The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Peace,
Yani helcopter 3 zinasafiri katika ukungu ulioripotiwa na wataalamu wa anga na aviation kua "dhaifu na wa kawaida" alafu 1 kati ya chopa 3 inaanguka. Na tena inayoanguka ni "chopa ya rais" na nyingine zinaendelea na safari huku mawasiliano ya chopa zote 3 yakifanyika "muda wote" na kwamba hali ni shwari.
Hata baada ya kufika chopa mbili na kushtuka ya rais haipo bado mawasiliano ya chopa ya rais yanaendelea kuripot kua wako "salama"
Wavaa kobazi hawataki kuamini kilichotokea wamengangani "ni ajali ya kawaida" na huo ndio ugwiji wa ujasusi unawatwanga watu kipapai wanabaki na nadharia za fikra finyu ila kwa watu makini wanajua kilichofanyika ni kazi "makini" isiyoacha doa.
That was an obvious well calculated job na hali ya hewa "ikatumika vema" ikumbukwe Israel ilitoa taarifa ya kufa kwa rais wa Iran masaa matatu kabla ya Iran kuwa na taarifa na kuriport chochote.
Yani wamepigwa kipapai wamebaki kuduwaa qdadeki maswali mengi majibu hakuna. Mpaka mda huu ubao wa matokeo unasoma Israel - 65 Iran - 1