Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini kuliko iran,

Ambacho huja consider Iran wana Smart people kushinda Israel na wana Ma Engineer na scientist wengi, Wanatumia pesa kidogo kuleta maendeleo.

Hilo Ghorofa la Israel pengine lina cost mara 100 ama 200 ya Ghorofa la Iran.

Karibia kila kitu jamaa wanatengeneza wenyewe mpaka Metro na Treni zao wanatengeneza wenyewe kwa asilimia 85.

Kuanzia Hospitali, usafiri, Maji, nyumba, Elimu jamaa wapo juu.

Hayo makombora unayozungumzia sasa hivi Iran ana ya Tengeneza na kuuza kwa bei rahisi sana. Mfano jana umeona suicide drone zimetumwa kama 100 ina wacost Iran 10K-50K so kwa hizo 100 pengine ni just 1m-5M usd.

According to Guardian Missile za Iran zina cost kama £80,000 na a interceptor ya Israel ni mara 10 yake na system YENYEWE £2.3M.

So Ku intercept kombora la Iran inabidi Israel watu mie gharama zaidi ya mara 10.

So mkuu linapokuja suala la cost Iran ana advantage kubwa mno.
 
Binafsi huwa mashindwa kuelewa hizo taarifa mnatoaga kwenye vyanzo gani tu, nadhani mnapswa muwe mnakuja na proof (Thibitisha unachokiongea)
Hakuna mwenye taarifa yeyote, ushabiki tu
 
Unahoja ya msingi sana kuhusu uimara wa iran hata bila misaada pamoja na vikwazo tele lakini hii hatuwezi kuichukulia kama kweli Israel inavilaza, nasikia hata hii mitandao mikubwa na vitu vingi vya kiteknolojia vimegunduliwa na wayahudi kama wanaweza kutengeza ghorofa na mabomu vipi unamjua nani aliyegundua vitu hivyo ?
 
Kwa nini umefananisha umasikini wa Iran na wa Tanzania?
 
Wangekuwa na hizo sifa wangeuliwa mkuu wa majeshi ?
 
Kabla sijasahau Iran sio maskini mkuu
 
But still historical mpaka sasa Wairan wapo vizuri.

Jambo moja ambalo wazungu wamefanikiwa ni sensa zao kumu include Muiran kama Mzungu, utaambiwa huyu black, huyu white, huyu jew etc ila hutasikia identity ya Muiran.

Hapo Usa Most educated Group ni Wairan, na wana hold position kubwa kubwa Kila sehemu.

Mpaka project ya kwenda Mars leading scientists ni Muiran.


Utofauti ni kwamba wairan ni wanasayansi by nature, wao wapo busy kutengeneza na kugundua vitu, ila jews wengi wanapenda ku control pesa.
 
Wangekuwa na hizo sifa wangeuliwa mkuu wa majeshi ?
Kwamba kuuliwa ama kutouliwa mkuu wa na jeshi kunafanya silaha kuwa rahisi ama ghali ama mtu huyu ana akili huyu hana? Logic za kahawa hizi.
 
aiseee kuna watu ni mataira viwango vya SGR et TZ n tajiri kuliko IRAN
 
WEWE NI MPUMBAVU
 
 

Attachments

  • Samia is coming for youall😂😂😭😭.mp4
    1.1 MB
  • videoplayback-1.mp4
    3.8 MB
Iran naTanzania wapi na wapi Iran ina akiba kubwa ya maliasili mbalimbali ya zikiwemo oil, gas , madini na mazao tofauti tofauti. Iran ina akiba ni nchi ya nne duniani yenye oil na hifadhi ya pili kwa ukubwa ya gas. Iran ina akiba kubwa ya madini kama makaa ya mawe, shaba, chuma, risasi, zinki, uranium na dhahabu. Iran pia ina akiba kubwa ya madini mengine kama vile chromite, manganese, na barite. Zaidi ya hayo, Iran ina sekta kubwa ya kilimo na ngano, mchele na zaidi ya hivyo. Huwezi kufananisha Tanzania na Iran hata siku moja.
 
Hatimaye Iran haijageuzwa kuwa gaza..Bado ni imara sana......
 
Kipondo heavy kimetembea kweli kweli dhidi ya mashoga wa kizayuni
 
IRAN NCHI MASIKINI KWENYE MAKARATASI NA VYOMBO VYA HABARI VYA WEST ILA KWA UHALISIA KATIKA NCHI TAJIRI PALE MIDDLE EAST IRAN NAYE YUPO SEMA TU KILA MTU ANA KIPAOMBELE CHAKE. MFANO DUBEI KIPAO MBELE CHAKE MAJUMBA YA STAREHE NDIO MAANA KILA MTU ANAWAONA MATAJIRI
 

Ila wabongo bana.
KUIFANANISHA IRAN NA TANZANIA NI UWENDAWAZIMU WA KIWANGO CHA JUU HATUNA UWEZO WA KUMILIKI HATA RADA YAO MOJA YA ULINZI BADO HATUJAZUNGUMZIA KOMBORA MOJA YA HYPERSONIC, KIFUPI WAO WANATENGENEZA SILAHA YA KUTUMIKA NA NCHI YA DUNIA YA KWANZA .WAMETUZID KIELIMU ,KIUCHUMI, TECNOLOJIA, USHAWISHI , KUMBUKA IRAN NIKATIKA NCHI ZIINAZOSHIKILIA UCHUMI WA DUNIA ,INAIUZIA MAFUTA CHINA, INABANDARI KUBWA NYINGI ZA KUJENGA WAO WENYEWE AMBAZO SISI HATA MOJA TU HATUNA YA KUFANANISHA NA BANDARI YAO MOJAWAPO, WANAMILIKI SATELLITE YAO YA ULINZI TENA SIO MOJA, KWA KIFUPI HAKUNA NCHI HATA MOJA AFRICA INAYOWEZA KUJILINGANISHA UCHUMI WAKE NA IRAN TUKIZUNGUMZIA UCHUMI SIO THAMAN YA PESA MAANA HUMU MBUMBUMBU WENGI.
 
Kwanza futa kauli ya kusema Iran ni nchi masikini.
Iran ni middle upper income country.
Iran ni industrialized nation kuliko nchi yeyote Africa.
Tena Iran imefanya yote hayo ikiwa na vikwazo lukuki zaidi ya miaka 40.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…