KING ASSENGA
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 928
- 1,478
Mazishi ni leo leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hali yahewa chafu yakutengenezwa semeni sasa
Wanasema ni ya kawaida sababu hawakumpenda Rais Raisi. Alikuwa anawashughulikia mwanzo mwisho. Na waliogopa kama ikajatokea akawa ndio boss kubwa.sasa wenyewe wairan wanasema ajali hiyo ni ya kawaida,alafu wanatokea watu kutoka kasurandumwi wanasema muisrael ndy kafanya yake 😄
Aise
Ova
Alitoa spichi Kali sana kuhusu Irael alipokuwa huko Azerbaijan,kuna wasiwasi kuwa Urusi pia anaweza kuwa na mkono wake ili kuchochea vita kusambaa mashariki ya kati kwa lengo la kuwakomoa wamagharibi.Peace,
Yani helcopter 3 zinasafiri katika ukungu ulioripotiwa na wataalamu wa anga na aviation kua "dhaifu na wa kawaida" alafu 1 kati ya chopa 3 inaanguka. Na tena inayoanguka ni "chopa ya rais" na nyingine zinaendelea na safari huku mawasiliano ya chopa zote 3 yakifanyika "muda wote" na kwamba hali ni shwari.
Hata baada ya kufika chopa mbili na kushtuka ya rais haipo bado mawasiliano ya chopa ya rais yanaendelea kuripot kua wako "salama"
Wavaa kobazi hawataki kuamini kilichotokea wamengangani "ni ajali ya kawaida" na huo ndio ugwiji wa ujasusi unawatwanga watu kipapai wanabaki na nadharia za fikra finyu ila kwa watu makini wanajua kilichofanyika ni kazi "makini" isiyoacha doa.
That was an obvious well calculated job na hali ya hewa "ikatumika vema" ikumbukwe Israel ilitoa taarifa ya kufa kwa rais wa Iran masaa matatu kabla ya Iran kuwa na taarifa na kuriport chochote.
View attachment 2994759
Yani wamepigwa kipapai wamebaki kuduwaa qdadeki maswali mengi majibu hakuna. Mpaka mda huu ubao wa matokeo unasoma Israel - 65 Iran - 1
Unaweza kukuta makamanda walimchorea dili. Ulimwengu wa biashara huu. Everything is for sale but for the right priceAlikuwa na makamanda ujue?😎
MmefyozwaKwahiyo wewe hujawai kuona wala kusikia kuwa mnaweza kuongozana hata watu 4, gari ikaacha njia ikagonga wote akabaki mmoja au ikagonga mmoja wakabaki wote? hivi kwanini mnaamua kulazimisha mambo wakati mazingira yanakubali kuwa kwa hali ile ajali inaweza tokea bila tabu
😁 which means walikuwa wanai monitor toka ilipopaa angani.Putin anabaki kuwa best president kwenye ku deal na maadui zake huyo raisi wa Iran hakuiva kwenye ujasusi unajua una maadui bado unapanda ndege kiholela holela alipewa ikulu bado hajaiva.
wenzao wanakwambia much more is coming. ayatola anatafutwa.Peace,
Yani helcopter 3 zinasafiri katika ukungu ulioripotiwa na wataalamu wa anga na aviation kua "dhaifu na wa kawaida" alafu 1 kati ya chopa 3 inaanguka. Na tena inayoanguka ni "chopa ya rais" na nyingine zinaendelea na safari huku mawasiliano ya chopa zote 3 yakifanyika "muda wote" na kwamba hali ni shwari.
Hata baada ya kufika chopa mbili na kushtuka ya rais haipo bado mawasiliano ya chopa ya rais yanaendelea kuripot kua wako "salama"
Wavaa kobazi hawataki kuamini kilichotokea wamengangani "ni ajali ya kawaida" na huo ndio ugwiji wa ujasusi unawatwanga watu kipapai wanabaki na nadharia za fikra finyu ila kwa watu makini wanajua kilichofanyika ni kazi "makini" isiyoacha doa.
That was an obvious well calculated job na hali ya hewa "ikatumika vema" ikumbukwe Israel ilitoa taarifa ya kufa kwa rais wa Iran masaa matatu kabla ya Iran kuwa na taarifa na kuriport chochote.
View attachment 2994759
Yani wamepigwa kipapai wamebaki kuduwaa qdadeki maswali mengi majibu hakuna. Mpaka mda huu ubao wa matokeo unasoma Israel - 65 Iran - 1
Sasa si wangemkamata Sinwar pale Gaza ,watu mnatengeneza nadharia yaaniHamna bana wayahudi wateule wamefanya yao.
Hahaaaa ndege ya kimarekani ila ndani inaequipment nyingi ambazo ni reverse engineer za kilocally yaani huwezi kumpandisha helicopter yeye usalama hafifu raisi wa nchi yaani itengenezwe mwaka 70 hadi leo iwe hewani bila good maintance ni impossible na huku watu wanasanctions, sema uzuri wa iran wao watasimama wanajikunguta mavumbi wanasonga mbele multipolar world order is a reality.Kibaya ndege ilikuwa ni ya kimarekani
😁 which means walikuwa wanai monitor toka ilipopaa angani.
Iran na ujanja wao wa Drone kweli walishindwa kuwa na helicopter binafsi. Imenishangaza sana bora wangeazima kwa Mrusi.Hahaaaa ndege ya kimarekani ila ndani inaequipment nyingi ambazo ni reverse engineer huwezi kumpandisha helicopter yeye usalama hafifu raisi wa nchi