Iran: Takribani lita milioni 20 hadi 50 za mafuta huuzwa kimagendo nje ya nchi kwa siku, vigogo Serikalini na Jeshi wahusishwa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Nchini Iran takribani lita milioni 20 hadi 50 za mafuta huuzwa kimagendo nje ya nchi kwa siku, vigogo Serikalini na Jeshi wahusishwa

Wadau hamjamboni nyote?

Huu ni utafiti kuhusu biashara ya magendo ya mafuta nchini Iran na uhusika wa Viongozi waandamizi kisiasa na kijeshi kufanikisha biashara hiyo haramu

Ni biashara yenye faida kubwa kwani Lita moja ya mafuta Iran huuzwa kwa bei ya ruzuku ya centi mbili kwa lita.

Walanguzi hao huuza kimagendo mafuta hayo nje ya nchi kwa centi 40 kwa lita hivyo kujipatia utajiri mkubwa wa mamilioni ya Dola za kimarekani

Mafuta hayo husafirishwa kwa njia za magari, meli ndogo zilizopo kwenye bandari zinalindwa na Jeshi la Iran IRGC na mabomba ya mafuta yaliyochimbwa chini ya ardhi kusini mwa nchi ya Iran

Kwa siku Lita milioni 120 husambazwa kwa matumizi nchini humo lakini ni Lita milioni 70 pekee ndiyo hutumika!

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Gasoline smuggling from Iran raises questions about authorities’ role
Oct 10, 2024, 16:48 GMT+1

Iran’s gasoline smuggling crisis has reached unprecedented levels, with new estimates suggesting that up to 50 million liters of fuel are being illegally exported from the country every day.

This volume of fuel being siphoned out has cast doubts over the Islamic Republic’s narrative, which for years has placed the blame for smuggling on small-scale operators along the country’s borders. Instead, recent revelations point to a systemic operation involving high-level complicity.

Economist Mousa Ghaninejad ignited this debate in October 2024 when he provided an updated figure for the amount of gasoline being smuggled from Iran. Drawing from official statistics, Ghaninejad estimated that of the 120 million liters distributed daily across the country, only 70 million liters are actually consumed domestically.

“The rest is smuggled out of the country,” Ghaninejad said, pinning the figure at roughly 50 million liters per day—an amount that dwarfs previous estimates of around 20 million liters.

Transporting such an enormous quantity of gasoline would be a logistical feat beyond the capacity of the small-time fuel carriers the Islamic Republic often claims are responsible.

These smugglers, who typically use 2,000 to 2,500-liter tanks mounted on Nissan Junior pickup trucks, would need a convoy of at least 20,000 fully loaded trucks to move 50 million liters of gasoline in a single day. If these 4-meter-long trucks were lined up end to end with a three-meter gap between them, the convoy would stretch over 140 kilometers, highlighting the implausibility of small-scale smugglers being solely responsible for this volume of fuel trafficking.

Larger tanker trucks, which can hold up to 40,000 liters, would still need to operate in significant numbers, requiring at least 500 tanker trucks to move 20 million liters and over 1,250 trucks to handle the 50 million-liter figure.

Systemic smuggling networks

Economic journalist Reza Gheibi explained that this volume of fuel smuggling is unlikely to be carried out by individuals or even small groups. He pointed to cases in which underground gasoline pipelines have been discovered, particularly in southern provinces, and added that fuel is also being smuggled via small ships operating from ports controlled by the Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC).

Gasoline in Iran is sold at a subsidized price of around two cents per liter, but the government is forced to buy millions of barrels of fuel at a price of nearly 60 to 70 cents per liter. Smugglers can then sell the fuel on the black market for as much as 40 cents per liter, creating a massive profit margin. For those behind the operations, this translates into millions of dollars of profit every day.

Smuggling networks within the system

The involvement of officials in fuel smuggling operations has become apparent over recent years, as investigations and arrests have revealed a network of corruption within government centers. In December 2022, Aref Akbari, the Public and Revolutionary Prosecutor of Hormozgan Province, southern Iran, announced the arrest of six rural mayors, three employees of the Ministry of Industry, and two members of the Engineering Organization on charges of collaborating with fuel smugglers. These individuals allegedly issued fraudulent certifications to heavy machinery owners, enabling them to receive subsidized fuel without actually operating the machinery.

#IRAN INTERNATIONAL

3e4d33113429253d078783f4b76a286cccb1958f-1200x821.jpg

Bongo pia ni wateja wa hayo mafuta yanayouzwa bei rahisi baharini.. Nchi ikipatwa na upungufu wa mafuta ni uzembe wa waziri husika... Mafuta ya Kiislam ya Irani ni rahisi kuyapata bila vikwazo.. ndio maana hata jeshi lao la kiislam linafurahia vikwazo kuliko kitu kingine.. Irani ilipofutiwa vikwazo njaa ilikuwa kubwa sana kwa wapiga deal ambao ni jeshi la kiislam.

Bongo vituo kibao vya wese.. immagin Israel alipue visima vyao am sure watalia nae hadi mwisho mana ndio itakuwa mwisho wa Iran na uislam nchini Iran
 
We mlokole huna akili
 
Binadamu mashine tata unaweza kuta man Ayatola Kobazi mkuu nae anapiga hapo hapo na yeye ntu wa dili
 
Hizi Petroleum Station zinazofunguliwa kila siku mmmmh
 
Kama wairani wanatajirika acha wafanye maana wananchi wakiwa matajiri ndio maendeleo yenyewe wao waliowekewa vikwazo tena walipe tu kodi kwa Ayatollah. Najua wanajua ila wanaacha ili wapate mzigo
 
Mafuta ya kiislam ya Iran? Ndo nini sasa umeandika

View attachment 3122007View attachment 3122007
hii ndio nchi ya kupigana na marekani? ambayo ikipigwa tu hata hawa wanyonya mafuta wanalala njaa. tofauti ya nchi hizi za uchumi wa kati na nchi za magaribi nikwamba wenzetu uchumi wao upo kidigitali, wanahama kwenye materials wanaenda kwenye digital. mtu anatengeneza mabilioni akiwa sebuleni kwake anakunywa kahawa, hata vita ikianza popote atakapokimbilia akiwa na laptop au simu maisha yanaendelea. sio hawa wanaotegemea mafuta ya magendo kama watu wa buza.
 
Back
Top Bottom