Iran: Wanafunzi Vyuo Vikuu na Sekondari wachachamaa kupinga udhalimu wa kidini, huku serikali ikilaumu Marekani na Israel

Iran: Wanafunzi Vyuo Vikuu na Sekondari wachachamaa kupinga udhalimu wa kidini, huku serikali ikilaumu Marekani na Israel

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Badala ya rais na mayatollah wasklize wananchi wao, wameamua kulaumu Marekani na Israel.....

DUBAI, United Arab Emirates (AP) — Iranian President Ebrahim Raisi on Tuesday appealed for national unity and tried to allay anger against the country’s rulers, even as the anti-government protests that have engulfed the country for weeks continued to spread to universities and high schools.

Raisi acknowledged that the Islamic Republic had “weaknesses and shortcomings,” but repeated the official line that the unrest sparked last month by the death of a 22-year-old woman in the custody of the country’s morality police was nothing short of a plot by Iran’s enemies.

“Today the country’s determination is aimed at cooperation to reduce people’s problems,” he told a parliament session. “Unity and national integrity are necessities that render our enemy hopeless.”

His claims echoed those of Iran’s supreme leader Ayatollah Ali Khamenei, who blamed the United States and Israel, the country’s adversaries, for inciting the unrest in his first remarks on the nationwide protests on Monday. It's a familiar tactic for Iran's leaders, who have remained mistrustful of Western influence since the 1979 Islamic Revolution and commonly blame domestic problems on foreign enemies without offering evidence.

MSN
 
Ni upuuzi sana. Lakin ndo hulka na tabia za udikiteta. Hawataki kusikiliza kero za wananchi wao wanajiona miungu watu. Na kwenye hili swala mtu mwenye akili Hawa watu Wana sabubu za msingi ila kutokana na tabia ya udikiteta atasingizia USA.

Kwenye sheria kandamizi mara zote hua Zina mwisho wake. Na mara nyingi wananchi hua na maumivu makalio sana ila viongozi huziba pamba masikio. Sasa hua wanatafuta la kuanzia. Ikipaitikana nafasi ndogo tu ndo hua inaanzia hapo. Hua kama wanawavizia vile. Na wa kulianzisha ndo hua kunakua na mziki. Ila akishapatikana basi
 
Hii tabia ya kuwalaumu watu kila siku ni uzembe wa grade A kama Magu nae kila siku mabeberu but no evidences

Waangalie kinachosemwa kama kweli kipo wajirekebishe

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Sa Marehem mzazi wa mtu amepumzika kaburini kwake toka mwaka Jana wewe mpaka leo bado unateseka nae.

Hivi ndo baba ako awe anasemwa hivi mpaka leo ungejiskiaje Mbwa mkubwa wewee.
 
Wawa ambie tu, anayetaka kuvaa hijabu avae asiyetaka aache.

Kwanza katika Sharia za Kiislamu hakuna panapo hukumu adhabu ya kuto kuvaa hijabu.

Ni kama kuto hudhuria swala, au kufunga ramadhani au kuhiji maka au kutoa dhaka.

Na qurani yao inasema wazi hakuna kulazimishana kwenye mambo ya dini.

2: 256 - Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.

Kulazimisha wasichana warembo kuvaa hijabu, yaani kuwafuni sura zao nzuri na za kuvutia ni UDICTETA ULIOPITILIZA na ni dhambi kubwa sana.

Dini ya Kiislamu haitaki kabisa huo ujinga.

Wanakengeuka namna gani hawa viongozi uchwala.
 
Mambo ya kidini ni mtu na muumba wake..mana yeue ndiye muhukumu wa haki..watu waelimishwe tu na sio kuwalazimisha.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Aiseee huko Iran kinadada wameamua hijab zinavuliwa kama hawana akili nzuri,Death to America Leo imekua "DEATH TO THE DICTATOR"

Tukelele utu atuwezi angusha utawala wa Ayatollah
 
Back
Top Bottom