Iran wanaonea Bahrain na Kuwait, mbona hawagusi Kambi ya Marekani iliyopo Israel? Wanawaogopa Israel?

Haya maandishi Yako yanaonyesha una elimu mbalimbali 🀣🀣
 
Kwa nini Iran inapiga makombora Jordan lakini wanaokufa ni wanajeshi wa marekani?πŸ˜πŸ˜€πŸ€£πŸ˜€
Agano la kale linasemaje kuhusu hii nadharia?
 
Kwa hiyo kumbe anashambulia kambi kulingana na ukubwa? Iran walisema yoyote atayeshirikiana na marekani basi wataishambulia, Mbona kwa Israel maelezo yanakua mengi mengi sana?🀣
Kwa nini Iran inapiga makombora Jordan lakini wanaokufa ni wanajeshi wa marekani?πŸ˜πŸ˜€πŸ€£πŸ˜€
Agano la kale linasemaje kuhusu hii nadharia?
 
Haya maandishi Yako yanaonyesha una elimu mbalimbali 🀣🀣
Kwa nini Iran inapiga makombora Jordan lakini wanaokufa ni wanajeshi wa marekani?πŸ˜πŸ˜€πŸ€£πŸ˜€
Agano la kale linasemaje kuhusu hii nadharia?
 
Kwa nini Iran inapiga makombora Jordan lakini wanaokufa ni wanajeshi wa marekani?πŸ˜πŸ˜€πŸ€£πŸ˜€
Agano la kale linasemaje kuhusu hii nadharia?
Mtu kula samaki sio habari, ila samaki kuliwa na mtu ndio habari
 
Kwa nini nchi masikini zaidi duniani zipo kusini mwa jangwa ala sahala na 80% ya population yake ni wakristo?
Kwa nini Zanzibar Ina WAISLAM 99% na rasilimali zake za mafuta na gesi,sil Mali ya muungano na rais mzanzibar yupo hapa anatawala na anauza migodi na rasilimali za bara kama mbuga ya kwa bei ya kutupa?,huku per capital ya Zanzibar ikiwa ni $2500 huku ya Tanganyika ikiwa ni $1200
Kwa nini ISLAMIC REPUBLIC OF IRAN na ISLAMIC REPUBLIC OF AFGHANISTAN wanamiliki rasilimali zao,100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…