Iran Urusi na China wameipata teknolojia ya f 35 stealth kiuwepesi kabisa

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
695
Reaction score
1,817
Mara baada ya f 35 stealth kudunguliwa sasa Urusi na UChina wataenda kuchukua teknology ya f35 Iran

Hii ni Faida kubwa sana kwa Iran,Urusi na UChina


Mmarekani hataki kumuuzia yeyote hio f35 zaidi ya Muisraeli huyo Uturuki kanyimwa kuogopa teknolojia itaibwa.
 
Binafsi sijawahi kuielewa vita ya mashariki ya kati.

Kizazi cha mashariki ya kati kimejaa uogaa saana. Utaskia nchi na nchi zinapigana ila zinachaguliana namna ya kupigana. Eti usirushe makombora mitaani!!!

Hii vita haitakaa iishe sio kwasababu ya dini au ujinga mnaotuambia kila siku. Sababu ni haya mataifa yanaogopana.

Israel unataka kumpiga Iran...mpige mchakaze. Iran unataka kumpiga Israel ingia Isreal piga chakaza au upigwe. Hii tabia ya kurushiana rushiana vi ndege 100 au vimissile haitamaliza vita.
 
Hizo ni porojo tu za masjid hakuna ndege ya Israel iliyodondoshwa.

Wairan wa Teheran wameshaambiwa wakae mbali na maeneo fulani fulani kwa sababu mifumo ya anga ya Iran imeshazidiwa.
 
Wmekupa hiyo taarifa?
 
Toka juzi mmesema F35 ime dondoshwa ajabu hata picha ya bawa hamna mnaokoteza tu vipicha vya mtandaoni nyie jamaa (wavaa vipedo) akili zenu ziko matterCorn Useless kabisa 🚮🚮
Picha akupe nani, unadhani wote Wana makelele na show off kama zayuni?..mzigo upo karakana unachinjwa,Iran walipoishusha drone ya marekani bila kuipiga early 2000s walionesha picha?!
 
Waafrika,tunajalibiwa kwenye madawa na vifaa tiba

Waarabu ,hao ni kwajili ya kujaribiwa silaha
 
Picha akupe nani, unadhani wote Wana makelele na show off kama zayuni?..mzigo upo karakana unachinjwa,Iran walipoishusha drone ya marekani bila kuipiga early 2000s walionesha picha?!
Hawaamini kabisa , wanasubiri propaganda za kimagharibi ziwape majibu
 
Kwa namna fulani upo sahihi.

Ili hawa watu wawili waheshimiane inapaswa waachwe mtu mbili bila kuingiliwa wapigane full scare war mmoja apigwe mpaka achakae bila kuokolewa ndipo wataheshimiana ila hii michezo wanayo endeleana nayo kila siku itakuwa vinazuka vi migogoro vya hovyo kila muda
 
Toka juzi mmesema F35 ime dondoshwa ajabu hata picha ya bawa hamna mnaokoteza tu vipicha vya mtandaoni nyie jamaa (wavaa vipedo) akili zenu ziko matterCorn Useless kabisa 🚮🚮
Ila wabongo bana....heti Wavaa vipedo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…