Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"waapa kulipiza kisasi"
hapo Iranian huwa hawakopeshi
Asante Bwana Utam.Nimetumi vigezo
a-kua naushawishi Mkubwa sana katika eneozima lamashariki yakati kuzidi taifa lolote ama kuyazidi mataifa Mengi yapale ME
b-kuweza kwake kuhimili mashinikizo navikwazo vyakila namna anavyokumbana navyo kutoka katika mataifa makubwa KIUCHUMI KISIASA KIJESHI n.k
c-Kua na amani na usalama zaidi katika eneo lamashariki yakati ambalo ndio eneo linalo ongoza zaidi kwamigogoro namapigano namauaji yahapa napale kuliko sehem nyengine yeyote hapa kwa DUNIA
Namengineyo ijapokua haya yabatosha sanaa...........
Paula Paul
Asante Bwana Utam.[/QUOTE
]Paula Paul: usijali c*
Kila siku anaibuka na jipya hakawii kusema Huawei ndiyo inasambaza Corona