Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
nimechambua kwamba iran ni nchi maskini kuliko Israel na haina misaada yoyote wala ujasusi ndani ya Israel, lakini Israel ina ujasusi ndani ya iran ina misaada ya nchi tajiri hii inaweza kupelekea Israel kushinda vita hivyo.Sasa umechambua nini?
Umeona yeye anarusha tu kisha anasikilizia hana control ya mabomu hayo baada ya kufyatua na hana ujasusi ndani ya Israel kulenga maeneo ya kimkakati, sasa mabomu hayo yanagharimu mabillion ya fedha huku raia wake wakiwa na changamoto za kiuchumi na umaskini.wave ya 5 ya missiles iko njiani, zisharushwa bado kutua
Israel kajenga millitary facilities katikati ya Tel Aviv na ndo missiles zinapokuja kutuaUmeona yeye anarusha tu kisha anasikilizia hana control ya mabomu hayo baada ya kufyatua na hana ujasusi ndani ya Israel kulenga maeneo ya kimakakati, sasa mabomu hayo yanagharimu mabillion ya fedha huku raia wake wakiwa na changamoto za kiuchumi na umaskini.
Mpaka sasa kuna miundombinu yoyote ya kimakakati iliyo haribiwa ndani ya Israel? sijasikia bado inaweza kuwa ni ngumu kwasababu mifumo ya ulinzi imeelekezwa kwenye hayo maeneo ya kimakakati ngoja nifuatilie.Israel kajenga millitary facilities katikati ya Tel Aviv na ndo missiles zinapokuja kutua
hakuna, ila wave ya 5 iko njiani, mfiche msifiche, Fattahs ziko njianiMpaka sasa kuna miundombinu yoyote ya kimakakati iliyo haribiwa ndani ya Israel? sijasikia bado inaweza kuwa ni ngumu kwasababu mifumo ya ulinzi imeelekezwa kwenye hayo maeneo ya kimakakati ngoja nifuatilie.
Ngoja tufuatilie mkuu usisahau kutupa updateshakuna, ila wave ya 5 iko njiani, mfiche msifiche, Fattahs ziko njiani
Mwaka gani umewah kusikia zinatua? Zinaruhusiwa kutua tu endapo eneo zitakapoenda kutua hazitaleta madhara ,,sii vinginevyoIsrael kajenga millitary facilities katikati ya Tel Aviv na ndo missiles zinapokuja kutua
Huu ndio mfumo niliyo mwambia ngoja hizo mvua anazo shsbikia zifike kisha hatupe updates yakeMwaka gani umewah kusikia zinatua? Zinaruhusiwa kutua tu endapo eneo zitakapoenda kutua hazitaleta madhara ,,sii vinginevyo
Kama hata wewe mwarabu wa Dar unajua ziko njiani, unafikiri wa Israel na nchi washirika wao hawajui, kwa hiyo tarajia madhara yatapunguzwa Sana kwa hiyo wave 5 yako.hakuna, ila wave ya 5 iko njiani, mfiche msifiche, Fattahs ziko njiani
wave ya 5 inakuja, rudi kwenye bunker haraka sanaKama hata wewe mwarabu wa Dar unajua ziko njiani, unafikiri wa Israel na nchi washirika wao hawajui, kwa hiyo tarajia madhara yatapunguzwa Sana kwa hiyo wave 5 yako.
nime zungumzia vitu vingi nikizani kila mmoja anajua kinachoendelea.Binafsi huwa mashindwa kuelewa hizo taarifa mnatoaga kwenye vyanzo gani tu, nadhani mnapswa muwe mnakuja na proof (Thibitisha unachokiongea)
Iran hajawahi kuwa maskini ,ila wana akili za kuzaliwa ...Hapo ni sogeza kete ...Kama Israel ataipiga basi amalize wote ila kumbuka vile nafasi zote zimeshapata watu siku mbili tu tangu wauliwe na hao hao wamefanya mashambulizi.nime zungumzia vitu vingi nikizani kila mmoja anajua kinachoendelea.
mfano,
Tanzania haiwezi kutengeneza hata bomu lakini iran inaweza, hii ninproof kuwa iran ni nchi imara kuliko Tanzania.
Hivyo vitu vyote vina fact za kiushahidi wewe jiongeze tu mwenyewe.