni agizo la Allah.

Kutokana na msimamo huu, chochote inachokifanya Iran ili kuwa na silaha za maangamizi inatafsiriwa inataka kuiangamiza Israel. Iran ilitakiwa kuufuta msimamo huo wa kigaidi, kisha kutangaza kulitambua taifa la Israel kama taifa jirani, kama ilivyokuwa kabla ya utawala wa Ayatollah, kisha kuanzisha uhusiano mpya na majirani zake. Bila hivyo, Iran itakuwa nchi ya vita na shida kubwa kiuchumi miaka yote.
Iran hata akiacha nyuklia atatafutwa kwa njia nyingine tu
 
Mkeka ujao wa EWURA mlionunua magari kwa mihemko mtayasusa parking!!!
 
Back
Top Bottom