Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kuna watu wachokozi sana.Kwa bahati mbaya Iran haina uwezo huo, jambo hili linamuumiza sana Ritz bila kusahau bibi FaizaFoxy
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran imedufuliwa mpaka Iran imekuwa kibogoyo yani Iran ikiambiwa sema Ubwabwa inasema Wawa maana meno ya mbele yamedufuliwa yote.
Aah Israel ni Israel tu, yani anawapiga mtungo Iran, Palestina, Lebanon na Syria. Magaidi wameyatimba, bahati mbaya zaidi Allah nayeye ameingia kwenye mfumo.
Sioni kama ni jambo zuri kuhusisha imani ya watu au kumuhusisha Mungu wa waislamu "Allah" katika mijadala ya kisiasa.Kwa bahati mbaya Iran haina uwezo huo, jambo hili linamuumiza sana Ritz bila kusahau bibi FaizaFoxy
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran imedufuliwa mpaka Iran imekuwa kibogoyo yani Iran ikiambiwa sema Ubwabwa inasema Wawa maana meno ya mbele yamedufuliwa yote.
Aah Israel ni Israel tu, yani anawapiga mtungo Iran, Palestina, Lebanon na Syria. Magaidi wameyatimba, bahati mbaya zaidi Allah nayeye ameingia kwenye mfumo.
allah hana lolote mkuu ni mpuuzi kama wapuuzi wengine sawa?Us
Sioni kama ni jambo zuri kuhusisha imani ya watu au kumuhusisha Mungu wa waislamu "Allah" katika mijadala ya kisiasa.
Mkristo mwenye maadili hawezi kumkejeli Allah. Wala muislam mwenye maadili hawezi kumkejeli Yehova.
Ninashawishika kuwa ni huwa Mungu mmoja ila majina ni tofauti.
Baikoko unacheza wapi ww maana mchokonozi mzuruKwa bahati mbaya Iran haina uwezo huo, jambo hili linamuumiza sana Ritz bila kusahau bibi FaizaFoxy
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran imedufuliwa mpaka Iran imekuwa kibogoyo yani Iran ikiambiwa sema Ubwabwa inasema Wawa maana meno ya mbele yamedufuliwa yote.
Aah Israel ni Israel tu, yani anawapiga mtungo Iran, Palestina, Lebanon na Syria. Magaidi wameyatimba, bahati mbaya zaidi Allah nayeye ameingia kwenye mfumo.
Bila Shaka Hilo povu linatoka masjid mtoroKatika mizwazwa ya tim jehova kwasasa ww namba 1 ikili imebaki kwa Mwampasa alichokuachia ni kisigino tu utumie kuwaza na kuwazua. Embu unoneni kijana uyu ndio Taifa linamtegrmea lkn akili zake ndio uwezo wake. Anadai kwa akili yake Israel nikitu cha samani kias anadai Ritz na Faidha wangejivunia ingekuwa Iran ndio Israel daaaa pole Zwazwa ww yani ichi ya Iran ambayo ipo na Aman miaka kwa miaka upande wapili Israel huu mwaka Waisrael milion 1 na lak 5 wamekimbia kusalimisha maisha yao ndani ya Israel uko Israel mji mkuu unapigwa na Yemen unapigwa na Hezboolah pia i mepigwa vibaya Live na Iyoiyo Iran leo RTZ au Fadha wawe wanatamani ingekuwa kinyume akili zenu ni mzigo kwa Taifa. Unajivunia nini ikiwa Iran ndio anafadhili umwajikaji Damu wa Waisrael na IDF mbona atuoni kukosekana amani uko Iran kias cha watu Wanakimbilia kwenye mashimo kama mipanya au ngili sasa Faidha atamani maisha ya kipumbavu wkt wowote mnakimbizana na panya kwenye mashimo. Wayahudi wapo Iran wanaishi na kuinjoy maisha ya aman awatamani ata kufikiria kwenda kwenye vita ile ww zwazwa kwa ushamba wako na kudangwanya kwako unadhan kuna viumbe vinataman kuishi Israel ww mbona upo TZ nenda kwanza ww kisha utuambie kama kuna mito y Asali.
Tungeteseka sana 😅😅😅... Now hawajui nani wamuite ZayuniKwa bahati mbaya Iran haina uwezo huo, jambo hili linamuumiza sana Ritz bila kusahau bibi FaizaFoxy
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran imedufuliwa mpaka Iran imekuwa kibogoyo yani Iran ikiambiwa sema Ubwabwa inasema Wawa maana meno ya mbele yamedufuliwa yote.
Aah Israel ni Israel tu, yani anawapiga mtungo Iran, Palestina, Lebanon na Syria. Magaidi wameyatimba, bahati mbaya zaidi Allah nayeye ameingia kwenye mfumo.
Nyuma yakoUnaugua toka kijiwe cha msikiti gani?
Umewachokoza na wao wapo tulii bin tulivu wanasubiri kuingia peponi tu.Wamefanyaje?