Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini kuliko iran,

Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini kuliko iran,

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Uchambuzi

Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini zaidi kuliko iran, lakini iran ni nchi yenye jeshi imara lenye uwezo wa kutengeneza mabomu ikiwemo nuclear japo kwa sasa haina silaha hiyo kwa sasa hivyo inajeshi lenye uwezo wa juu kuliko Tanzania na afrika kwa ujumla.

lakini iran ni maskini kuliko Israel na jeshi lake halifikii viwango vya jeshi la israel, kwa sasa iran inapambana na jeshi lenye nguvu zaidi yake, baada ya vita hivi irani itabaki magofu kama gaza na bila miundombinu yoyote kwani Israel inapiga miundombinu inayoshikiria uchumi wa irani ikiwemo viwanda vya mabomu na mafuta pamoja na wataalamu wake wote.

Huku kwa upande wa iran yeye anarusha tu makombora hovyo israel bila kuwa ni mikakati yoyote, kwasababu hana taarifa zaidi za kijasusi ndani ya Israel hana control ya moja kwa moja ya mabomu anayorusha, japo anayomengi lakini hii haisaidii.

Irani mpaka sasa imetumia mabillion ya fedha kuishambulia hovyo Israel bila madhara yoyote makubwa huku israel ikiwauwa viongozi wake na kuharibu miundombinu yake ya nuclear kwa mashumbilizi yake.

Israel inawafadhili ni msaada wa nchi tajiri duniani lakini iran haina misaada yoyote hi inapelekea gharama za mashanbulizi za Israel kuwa sio kitu cha hasara, huku kwa iran yeye hana msaada wowote kwenye vita na anarusha mabomu hovyo hii ni tafsiri kuwa hasara kubwa na umaskini utaweza kuangukia iran na vita hawatashinda.

Israel hata ghorofa likibomolewa na bomu wanazo fedha za ufadhili za kulisimamisha tena upya kwa muda mfupi hawana cha kupoteza lakini irani itafika kipindi itakuwa kama gaza.
 
Sasa umechambua nini?
nimechambua kwamba iran ni nchi maskini kuliko Israel na haina misaada yoyote wala ujasusi ndani ya Israel, lakini Israel ina ujasusi ndani ya iran ina misaada ya nchi tajiri hii inaweza kupelekea Israel kushinda vita hivyo.

Mimi siegemei upande wowote ila nimelenga uhalisia asante sana
 
wave ya 5 ya missiles iko njiani, zisharushwa bado kutua
Umeona yeye anarusha tu kisha anasikilizia hana control ya mabomu hayo baada ya kufyatua na hana ujasusi ndani ya Israel kulenga maeneo ya kimkakati, sasa mabomu hayo yanagharimu mabillion ya fedha huku raia wake wakiwa na changamoto za kiuchumi na umaskini.
 
Umeona yeye anarusha tu kisha anasikilizia hana control ya mabomu hayo baada ya kufyatua na hana ujasusi ndani ya Israel kulenga maeneo ya kimakakati, sasa mabomu hayo yanagharimu mabillion ya fedha huku raia wake wakiwa na changamoto za kiuchumi na umaskini.
Israel kajenga millitary facilities katikati ya Tel Aviv na ndo missiles zinapokuja kutua
 
Israel kajenga millitary facilities katikati ya Tel Aviv na ndo missiles zinapokuja kutua
Mpaka sasa kuna miundombinu yoyote ya kimakakati iliyo haribiwa ndani ya Israel? sijasikia bado inaweza kuwa ni ngumu kwasababu mifumo ya ulinzi imeelekezwa kwenye hayo maeneo ya kimakakati ngoja nifuatilie.
 
Israel kajenga millitary facilities katikati ya Tel Aviv na ndo missiles zinapokuja kutua
Mwaka gani umewah kusikia zinatua? Zinaruhusiwa kutua tu endapo eneo zitakapoenda kutua hazitaleta madhara ,,sii vinginevyo
 
Mwaka gani umewah kusikia zinatua? Zinaruhusiwa kutua tu endapo eneo zitakapoenda kutua hazitaleta madhara ,,sii vinginevyo
Huu ndio mfumo niliyo mwambia ngoja hizo mvua anazo shsbikia zifike kisha hatupe updates yake
 
hakuna, ila wave ya 5 iko njiani, mfiche msifiche, Fattahs ziko njiani
Kama hata wewe mwarabu wa Dar unajua ziko njiani, unafikiri wa Israel na nchi washirika wao hawajui, kwa hiyo tarajia madhara yatapunguzwa Sana kwa hiyo wave 5 yako.
 
Kama hata wewe mwarabu wa Dar unajua ziko njiani, unafikiri wa Israel na nchi washirika wao hawajui, kwa hiyo tarajia madhara yatapunguzwa Sana kwa hiyo wave 5 yako.
wave ya 5 inakuja, rudi kwenye bunker haraka sana
 
Binafsi huwa mashindwa kuelewa hizo taarifa mnatoaga kwenye vyanzo gani tu, nadhani mnapswa muwe mnakuja na proof (Thibitisha unachokiongea)
nime zungumzia vitu vingi nikizani kila mmoja anajua kinachoendelea.

mfano,
Tanzania haiwezi kutengeneza hata bomu lakini iran inaweza, hii ninproof kuwa iran ni nchi imara kuliko Tanzania.

Hivyo vitu vyote vina fact za kiushahidi wewe jiongeze tu mwenyewe.
 
Tamasha la mahanithi limesogezwa mbele huko , subiria vurugu ziishe ukajumuike .
 
nime zungumzia vitu vingi nikizani kila mmoja anajua kinachoendelea.

mfano,
Tanzania haiwezi kutengeneza hata bomu lakini iran inaweza, hii ninproof kuwa iran ni nchi imara kuliko Tanzania.

Hivyo vitu vyote vina fact za kiushahidi wewe jiongeze tu mwenyewe.
Iran hajawahi kuwa maskini ,ila wana akili za kuzaliwa ...Hapo ni sogeza kete ...Kama Israel ataipiga basi amalize wote ila kumbuka vile nafasi zote zimeshapata watu siku mbili tu tangu wauliwe na hao hao wamefanya mashambulizi.


Israel ni nchi ndogo sana ,zikipigwa nuclear kadhaa bas hakuna nchi hapo kabisa ...So kasogeza kete na Iran kasukum yake ... Israel anachotakiwa kusogeza kete ya mwisho ya ushindi yaani apige pasiwe na mpango wa kulipiza tena ,ammalize Iran kabisa ..Hiki ni kiama.

Mwenzio anatumia muda kuongea na Wairan ,kuwarubuni anawajua vizuri ,wana uwezo wa kila kitu na wala sio maskini.
 
Back
Top Bottom