Iran: Polisi wa kike amshambulia mwanamke mwenzake kisa kutokuvaa Hijab. Wanawake wengine wajibu mapigo!

Sijui nini kilitokea ila kuna wakati Zanzibar ilikuwa inaelekea huko
 
Watakwambia ndio ndio sheria za dini zinavyosema
Kwa kawaida Mungu halazimishi watu kumuabudu, Mungu ni mwana democracy, anakuacha but final inakuja huko mbeleni, Mungu anaelazimisha watu wampende sio muumba wa mbingu na nchi, ni shetani aliye vaa jina la mungu
 
Kuwa muislam kwanza ili ujuwe maadili hasa katika uislamu ni nini pia utajifunza utu wa mwanamke, utajua thamani ya mwanamke na heshima yake pia lakini utajifunza madhara yanayopatika ikiwa hukufuata maadili.
 
Damn, she look like don't fucked for ages.
 
1 Corinthians 11:6
Bible says
Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.
Soma kuanzia mstari wa kwanza. Maana pia anasema kuhusu mwanaume.
1 Corintho 11:4
Kila mwanamume asalipo, au anapohutubu, naye amefunikwa kichwa, yuaabisha kichwa chake.

My take
Kwahiyo tuseme mnapohutubu na baragashia kichwani au ile motandio wanajiabisha?

Hapo 1 Corintho 11.6 kaongele mwanamke akiwa anahutubu.
 
Story zakijiweni
Kumeibuka Story zakipumbavu sasahivi Zikiletwa na Wapumbavu Kuhusu Iran
Na Wajinga wanapokea tu bila ya kutia Akili !!
 
Umeamua kujizima data?
Huoni kama unachanganya iman za watu.
Swali je hao wanawake wa huko kwenu wanafunika kichwa wakihutubia?
 
Kuran zimewahi kutolewa matoleo 20 tofauti tofauti. Just for your information.
Kwa hiyo ndio inaondoa neno lako kuhusu paulo?
Au hujui hata unakusudia nini.

Alafu acha kunipakazia na maelezo unayo toa mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…