Iran: Watu 36 wajeruhiwa katika maandamano kupinga kifo cha mwanamke ambaye alishikiliwa na polisi kwa kutositiri kichwa

Mkuu lazima ufahamu kwamba Qur-an ndio new revelation ambayo ndani yake kuna hizo habari zooote za hivyo vitabu vinne unavyodai hakuna verse yake ata moja, Quran imezungumzia habari za Taurat, Injil na Zabur. Jitosheleze kuisoma Qur-an vizuri na uifahamu utapata habazi zote za hivyo vitabu vilivyopita ndio maana ya New Revelation.

Lakini pia kumbuka kwamba hakutakuwa na Revelation nyengine ukitoa Qur-an, Quran ndio ya mwisho na hakutakuwa na Mtume mwengine.
 
Msome mtoa mada , kasema uislamu ulianza lini? na wakati kuna madai tofauti na alivyodai
Alafu hivyo vitabu vya waislamu vinatajwa tu viliwahi kuwepo ila hakuna ushahidi ata mstari mmoja ulibaki vyote vilipotea
Embu tuambie toka kitabu cha mwisho kupotea ilimchukua Allah mda gani kuleta Koran?
 
Soma Quran mkuu ndio new revelation utapata habari za hivyo vitabu usijitie pamba za masikio., soma Qur-an
Hiyo interval ya kutoka Mtume hadi Mtume na kuteremshiwa kitabu chake ipo pia nikitulia nitakuambia ni jambo linahitaji reference kidogo
 
Soma Quran mkuu ndio new revelation utapata habari za hivyo vitabu usijitie pamba za masikio., soma Qur-an
Hiyo interval ya kutoka Mtume hadi Mtume na kuteremshiwa kitabu chake ipo pia nikitulia nitakuambia ni jambo linahitaji reference kidogo
Koran nimesoma sana
Vitabu vya waislamu wa kabla ya Muhammad vilipotea , swali rahis sana toka kitabu cha mwisho kupotea allah alikaa mda gani ndio akaleta kingine?
Na ni kina nani walihusika kupoteza vitabu vya Allah?
 
Koran nimesoma sana
Vitabu vya waislamu wa kabla ya Muhammad vilipotea , swali rahis sana toka kitabu cha mwisho kupotea allah alikaa mda gani ndio akaleta kingine?
Na ni kina nani walihusika kupoteza vitabu vya Allah?
Hujasoma Qur-an mkuu na kama umesoma hukuifahamu usingekuja na maswali haya., nilikuambia kuhusu yaliyomo katika Quran ni pamoja na Mitume iliyopita na vitabu vyao vyote, nikakwambia Quran ndio New Revelation lakini bado hujataka kuituma akili yako na kuifahamu Quran.

Huko kwenye biblia yenu si muna agano jipya na la kale, sasa kama kuna jipya lile kongwe ni la nini tena na kila kimo kwenye agano jipya??? ni mfano tu nakupa maana ya new revelation
 
Kama umeshindwa maswali yangu sema umeshindwa ,usiandike mashahiri

Maswali
Toka kitabu cha mwisho kupotea allah alikaa mda gani ndio akaleta kingine?
Na ni kina nani walihusika kupoteza vitabu vya Allah?
 
Kuna mtume na nabii mwamposa vipi unalizungumziaje hili..

Acha kukaza fuvu hilo..njoo jpl ukanyage mafuta na ule keki ya upako mapepo yakutoke.

Karibu sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hivyo vitabu vya mchongo tu, Adam, mussa wala sijui nani ni hadithi za kubunibuni tu hazina mbele wala nyuma, We Mungu gani hawezi kujipigania mpaka mkalipue watu kumpigania, mnachinja wasioitaka dini yenu kumpigania!! Mungu hapiganiwi anajipigania ana uwezo mkubwa, sio hiyo habari ya mavitabu yenu yaliyoletwa kwenye majahazi.
 
Kuna mtume na nabii mwamposa vipi unalizungumziaje hili..

Acha kukaza fuvu hilo..njoo jpl ukanyage mafuta na ule keki ya upako mapepo yakutoke.

Karibu sana.

#MaendeleoHayanaChama
Mwamposa anaganga njaa utume kapewa na nani? kama huna hoja za maana bora tuishie hapa
 
Kama DINI haitamuingiza mtu huko mbinguni!Unaonaje sasa uende ukaufunue uchi wa mzazi wako kwa matamanio tuone kama ndiyo utaingia mbinguni.Kwa maana ni dini pekee ndiyo zimezuia mtu kuufunua uchi wa wazazi wao na atakaye fanya kinyume na katazo hilo,hasira ya Mwenyezi Mungu itakuwa juu yake.
 
Na yeye amekutaka u-reason ndani ya misingi yake na siyo utakavyo wewe.

Kwa hivyo huo uzombi wa kujilipua mabomu ndio misingi ya allah wenu, huyu dada mumemuua kisa nywele zake na kichwa chake vitu ambavyo hamkuviumba, mna matendo ya kijinga kumzidi shetwan
 
Wingi wa nyumbu kwenye hifadhi hakuwafanyi kuwa wafalme wa mwitu.
Na ndiyo maana aliyekiuka sheria na kanuni,alikamatwa na kupewa adhabu kisha akifia mahabusu.Na wale waliojaribu kuandamana wamekula kibano pia.
 
Ukisikia neno KUTAMBULISHWA wewe unaelewa nini?.
 
Neno KUANZA na neno KUTAMBULISHWA,ni maneno yenye maana moja?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…