Zikiwa zimebaki siku 30 kuelekea uchaguzi wa Rais wa Marekani, Upepo wa ushindi unavuma zaidi kwenye kambi ya Trump, Ikiwa atashinda hali inaweza kuwa mbaya sana kwa Iran.
Aliyekuwa kiongozi mzito mwenye ushawishi zaidi kwenye jeshi la Iran, Qasem Soleimani aliuawa 2020 kufuatia agizo la Trump.
Haikuishia hapo Trump alisimamia ukucha vikwazo vya kuwabana Iran wasiuze mafuta, Iran ilikuwa imefulia (Broke), Uchumi wa Iran ulibana sana kiasi kwamba wakajitoa muhanga kusafirisha mafuta Venezuela, Meli hizo zilikamatwa (Seized) kwa amri ya Trump, Biden alipoingia kawatajirisha sana Iran, Sanctions zimekuwa kama mapambo wanauza pipa milioni 1 kila siku
Trump hakujivunga kuipa msaada Israel, Netanyahu aliwahi kunukuliwa akisema "Israel haijawahi kupata Rais Rafiki zaidi wa kumzidi Trump", alienda mbali zaidi kutambua mji wa Jerusalema kuwa makao makuu ya Israel yenye ubalozi wa Marekni, aliwapa assist kubwa mno Israel kulichukua eneo la Gollan Heights.