Iran: Polisi wa kike amshambulia mwanamke mwenzake kisa kutokuvaa Hijab. Wanawake wengine wajibu mapigo!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbona umepaniki ndugu yangu katika Imani?
Haya niambie hapo umerekebisha nini zaidi ya kuthibitisha nilichonukΓΊu kwenye kuluwani kuwa shetani ndiye aliyeiteremsha kuluwani

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Muislam mwanamke kuvaa hijab ni lazima haina option ktk nchi ya kiislam. Ktk nchi za kikafiri ni option
Au sio mtakatifu wa Mudi unae subiri mabikira 7 peponi... Afu unapewa Nguvu za kuchakata mabikira 40 kwa siku...

Zaidi ni kwamba mkifika peponi wote mnakuwa waarabu.... Pia kutakuwa na mito ya pombe za kila aina.. hivyo kulia mabikira kushoto pombe, hivyo mwendo wa kuchakata na kupombeka milele na milele.....

Ila mudy mjanja sana.. alijua wanadamu wanapenda starehe akaona awavutie kwa pombe na wanawake hahahahahaha mwendo wa kuchovya tu!!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbona umepaniki ndugu yangu katika Imani?
Haya niambie hapo umerekebisha nini zaidi ya kuthibitisha nilichonukΓΊu kwenye kuluwani kuwa shetani ndiye aliyeiteremsha kuluwani

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sijapanick nimekuuliza unaelewa matumizi ya alama za mkato
Alafu angalia tafsiri yangu na yako usiwe mwehu naona mchungaji kakupagawisha mpaka huelewi
 
Sijapanick nimekuuliza unaelewa matumizi ya alama za mkato
Alafu angalia tafsiri yangu na yako usiwe mwehu naona mchungaji kakupagawisha mpaka huelewi
Haya uwanja wako endelea na matusi mi naishiwa hapa
 
Haya uwanja wako endelea na matusi mi naishiwa hapa
Hapa hakuna uwanja wa mtu hakikisha unajua unacho kifanya na kukiandika na sio kujizushia tu.

Au kuzusha ilimradi ujione unajua au kudhalilisha.
unavyo kuja ndivyo unavyo pokelewa.
 
Hapa hakuna uwanja wa mtu hakikisha unajua unacho kifanya na kukiandika na sio kujizushia tu.

Au kuzusha ilimradi ujione unajua au kudhalilisha.
unavyo kuja ndivyo unavyo pokelewa.
Enhee nimekujaje na wewe umenipokeaje
 
Haya nayo ndio matokeo ya kile kikao cha akina netanyau
Tukajua wanakuja na kisasi kumbe wamejipanga kueneza umbea
 
Uislamu ni dini ya kishamba sana na yakihafidhina,dunia imeshatoka uko,pumbafu.
 
Umeiona demokrasia hiyo? Kitabu ulicho kinukuu ni moja ya vitabu ambavyo Waislam wameambiwa kua ni vya Mungu and hence wanatakiwa kuvifuata, sasa unamchapa mtu bakora kwa kutokuvaa HIJABU ili iweje? I thought mambo ya imani yanaanzia moyoni then yata reflect mwilini na akilini; sasa ukimvalisha binti/mwanamke hijabu halafu wanaume wanawachezea ndio inakuaje? Bora kua Real kuliko pretenders
 
Ni demokrasia kabisa. Munga alazimishi. Una Ona maneno ya hayo maandiko?. Kuna njia ya mauti na uzima. Anasema chagua uzima . Kingine Yesu anasema mtu yeyote atakaye . Maana yake usipotaka akulazimi. Ni hihali yako. Wanaolazimisha ndiyo hao mtu ajavaa anakamatwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…