ππππππππSafi sana nasiburi maoni ya wauza alkasusu wa magomeni, tandika na buguruni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππππSafi sana nasiburi maoni ya wauza alkasusu wa magomeni, tandika na buguruni.
ππππWewe mwehu kama paulo kama hujui matumizi ya alama za mkato mwambie mchungaji wako akufundishe ndio urudi tena humu unamsema mwenzio kumbe nawewe ni kichaa.
Au roho mtakatifu hajakuingia vizuri huko. Maana hata kiswahili tu hujui.
Quran 2:97
Sema: Aliye kuwa adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani juu ya moyo wako, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayosadikisha yaliyo kuwa kabla yake, na uwongofu na kheri. bishara kwa waumini."
Au sio mtakatifu wa Mudi unae subiri mabikira 7 peponi... Afu unapewa Nguvu za kuchakata mabikira 40 kwa siku...Muislam mwanamke kuvaa hijab ni lazima haina option ktk nchi ya kiislam. Ktk nchi za kikafiri ni option
Sijapanick nimekuuliza unaelewa matumizi ya alama za mkatoππππ
Mbona umepaniki ndugu yangu katika Imani?
Haya niambie hapo umerekebisha nini zaidi ya kuthibitisha nilichonukΓΊu kwenye kuluwani kuwa shetani ndiye aliyeiteremsha kuluwani
ππππ
Haya uwanja wako endelea na matusi mi naishiwa hapaSijapanick nimekuuliza unaelewa matumizi ya alama za mkato
Alafu angalia tafsiri yangu na yako usiwe mwehu naona mchungaji kakupagawisha mpaka huelewi
Hapa hakuna uwanja wa mtu hakikisha unajua unacho kifanya na kukiandika na sio kujizushia tu.Haya uwanja wako endelea na matusi mi naishiwa hapa
Enhee nimekujaje na wewe umenipokeajeHapa hakuna uwanja wa mtu hakikisha unajua unacho kifanya na kukiandika na sio kujizushia tu.
Au kuzusha ilimradi ujione unajua au kudhalilisha.
unavyo kuja ndivyo unavyo pokelewa.
Pengine ziko kwenye shamba lisilo halaliPilipili ziko shambani, wewe zinakuuma nini?
Watumishi njoeni mtuokoe...shekhe kashusha nyundo nzitoKwa maana hiyo umewahibitishia wakristo wenzio maneno ya paulo kwenye bibilia hayana faida
Okay
Na pia bibilia ni kitabu tu cha hovyo akina maneno yenye mantiki
Haya nayo ndio matokeo ya kile kikao cha akina netanyauHuko kwenye mtandao wa X kuna video moja fupi inayotembea kwa kasi inayomuonesha mwanamke mmoja aliyetambulika kama Morality Police Officer yaani polisi wa maadili ambaye alikuwa anashambuliwa na wanawake wenzake.
Polisi huyo aliripotiwa kumpiga mwanamke mwenzake kwa sababu mwanamke huyo alikuwa hajavaa hijab, wakati anamshambulia mwanamke mwenzake, wanawake wenzake waliona kitendo hicho na kuamua kumshambulia yeye.
Hivi unawezaje kumshambulia mwanamke mwenzako hajavaa hijab? Ni utaratibu wa wapi huo wakuu?
Uislamu ni dini ya kishamba sana na yakihafidhina,dunia imeshatoka uko,pumbafu.Huko kwenye mtandao wa X kuna video moja fupi inayotembea kwa kasi inayomuonesha mwanamke mmoja aliyetambulika kama Morality Police Officer yaani polisi wa maadili ambaye alikuwa anashambuliwa na wanawake wenzake.
Polisi huyo aliripotiwa kumpiga mwanamke mwenzake kwa sababu mwanamke huyo alikuwa hajavaa hijab, wakati anamshambulia mwanamke mwenzake, wanawake wenzake waliona kitendo hicho na kuamua kumshambulia yeye.
Hivi unawezaje kumshambulia mwanamke mwenzako hajavaa hijab? Ni utaratibu wa wapi huo wakuu?
Umeiona demokrasia hiyo? Kitabu ulicho kinukuu ni moja ya vitabu ambavyo Waislam wameambiwa kua ni vya Mungu and hence wanatakiwa kuvifuata, sasa unamchapa mtu bakora kwa kutokuvaa HIJABU ili iweje? I thought mambo ya imani yanaanzia moyoni then yata reflect mwilini na akilini; sasa ukimvalisha binti/mwanamke hijabu halafu wanaume wanawachezea ndio inakuaje? Bora kua Real kuliko pretendersKumbukumbu la Torati 30:19
[19]Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako.
Na Yesu amesema mtu akitaka maana yake alazimishi.
Luka 9:23 Akawaambia wote, Mtu ye yote akitaka kunifuata, na ajikane mwenyewe, ajitwike msalaba wake kila siku, anifuate.
Ni demokrasia kabisa. Munga alazimishi. Una Ona maneno ya hayo maandiko?. Kuna njia ya mauti na uzima. Anasema chagua uzima . Kingine Yesu anasema mtu yeyote atakaye . Maana yake usipotaka akulazimi. Ni hihali yako. Wanaolazimisha ndiyo hao mtu ajavaa anakamatwaUmeiona demokrasia hiyo? Kitabu ulicho kinukuu ni moja ya vitabu ambavyo Waislam wameambiwa kua ni vya Mungu and hence wanatakiwa kuvifuata, sasa unamchapa mtu bakora kwa kutokuvaa HIJABU ili iweje? I thought mambo ya imani yanaanzia moyoni then yata reflect mwilini na akilini; sasa ukimvalisha binti/mwanamke hijabu halafu wanaume wanawachezea ndio inakuaje? Bora kua Real kuliko pretenders
Hichi kingereza hiki, duhDamn, she look like don't fucked for ages.
Utajua hujuiHichi kingereza hiki, duh
Ngoja nikawaulize ntaleta mrejeshoUmeamua kujizima data?
Huoni kama unachanganya iman za watu.
Swali je hao wanawake wa huko kwenu wanafunika kichwa wakihutubia?