Iran wamalizane na Israel haraka sana Kabla Trump hajaingia Ikulu, Trump aliifubaza Iran na akirudi ataendelea alipoishia.

Iran wamalizane na Israel haraka sana Kabla Trump hajaingia Ikulu, Trump aliifubaza Iran na akirudi ataendelea alipoishia.

Mkuu labda hufahamu kuwa hao sio wanajedhi aunpolisi wote ni just one of the police unions marekani
Kawa endorsed na union maarufu na kongwe zaidi ya mapolisi Marekani, Kwanini isiwe Kamala ?
 
Kawa endorsed na union maarufu zaidi ya mapolisi Marekani, Kamala hajapata endorsement kutoka union yoyote husika.
Mkuu labda hujui kuhusu hizi union zinavyofanya kazi, trump amekuwa endorsed na board of ipu na ipu sio union kubwa marekani
In 2020 alikuwa endorsed na fraternal police order, the largest union ya mapolisi marekani na guess what? Alishindwa uraisi
 
Zikiwa zimebaki siku 30 kuelekea uchaguzi wa Rais wa Marekani, Upepo wa ushindi unavuma zaidi kwenye kambi ya Trump, Ikiwa atashinda hali inaweza kuwa mbaya sana kwa Iran.

Aliyekuwa kiongozi mzito mwenye ushawishi zaidi kwenye jeshi la Iran, Qasem Soleimani aliuawa 2020 kufuatia agizo la Trump.

View attachment 3116048

Haikuishia hapo Trump alisimamia ukucha vikwazo vya kuwabana Iran wasiuze mafuta, Iran ilikuwa imefulia (Broke), Uchumi wa Iran ulibana sana kiasi kwamba wakajitoa muhanga kusafirisha mafuta Venezuela, Meli hizo zilikamatwa (Seized) kwa amri ya Trump, Biden alipoingia kawatajirisha sana Iran, Sanctions zimekuwa kama mapambo wanauza pipa milioni 1 kila siku

Trump hakujivunga kuipa msaada Israel, Netanyahu aliwahi kunukuliwa akisema "Israel haijawahi kupata Rais Rafiki zaidi wa kumzidi Trump", alienda mbali zaidi kutambua mji wa Jerusalema kuwa makao makuu ya Israel yenye ubalozi wa Marekni, aliwapa assist kubwa mno Israel kulichukua eneo la Gollan Heights.

Kwani Iran ina vita na Marekani?
 
Mkuu labda hujui kuhusu hizi union zinavyofanya kazi, trump amekuwa endorsed na board of ipu na ipu sio union kubwa marekani
In 2020 alikuwa endorsed na fraternal police order, the largest union ya mapolisi marekani na guess what? Alishindwa uraisi
Ulianzisha hoja ya idara za Ulinzi hawamkubali Trump, Umeona nilichokujibu ni facts umeanza kuongelea vitu vingine kabisa uchaguzi wa 2020, ni sawa na kubisha mtu flani hana nguvu, ukipigwa ubadilishe topic kwamba ngumi zake hazina speed, yafaa kwanza ukubali ulichoanzisha ni hoja dhaifu isiyo na mashiko ndio uanzishe mijadala mingine.
 
Hoja yako ni dhaifu na haina ukweli, IPU ni moja ya union ya police na siyo kubwa na haiwakilishi jeshi au vyombo vya usalama marekani ni mapolisi tu na si wote kama ulivyodhania,
Ukizungumzia kuhusu union kubwa ipo fraternal union order ambayo hadi sasa ipo kimya ila 2020 ilimuendorse trump ingawa alishindwa
Ila mageneral hawa wa marekani wamemuona huyo trump ni hatari kwa usalama wa marekani
 
Ulianzisha hoja ya idara za Ulinzi hawamkubali Trump, Umeona nilichokujibu ni facts umeanza kuongelea vitu vingine kabisa uchaguzi wa 2020, ni sawa na kubisha mtu flani hana nguvu, ukipigwa ubadilishe topic kwamba ngumi zake hazina speed, yafaa kwanza ukubali ulichoanzisha ni hoja dhaifu isiyo na mashiko ndio uanzishe mijadala mingine.
Na kwa taarifa yako more than 700 top intelligence officers wa marekani wamemuendorse kamalaa harris fyi achana na ipu ni ki union kidogo sana cha polisi marekani
 
Attachments

  • Screenshot_20241005-181329_Chrome.jpg
    Screenshot_20241005-181329_Chrome.jpg
    389.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom