Iran wanaamini ajali hio ya kawaida. Je, Ni kweli?

Sasa si wangemkamata Sinwar pale Gaza ,watu mnatengeneza nadharia yaani
Sinwar anaishi kama panya Allah akbar Allah akbar. Huyo Allah yuko wapi sasa awasaidie wapalestina? Anachojua tu ni kiarabu 😅🤣👌🏿👆🏿
 
Ndio mumkamate tuone wanayosema wanauwezo nayo.
 
Kibaya ndege ilikuwa ni ya kimarekani

[emoji16] which means walikuwa wanai monitor toka ilipopaa angani.
Kazingua hata Paul makonda hawezi kuingia huo mtego yaani wamemdungua kiboya sana
 
Tukitowa mambo ya wavaa kobadh na wavaa rozali sisi sote ni binaadamu tuwekeni ubinaadamu mbele unafuraiaje kifo cha binaadamu mwenzio yahn kama ww unajuwa utakufaje au uliambiwa utaishi milele?chuki za udini zisitutowe akili jamani kifo si kitu cha kufurahia jiulize hiyo siku ikikufikia utakuwa katika hali gani
 
Wamenyamaza,
Hawana ujanja.
Israel kasema that's so minner if were. his ivengernging .

... Mamndenyi eti ni English teacher, lol.
 
Peace,

Yani helcopter 3 zinasafiri katika ukungu ulioripotiwa na wataalamu wa anga na aviation kua "dhaifu na wa kawaida" alafu 1 kati ya chopa 3 inaanguka. Na tena inayoanguka ni "chopa ya rais" na nyingine zinaendelea na safari huku mawasiliano ya chopa zote 3 yakifanyika "muda wote" na kwamba hali ni shwari.

Hata baada ya kufika chopa mbili na kushtuka ya rais haipo bado mawasiliano ya chopa ya rais yanaendelea kuripot kua wako "salama"

Wavaa kobazi hawataki kuamini kilichotokea wamengangani "ni ajali ya kawaida" na huo ndio ugwiji wa ujasusi unawatwanga watu kipapai wanabaki na nadharia za fikra finyu ila kwa watu makini wanajua kilichofanyika ni kazi "makini" isiyoacha doa.

That was an obvious well calculated job na hali ya hewa "ikatumika vema" ikumbukwe Israel ilitoa taarifa ya kufa kwa rais wa Iran masaa matatu kabla ya Iran kuwa na taarifa na kuriport chochote.
View attachment 2994759

Yani wamepigwa kipapai wamebaki kuduwaa qdadeki maswali mengi majibu hakuna. Mpaka mda huu ubao wa matokeo unasoma Israel - 65 Iran - 1
Sasa hivi kila watakachosema kinachukuliwa kwa uzito mkubwa,to make things simple hawakurupuki kutishia vitu but I’m sure 100% watajibu mashambulizi na watajua nini kimetokea hawa jamaa wapo smart sn sema km unashabikia magharibi hutawaelewa kamwe
 
Peace,

Yani helcopter 3 zinasafiri katika ukungu ulioripotiwa na wataalamu wa anga na aviation kua "dhaifu na wa kawaida" alafu 1 kati ya chopa 3 inaanguka. Na tena inayoanguka ni "chopa ya rais" na nyingine zinaendelea na safari huku mawasiliano ya chopa zote 3 yakifanyika "muda wote" na kwamba hali ni shwari.

Hata baada ya kufika chopa mbili na kushtuka ya rais haipo bado mawasiliano ya chopa ya rais yanaendelea kuripot kua wako "salama"

Wavaa kobazi hawataki kuamini kilichotokea wamengangani "ni ajali ya kawaida" na huo ndio ugwiji wa ujasusi unawatwanga watu kipapai wanabaki na nadharia za fikra finyu ila kwa watu makini wanajua kilichofanyika ni kazi "makini" isiyoacha doa.

That was an obvious well calculated job na hali ya hewa "ikatumika vema" ikumbukwe Israel ilitoa taarifa ya kufa kwa rais wa Iran masaa matatu kabla ya Iran kuwa na taarifa na kuriport chochote.
View attachment 2994759

Yani wamepigwa kipapai wamebaki kuduwaa qdadeki maswali mengi majibu hakuna. Mpaka mda huu ubao wa matokeo unasoma Israel - 65 Iran - 1
Yani waswahili tunalaana umeshatengeza Habari yako, what a shame. Vyombo vya Habari vinesema hali ikuwa mbaya sana hata vyombo vya uokozi vilipata shida kutafuta eneo la ajali. Hata ukiangalia Habari hali hela bi mbaya sana hata waokoaji wanapata shida kutoa miili. Wewe unasema watalaam wanasema hali hela haikuwa mbaya jmkiivyo sijui Habari umetoa waoi
 
Back
Top Bottom