Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Huko kwenye mtandao wa X kuna video moja fupi inayotembea kwa kasi inayomuonesha mwanamke mmoja aliyetambulika kama Morality Police Officer yaani polisi wa maadili ambaye alikuwa anashambuliwa na wanawake wenzake.
Polisi huyo aliripotiwa kumpiga mwanamke mwenzake kwa sababu mwanamke huyo alikuwa hajavaa hijab, wakati anamshambulia mwanamke mwenzake, wanawake wenzake waliona kitendo hicho na kuamua kumshambulia yeye.
Hivi unawezaje kumshambulia mwanamke mwenzako hajavaa hijab? Ni utaratibu wa wapi huo wakuu?