Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
- Thread starter
- #101
Haya maandishi Yako yanaonyesha una elimu mbalimbali 🤣🤣USA wanajua kutumia akili za wajinga kwa kufanya vita isipigane Nchini kwao
Mfano: WAISRAEL wamejiona wajanja kwa kuwekewa kituo cha kijeshi na Maraekani kumbe Marekani inawaona WAJINGA kwa kukubali vita yoyote ya ukanda wa middle East kupigwa Israel badala ya kupigwa Marekani....
Ndio sababu husikii hata siku moja Marekani imepigwa; kwani inatumia akili za wajinga kuweka vituo vyake ili vita ipigiwe huko mbali kwenye vituo na sio nchini kwake....