STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Iran bado sana wakati ndie anaeongoza kuwadai nchi yenu, unatakiwa uirambe miguu na kuinyenyekea Iran kwa kukustiri na kukulishaIran bado sana,haziwezi figisu. Iran anao maadui wa ndani wengi sn. Familia nyingi nchini Iran zinalia kuwapoteza wapendwa wao kunakofanywa na serikali. Kwahiyo,ni rahisi adui kuwatumia watu kama hao kufanya hujuma.