Iran wanaweza juta kwa hili maana mapato yao yanategemea meli kutoka na kuingia kupitia hormuz, Marekani wataufunga tena

Naona ayatollah Khamenei akiwa hai
Ulisema utawala wa Ayatollah ungeanguka ndani ya saa 48 kiko wapi. Khamenei alikufa ila kawa replaced na khamenei na wameanza alipoishia.

Mmefeli kupindua nchi sasa mjadala umebakia Hormuz as If ilikua ndio malengo ya vita.

NB uliahidi pia kuwa kama Mdee na covid 19 wangefukuzwa chadema ungeondoka JF milele. Ni lini utatimiza ahadi yako baada ya uchambuzi wako uchwara kufeli?
 
Huyo mzee ni muongo asiye na kumbukumbu.
 
Huwa unajiaibisha Sana mkuu, we endelea Tu na mada zako za mama Samia

Iran ipo kwenye vikwazo miaka kama 50 sasa na kwa kiasi kikubwa marafiki zake ni China na Urusi, ukiweza Ku block Iran asiwasiliane na hao watu basi uta block Iran.

Urusi na Iran wanawasiliana kupitia Bahari ya Caspian, ni kibahari chao kidogo kinachounganisha Azerbaijan, Iran, Urusi, Kazakhstan etc
View attachment 3574955
Kutoka Urusi Iran hupata vyakula, Dawa etc so Iran sio lazima Atumie Bandar Abbas kukifungwa huko ana bahari nyengine ambayo ipo safe na anaweza kutengeneza Trade corridor baina yake na Urusi/China.

Hormuz ni Muhimu kwa Nchi nyengine Duniani kuliko Iran wenyewe, ndio maana anafunga anavyotaka na kufungua anavyotaka, Iran ana control kote Hormuz na bab Al mandab ambayo ni mifereji Muhimu zaidi kupitisha mafuta na bidhaa nyengine kwenda nchi mbalimbali Duniani.

Pia sahihisha kauli yako, aliefunga Hormuz ni Iran sio Marekani.

tanzagiza kuna caspian company pia, labda ni jina tu kampuni ilijipea na halina uhusiano wowote ule na evil islamic regime of ayatolas , or may be not ..

1776531751413.png
 
kuna ripoti mpya leo kuhusu matukio ya risasi katika Mlango-Bahari wa Hormuz yakihusisha meli za kibiashara.

kinachoripotiwa – Aprili 18, 2026:

1. Risasi zilizopigwa kwenye meli ya mafuta karibu na Oman
  • Shirika la UK Maritime Trade Operations (UKMTO) lilisema meli ya mafuta ilikaribiwa maili 20 za baharini kaskazini-mashariki mwa Oman na boti mbili za bunduki za Islamic Revolutionary Guard Corps ambazo zilifyatua risasi
  • Nahodha wa meli hiyo aliripoti kuwa boti hizo zilifyatua risasi bila kuchokozwa. Meli na wafanyakazi wake wako salama
  • UKMTO pia imethibitisha ripoti nyingine kwamba boti mbili za IRGC zilifyatua risasi kwenye meli ya mafuta takriban maili 20 kaskazini-mashariki mwa Oman

2. Meli ya kibiashara iliyopigwa risasi
  • Meli ya mizigo pia ilipigwa risasi, kulingana na chanzo cha usalama wa baharini
  • Angalau meli mbili za kibiashara zilisema zilipigwa risasi zilipojaribu kuvuka Mlango-Bahari siku ya Jumamosi
  • UKMTO ilisema ilipokea ripoti kuwa meli ya mizigo ilipigwa na kifaa kisichojulikana katika Mlango-Bahari, takriban maili 25 kaskazini-mashariki mwa Oman

3. Iran yasema Mlango-Bahari umefungwa tena
  • Jeshi la Wanamaji la Iran limekuwa likitangaza kwenye redio ya VHF kuwaambia meli kwamba Mlango-Bahari wa Hormuz 'umefungwa kabisa tena'
  • Ujumbe wa redio: 'Hakuna chombo cha aina yoyote au taifa lolote kinachoruhusiwa kupita Mlango-Bahari wa Hormuz'
  • Hii inajiri baada ya Iran kusema ilifungua tena mlango-bahari huo Ijumaa, kisha ikaweka tena udhibiti mkali wa kijeshi

Muktadha:
Mlango-Bahari wa Hormuz unapitisha takriban 20% ya mafuta na gesi asilia ya kimiminika duniani. Walinzi wa Mapinduzi wa Iran wameonya kuwa meli yoyote itakayopita itashambuliwa. Mamia ya meli na wafanyakazi ∼20,000 kwa sasa wamekwama katika Ghuba wanasubiri kupita.

Hali hii inaendelea huku vikosi vya Marekani na Iran vikielekea kugongana baada ya Marekani kuongoza vizuizi vya majini.

Je, ungependa nifuatilie taarifa za meli maalum au hali ya Mlango-Bahari?"

Kaa Karibu na

Britanicca Encyclopedia

Mbulula wewe kaa kimya

1776536383738.png
 
Dunia nzima itaathirika na hili sio Iran pekee.
 
Watu ni wakali sana Iran ikiongelewa, ila sasa unajiuliza inakuaje viongozi wa juu karibia 90% wameuliwa na adui bila adui kuuliwa wao viongozi wao?

Yaani kwa mauaji viongozi wa Iran yaliyofanywa na Israel na USA bado watu hawaamini kuwa Iran ipo uchi wanawezwa kufanywa chochote wakati wowote?

Mapenzi ni mabaya sana.
 
Njaa haina adabu.!
Kweli itakuwa njaaa tunakumbuka hata Mwenyekiti wetu ndugu mh Lissu. kuna siku kwasababu ya njaaa Mahakama iligeuka nyumba ya Msiba!!

kwa kilio cha nguvu kutoka kwa kinamama wa Bawacha nk.

Kilio chao kikuu kilikuwa kuakikisha kitambi cha mwenyekiti kinakuwa full kishibe njaa weka mbali na Kitambi!!!!🤣🤣🤣🤣
 
Yaani Marekani wameua viongozi wa juu wa Iran karibia wote

Na wanaingia Hadi Iran kuchukua mwanajeshi alieanguka Kwa ndege zaidi ya masaa 24 wanapiga operation bila kukamatwa

Ila Kuna mtu Yuko Vwawa Mbozi au Kasulu vijijini anasema Marekani ni nchi imejichokea😃😃😃

Aliefanikiwa kumuwekea muafrica Dini alimuweza
 
Ni upumbavu zaidi kutokujua objective za vita husika ficha ujinga wako

Kwahiyo kwa sasa iran haina tena viongozi wala jeshi😀
 
Watu ni wakali sana Iran ikiongelewa, ila sasa unajiuliza inakuaje viongozi wa juu karibia 90% wameuliwa na adui bila adui kuuliwa wao viongozi wao?

Yaani kwa mauaji viongozi wa Iran yaliyofanywa na Israel na USA bado watu hawaamini kuwa Iran ipo uchi wanawezwa kufanywa chochote wakati wowote?

Mapenzi ni mabaya sana.
Embu ficha ujinga wako basi. Kwahiyo kuua viongozi ndio ushindi??
Kama kuua viongozi ndio kila kitu kwanini hadi sasa Iran haijaanguka?
Hao Israel na Marekani unaowasifia viongozi wao wamejificha tena wengine wa Israel wamekimbilia Ujerumani na Cyprus. Hata Kiryat Shmona Mayor wao alikimbia nchi kabisa. Hao viongozi wa Iran wangekua wanajificha kama waIsrael basi asingeuawa hata mmoja. Maana wameuawa hadharani wakiwa wanaendesha vita. Hapo inakupa tafsiri gani kwa wewe!?
 
Hapo ndio unapojiaribia week kesho itaenda miez 6 ulitabir saa 48 Leo miez 4 vita hapiganwi kwa kauli na ahad mkuu
Njaa ule mlango unawaingizia sana pesa sasa Marekani wao wameamua kuudhibiti na week kesho haipiti mtu atapata kipigo cha mbwa Mwitu
o o
 
Kweli unaweweseka kama kuku mwenye kideri..!
Haujui hata kama Iran hategemei huo mlango kwenye uchumi wake..!
Sasa ngoja tukujuze.!
Huo mlango wa Hormuz ni kwa ajili ya mataifa mengine wala Iran hana sana faida nayo..!!
Rudi kwenye uganga wa kienyeji na tabiri zako uchwara..
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom