Iran walialia baada ya vinu vya nyuklia kupigwa kirusi, waapa kulipiza kisasi

Iran walialia baada ya vinu vya nyuklia kupigwa kirusi, waapa kulipiza kisasi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti haina customers

CHINA wanaweza wakaziuza HUAWEI kupitia soko lao landani tu namaisha yakaendelea kama kawaida

Taifa lenye watu 1.6Bs unawahoji kuhusiana na customers [emoji23][emoji23][emoji23]


mwisho:-Hakuna wakumtisha IRAN haya mambo sio mazuri japokua yakawaida sanaaaaa.....


Alokwambia Pato la HUAWEI linashuka nani unaweza kutetea hoja zako kwakuleta DATA ?!
Mkurungenzi tu wa huawei anatumia iphone
 
Huawei aiwezi kufa wanacomponent nyingi kuziondoa katika soko ni vigumu mitambo mingi inatumia component za Huawei na sasa yeye pekee a run 5G usimchezee

HUAWEI Ana investment kubwa sana kwenye 5G sijakataa ila unajua Mmarekani yuko kwenye research ya 6G ikitoka tu 5G haina kazi ndio itakuwa mwisho wa HUWAWEI
 
I like this [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39], naomba itokee vita kamili hapo tujue mshindi nani, tushachoka maneno maneno sasa
Hizo ni kelele za vyura tuu hamna cha kutokea hapo, wakitaka wajue warushe tu jiwe telvive ama lingine ndio watakumbushwa 1967 ilikuaje
 
Nataka kigezo ulichotumia kusifu "IRAN kweli TAIFA kubwa sana aseee" Bwana Utam.
Nimetumi vigezo
a-kua naushawishi Mkubwa sana katika eneozima lamashariki yakati kuzidi taifa lolote ama kuyazidi mataifa Mengi yapale ME

b-kuweza kwake kuhimili mashinikizo navikwazo vyakila namna anavyokumbana navyo kutoka katika mataifa makubwa KIUCHUMI KISIASA KIJESHI n.k

c-Kua na amani na usalama zaidi katika eneo lamashariki yakati ambalo ndio eneo linalo ongoza zaidi kwamigogoro namapigano namauaji yahapa napale kuliko sehem nyengine yeyote hapa kwa DUNIA

Namengineyo ijapokua haya yanatosha sanaa...........

Paula Paul
 
Back
Top Bottom