Iran ndiyo ingekuwa Israel, Ritz na FaizaFoxy wangekuwa wanajidai hao

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Kwa bahati mbaya Iran haina uwezo huo, jambo hili linamuumiza sana Ritz bila kusahau bibi FaizaFoxy

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran imedufuliwa mpaka Iran imekuwa kibogoyo yani Iran ikiambiwa sema Ubwabwa inasema Wawa maana meno ya mbele yamedufuliwa yote.

Aah Israel ni Israel tu, yani anawapiga mtungo Iran, Palestina, Lebanon na Syria. Magaidi wameyatimba, bahati mbaya zaidi Allah nayeye ameingia kwenye mfumo.
 
Aah Israel ni Israel tu, yani anawapiga mtungo Iran, Palestina, Lebanon na Syria. Magaidi wameyatimba.
Ushabiki maandazi huu....
 
Wewe jamaa unajua kuwakera watu.
 
Ukweli anaujua Iran sio propoganda za Israel na USA. Siku zote Iran anafanya calculations za kumaliza vifaranga nakumbuka Israel alivyo muuwa kiongozi wa Hamas ndani ya Iran wengi walisema Iran hawezi kulipa. Wakashangaa Iran alipo mcharaza Isreal tarehe 1st October. Nyie kalieni kupiga kelele za kanisani humu. Iran mwenzenu mpaa US anashangaa kumuona ana carries zinabeba drones afu zinauweza wa kujificha hazionekani.

Nyie ngojeni kipigo atakacho pewa Israel na iran ndio mtagundua Ayatollah hana wa kumbabaisha.
 
Katika mizwazwa ya tim jehova kwasasa ww namba 1 ikili imebaki kwa Mwampasa alichokuachia ni kisigino tu utumie kuwaza na kuwazua. Embu unoneni kijana uyu ndio Taifa linamtegrmea lkn akili zake ndio uwezo wake. Anadai kwa akili yake Israel nikitu cha samani kias anadai Ritz na Faidha wangejivunia ingekuwa Iran ndio Israel daaaa pole Zwazwa ww yani ichi ya Iran ambayo ipo na Aman miaka kwa miaka upande wapili Israel huu mwaka Waisrael milion 1 na lak 5 wamekimbia kusalimisha maisha yao ndani ya Israel uko Israel mji mkuu unapigwa na Yemen unapigwa na Hezboolah pia i mepigwa vibaya Live na Iyoiyo Iran leo RTZ au Fadha wawe wanatamani ingekuwa kinyume akili zenu ni mzigo kwa Taifa. Unajivunia nini ikiwa Iran ndio anafadhili umwajikaji Damu wa Waisrael na IDF mbona atuoni kukosekana amani uko Iran kias cha watu Wanakimbilia kwenye mashimo kama mipanya au ngili sasa Faidha atamani maisha ya kipumbavu wkt wowote mnakimbizana na panya kwenye mashimo. Wayahudi wapo Iran wanaishi na kuinjoy maisha ya aman awatamani ata kufikiria kwenda kwenye vita ile ww zwazwa kwa ushamba wako na kudangwanya kwako unadhan kuna viumbe vinataman kuishi Israel ww mbona upo TZ nenda kwanza ww kisha utuambie kama kuna mito y Asali.
 
Mwamposa, Allah, Muhammad na wewe ni malofa tu ndiyomaana allah kakimbia baada ya kupigwa mtungo huko uarabuni.
 
Ukweli anaujua Iran sio propoganda za Israel na USA. Siku zote Iran anafanya calculations za kumaliza vifaranga nakumbuka Israel alivyo muuwa kiongozi wa Hamas ndani ya Iran wengi walisema Iran hawezi kulipa. Wakashangaa Iran alipo mcharaza Isreal tarehe 1st October. Nyie kalieni kupiga kelele za kanisani humu. Iran mwenzenu mpaa US anashangaa kumuona ana carries zinabeba drones afu zinauweza wa kujificha hazionekani.

Nyie ngojeni kipigo atakacho pewa Israel na iran ndio mtagundua Ayatollah hana wa kumbabaisha.
Bhahahahaa, shehe inakuuma sana kupigwa mtungo na nchi 1, sahivi Ayatollah yuko taabani.
 
Katika mizwazwa ya tim jehova kwasasa ww namba 1 ikili imebaki kwa Mwampasa alichokuachia ni kisigino tu utumie kuwaza na kuwazua. Embu unoneni kijana uyu ndio Taifa linamtegrmea lkn akili zake ndio uwezo wake. Anadai kwa akili yake Israel nikitu cha samani kias anadai Ritz na Faidha wangejivunia ingekuwa Iran ndio Israel daaaa pole Zwazwa ww yani ichi ya Iran ambayo ipo na Aman miaka kwa miaka upande wapili Israel huu mwaka Waisrael milion 1 na lak 5 wamekimbia kusalimisha maisha yao ndani ya Israel uko Israel mji mkuu unapigwa na Yemen unapigwa na Hezboolah pia i mepigwa vibaya Live na Iyoiyo Iran leo RTZ au Fadha wawe wanatamani ingekuwa kinyume akili zenu ni mzigo kwa Taifa. Unajivunia nini ikiwa Iran ndio anafadhili umwajikaji Damu wa Waisrael na IDF mbona atuoni kukosekana amani uko Iran kias cha watu Wanakimbilia kwenye mashimo kama mipanya au ngili sasa Faidha atamani maisha ya kipumbavu wkt wowote mnakimbizana na panya kwenye mashimo. Wayahudi wapo Iran wanaishi na kuinjoy maisha ya aman awatamani ata kufikiria kwenda kwenye vita ile ww zwazwa kwa ushamba wako na kudangwanya kwako unadhan kuna viumbe vinataman kuishi Israel ww mbona upo TZ nenda kwanza ww kisha utuambie kama kuna mito y Asali.
Duh mkuu kunywa maji kwanza 🤣🤣🤣🤣
 
Kwa bahati mbaya Iran haina uwezo huo, jambo hili linamuumiza sana Ritz bila kusahau bibi FaizaFoxy

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran imedufuliwa mpaka Iran imekuwa kibogoyo yani Iran ikiambiwa sema Ubwabwa inasema Wawa maana meno ya mbele yamedufuliwa yote.

Aah Israel ni Israel tu, yani anawapiga mtungo Iran, Palestina, Lebanon na Syria. Magaidi wameyatimba, bahati mbaya zaidi Allah nayeye ameingia kwenye mfumo.
yaani unajiandikia vitu kama wewe pekee ndo unayefatilia hizo mambo...nani anatamani Iran iwe kama taifa la mashoga,magharibi mashoga,mashariki mashoga,kusi na kaskazini kote watu wanapakuana ndo unatka watu wajidai na hao no rinda!!!!
 
Mashoga wakuu ni waislamu, aya hii hapa

Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
 
Back
Top Bottom