Iran ndiyo ingekuwa Israel, Ritz na FaizaFoxy wangekuwa wanajidai hao

Kwa bahati mbaya Iran haina uwezo huo, jambo hili linamuumiza sana Ritz bila kusahau bibi FaizaFoxy

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran imedufuliwa mpaka Iran imekuwa kibogoyo yani Iran ikiambiwa sema Ubwabwa inasema Wawa maana meno ya mbele yamedufuliwa yote.

Aah Israel ni Israel tu, yani anawapiga mtungo Iran, Palestina, Lebanon na Syria. Magaidi wameyatimba, bahati mbaya zaidi Allah nayeye ameingia kwenye mfumo.
Kuna watu wachokozi sana.
 
Us

Sioni kama ni jambo zuri kuhusisha imani ya watu au kumuhusisha Mungu wa waislamu "Allah" katika mijadala ya kisiasa.

Mkristo mwenye maadili hawezi kumkejeli Allah. Wala muislam mwenye maadili hawezi kumkejeli Yehova.

Ninashawishika kuwa ni huwa Mungu mmoja ila majina ni tofauti.
 
@mods Uzi ufutwe na mleta mada ale ban... Ameonesha dharau dhidi ya dini ya wenzake..
 
Us

Sioni kama ni jambo zuri kuhusisha imani ya watu au kumuhusisha Mungu wa waislamu "Allah" katika mijadala ya kisiasa.

Mkristo mwenye maadili hawezi kumkejeli Allah. Wala muislam mwenye maadili hawezi kumkejeli Yehova.

Ninashawishika kuwa ni huwa Mungu mmoja ila majina ni tofauti.
allah hana lolote mkuu ni mpuuzi kama wapuuzi wengine sawa?
 
Kwa bahati mbaya Iran haina uwezo huo, jambo hili linamuumiza sana Ritz bila kusahau bibi FaizaFoxy

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran imedufuliwa mpaka Iran imekuwa kibogoyo yani Iran ikiambiwa sema Ubwabwa inasema Wawa maana meno ya mbele yamedufuliwa yote.

Aah Israel ni Israel tu, yani anawapiga mtungo Iran, Palestina, Lebanon na Syria. Magaidi wameyatimba, bahati mbaya zaidi Allah nayeye ameingia kwenye mfumo.
Baikoko unacheza wapi ww maana mchokonozi mzuru
 
Katika mizwazwa ya tim jehova kwasasa ww namba 1 ikili imebaki kwa Mwampasa alichokuachia ni kisigino tu utumie kuwaza na kuwazua. Embu unoneni kijana uyu ndio Taifa linamtegrmea lkn akili zake ndio uwezo wake. Anadai kwa akili yake Israel nikitu cha samani kias anadai Ritz na Faidha wangejivunia ingekuwa Iran ndio Israel daaaa pole Zwazwa ww yani ichi ya Iran ambayo ipo na Aman miaka kwa miaka upande wapili Israel huu mwaka Waisrael milion 1 na lak 5 wamekimbia kusalimisha maisha yao ndani ya Israel uko Israel mji mkuu unapigwa na Yemen unapigwa na Hezboolah pia i mepigwa vibaya Live na Iyoiyo Iran leo RTZ au Fadha wawe wanatamani ingekuwa kinyume akili zenu ni mzigo kwa Taifa. Unajivunia nini ikiwa Iran ndio anafadhili umwajikaji Damu wa Waisrael na IDF mbona atuoni kukosekana amani uko Iran kias cha watu Wanakimbilia kwenye mashimo kama mipanya au ngili sasa Faidha atamani maisha ya kipumbavu wkt wowote mnakimbizana na panya kwenye mashimo. Wayahudi wapo Iran wanaishi na kuinjoy maisha ya aman awatamani ata kufikiria kwenda kwenye vita ile ww zwazwa kwa ushamba wako na kudangwanya kwako unadhan kuna viumbe vinataman kuishi Israel ww mbona upo TZ nenda kwanza ww kisha utuambie kama kuna mito y Asali.
Bila Shaka Hilo povu linatoka masjid mtoro
 
Hizbo wanamzigo jamn duuh

🟡 Report | Hezbollah’s ‘Construction Jihad’ Organization:

In response to the recent devastation, Hezbollah’s Construction Jihad initiative has announced comprehensive financial support for affected families:

In the Southern Suburb of Beirut:
• Each affected family will receive $6,000 annually for temporary housing until their homes are rebuilt.
• Additionally, a one-time payment of $8,000 will be provided to cover furniture expenses.

In Southern Lebanon and the Beqaa region:
• Each affected family will receive $4,000 annually for temporary housing until their homes are rebuilt.
• A one-time payment of $8,000 will also be granted for furniture costs.

🔹@enemywatch
 
Kwa bahati mbaya Iran haina uwezo huo, jambo hili linamuumiza sana Ritz bila kusahau bibi FaizaFoxy

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran imedufuliwa mpaka Iran imekuwa kibogoyo yani Iran ikiambiwa sema Ubwabwa inasema Wawa maana meno ya mbele yamedufuliwa yote.

Aah Israel ni Israel tu, yani anawapiga mtungo Iran, Palestina, Lebanon na Syria. Magaidi wameyatimba, bahati mbaya zaidi Allah nayeye ameingia kwenye mfumo.
Tungeteseka sana 😅😅😅... Now hawajui nani wamuite Zayuni
 
Back
Top Bottom