Iran Urusi na China wameipata teknolojia ya f 35 stealth kiuwepesi kabisa

Iran Urusi na China wameipata teknolojia ya f 35 stealth kiuwepesi kabisa

Binafsi sijawahi kuielewa vita ya mashariki ya kati.

Kizazi cha mashariki ya kati kimejaa uogaa saana. Utaskia nchi na nchi zinapigana ila zinachaguliana namna ya kupigana. Eti usirushe makombora mitaani!!!

Hii vita haitakaa iishe sio kwasababu ya dini au ujinga mnaotuambia kila siku. Sababu ni haya mataifa yanaogopana.

Israel unataka kumpiga Iran...mpige mchakaze. Iran unataka kumpiga Israel ingia Isreal piga chakaza au upigwe. Hii tabia ya kurushiana rushiana vi ndege 100 au vimissile haitamaliza vita.
Wewe una mawazo kama niliyokuwa nayo nilipokuwa na umri wa miaka 12. Nilikuwa nadhani vita ni kupiga kila kilicho mbele yako na ukiweza kumaliza nchi ya adui, basi unapiga na kuua raia wote na nyumba zote unabomoa.
 
Ndege za USA, UK, France, Jordan na melivita za USA ndo zilikua na kazi ya kutungua usiku kucha,iron dome imedata
Hizo walizotungua wao sina taarifa nazo ila zilizofika kwenye sky ya Tel Aviv zikatunguliwa nilishuhudia na ndizo naongelea
 
Hahaha hongera ziende kwa Mama maana mpaka Mama ntilie nao ni wataalamu wa geopolitics
Yani NI hatari, halafu sijui na hivyo vyombo vya kivita wanasomeaga wapi, ñaonag kabisa wanajua ip NI nzuri ipi SIO nzuri, JF Raha sana
 
Toka juzi mmesema F35 ime dondoshwa ajabu hata picha ya bawa hamna mnaokoteza tu vipicha vya mtandaoni nyie jamaa (wavaa vipedo) akili zenu ziko matterCorn Useless kabisa 🚮🚮
IDF Israel wenyewe ndio wasema ndege yao F 35 imedondoshwa.huamini nini
 
Back
Top Bottom