Iran walialia baada ya vinu vya nyuklia kupigwa kirusi, waapa kulipiza kisasi

Iran walialia baada ya vinu vya nyuklia kupigwa kirusi, waapa kulipiza kisasi

Nimetumi vigezo
a-kua naushawishi Mkubwa sana katika eneozima lamashariki yakati kuzidi taifa lolote ama kuyazidi mataifa Mengi yapale ME

b-kuweza kwake kuhimili mashinikizo navikwazo vyakila namna anavyokumbana navyo kutoka katika mataifa makubwa KIUCHUMI KISIASA KIJESHI n.k

c-Kua na amani na usalama zaidi katika eneo lamashariki yakati ambalo ndio eneo linalo ongoza zaidi kwamigogoro namapigano namauaji yahapa napale kuliko sehem nyengine yeyote hapa kwa DUNIA

Namengineyo ijapokua haya yabatosha sanaa...........

Paula Paul
Asante Bwana Utam.
 
Kila siku anaibuka na jipya hakawii kusema Huawei ndiyo inasambaza Corona

Na kweli kuna habari kuwa 5G ya Huawei ina mionzi mikali sana kiasi kwamba kama tukiitumia magonjwa mengi sana yanaweza yakatokea[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom