Iran: Uchaguzi Mkuu wa kumpata Rais mpya kufanyika Juni 28, 2024

Iran: Uchaguzi Mkuu wa kumpata Rais mpya kufanyika Juni 28, 2024

Hata sisi 2021 ilitakiwa kuwa hivi. Katiba ina matobo sana, kurithishana majukumu mazito namna hii kama mtu hana vision ni shida tupu.
2025 itakuwa sasa akipitishwa yeye na akashinda hii hoja itakuwa haina tena meno.
 
Katiba yetu ibadilike, mambo ya kirithi hakuna, mambo ya kufa mke wangu, mie nirithi mdogo wake, au nife mie mke wangu arithiwe na ndugu yangu hapana, aachwe aolewe na anaemtaka
Mambo ya kurithi mke baada ya kufa kaka mtu, au mjomba nikiwa mdogo niliwahi kuyaona kusukuma na kwa sasa nadhani kwa sababu ya ukimwi wameacha,
 
Iran imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wa rais mnamo Juni 28, kufuatia kifo cha rais Ebrahim Rais na maafisa wengine katika ajali ya helikopta wakati mazishi yakitarajiwa kufanyika Jumanne.

===================

Iran on Monday declared that it would be holding an early presidential election on June 28 following the death of President Ebrahim Raisi in a helicopter crash.

According to state-run news agency IRNA, the announcement of the date for the country's 14th presidential elections came after a meeting between the heads of the judicial, executive and legislative authorities.

Candidate registrations will begin on May 30, the report said, adding that campaigning would take place on June 12-27.

Raisi was returning from the inauguration ceremony of a dam on the Iran-Azerbaijan border on Sunday when the crash took place, according to Iranian state broadcasters.

The crash also resulted in the deaths of Iranian Foreign Affairs Minister Hossein Amir-Abdollahian, as well as that of Malik Rahmeti, the governor of East Azerbaijan province, and Imam Ayatollah Ali Hashim of Tabriz province.

Mohammad Mokhber, Iran's first vice president, was appointed acting president Monday after Raisi's death.
Kwa hili Taifa la Iran 🇮🇷 linastahili pongezi nyingi.
SI kwa Nchi ya kusadikika ya Puerto Rico Rais akifia madarakani makamu anakaa kwenye kiti hadi muhula uishe,
Na walivyo wa ajabu kwa kawaida makamu huwa anatokea kisiwa fulani huwa wanateuliwa mtu dhaifu, goigoi, matokeo yake Wameyaona Wapuerto Rico madhara ya kuwa na makamu dhaifu.
Ni aibu sana kwa Wapuerto Rico,
Nasikia katiba wanatumia iliyotengenezwa kipindi cha chama kimoja,
Na nasikia kwao katiba mpya si kipaumbele, eti "Katiba haileti chakula meza"
Alisikika juha mmoja akisema hivyo,
Rasilimali za nchi zinawafaidisha wageni na kikundi kidogo cha wazawa binafsi, walafi, mafisadi papa, huku Wapuerto Rico wamelala.
 
Back
Top Bottom