Iran wanaweza juta kwa hili maana mapato yao yanategemea meli kutoka na kuingia kupitia hormuz, Marekani wataufunga tena

Iran wanaweza juta kwa hili maana mapato yao yanategemea meli kutoka na kuingia kupitia hormuz, Marekani wataufunga tena

Sawa Mimi naitwa Baba mwajuma ila wewe ambaye unajiita jina usilolijua na kujiona mjanja mwenywe.

Kukusaidia.

Britanicca maana yake ni British kwa kilatin ikionesha female affection britani-cca so ni jina la kike, kama wewe sio bi dada basi ni Mwanaume unayejiita jina la kike bila kujua.

Kwa Mwanaume unatakiwa ujiite Britaniccus ndio masculine form ya Hilo jina.

View attachment 3574966
Mnajifanya wazungu wenyewe na Kuacha asili zenu badala yake ndio kama hivi kujiaibisha.
Huwenda ni ***** who knows 🤣🤣
 
Ule utabiri wako wa saa 48 kuhusu kuanguka kwa utawala wa Iran ulifeli, badal ya kujifunza kutoka pale unaendelea na utamaduni wa kutabiri yasiyowezekana.
Huyo jamaa ana kideri Seems anapenda sana tension
 
Hizi stori uchwara kasimulie wajukuu zako, kama watakuwa wapumbavu kama wewe.


Hivi kwenye ukimwengu wa taarifa, jitu linachaguaje kuwa bogus namna hii.

Iran yuko kwenye vikwazo miaka kibao, alikuwa anaishi vipi??


Marekani siyo DUNIA. DUNIA ni kubwa kuliko Marekani.
Muue 😄

Kwenye hili Jukwaa anafuata Nini !? Huku sio kwenye Jukwaa la kulishana matango pori , naona anataka kwenda na upepo kadanganya danganya sana watu kule kwenye Jukwaa la siasa na tabiri zake uchwara ambazo hazikuwahi kufanikiwa, so kaona amekosa millage watu wamempuuza now amekuja huku ku- sick attention Kwa kutumia vita ya Iran na Israel+ USA

So At least awe ana spin fact basiii dah !!
 
Ww jamaa hakuna utabili wako wowote ambao ulisha wahi kutimia.
Huyu fala muongo muongo sana huku sio mahala pake arudi Jukwaa la siasa Kwa madunya wenzake
 
Back
Top Bottom