Kumbe Kuna backup 🤣🤣
USA inapigika kmmk Aibu Kubwa sana hii 🤣🤣😄😄🙌
Iran walisema lakini , Israel ving'ora havitoacha kulia 😄
Iran walisema lakini , Israel ving'ora havitoacha kulia 😄
Hapo wakichunguzwa vizuri hao lazima Kuna watakao kuwa wamejiharishia
Sure Mzee 🙌🤣Hii hizi habari uwezi kuziona CNN au Fox News😂
View: https://x.com/sprinterpress/status/2029910091999138240?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wana kuambia Iran wajisalimishe 🤣🙌 Kwa mkong'oto huu wanaotoa wanaanzaje kujisalimisha , dahh propaganda zao kizamani sana wanatamani technology isingekuwepoTrump na wenzake wanakuambia Iran wameishwa makombora😀
View: https://x.com/hippyygoat/status/2029843413533667765?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wamevurungwa.Wana kuambia Iran wajisalimishe 🤣🙌 Kwa mkong'oto huu wanaotoa wanaanzaje kujisalimisha , dahh propaganda zao kizamani sana wanatamani technology isingekuwepo
Duuhh hii mbona ni Aibu Kubwa sana , 🤣🤣Iran hawana jeshi la Anga tena😅
View: https://x.com/sinanakyuz73/status/2029736198650966451?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Daah mdada wa watu hataki dhulma Aisee nasikia hapo anasema hataki kushiriki kufanya genocide!!