Iran: Watu 36 wajeruhiwa katika maandamano kupinga kifo cha mwanamke ambaye alishikiliwa na polisi kwa kutositiri kichwa

Sasa wewe uliyetokana na SOKWE!Unawezaje kujadiliana na tulioumbwa na Mungu?.
Wewe kajadiliane na SOKWE wenzako ndiyo mtaelewana.
 
Kwa hivyo huo uzombi wa kujilipua mabomu ndio misingi ya allah wenu, huyu dada mumemuua kisa nywele zake na kichwa chake vitu ambavyo hamkuviumba, mna matendo ya kijinga kumzidi shetwan
Siyo nywele tu,yaani tafuta kingine kilicho kidogo zaidi ya nywele.Kikikiuka sheria,basi kitamuwajibisha mkiukaji.
Ukitaka ni hivyo,na usipotaka ni hivyo hivyo.
 
Hiyo miongozo hata madikteta wanayo ina mapya gani kiasi cha kuyahusisha na MUNGU?
 

Extremists at the Peak kwanini mtu auliwe kwa choice yake mwenyewe tena ya ushungi? Ni lini Mungu aliomba Binadamu amtetee? Binti wa watu ameibiwa haki yake ya kuishi kindezi.
 
Kila anaye zaliwa ni muislamu,sasa sijui wanawake wote wanazaliwa na headscarf?kweli sheitwani ni baba wa uongo!
 
Uislamu ndio dini pekee ambayo Mungu ametuchagulia na kutupa miongozo ya namna ya kuishi hapa ulimwenguni, na kila jambo lipo katika kitabu kitakatifu.,
Embu nisaidie wapi nakuta hukumu ya mzinzi ndani ya Koran?
 
Siyo nywele tu,yaani tafuta kingine kilicho kidogo zaidi ya nywele.Kikikiuka sheria,basi kitamuwajibisha mkiukaji.
Ukitaka ni hivyo,na usipotaka ni hivyo hivyo.

Na hatutawaacha mpaka huo uzombi wa kidini uwatoke, Iran ni watu wenye akili sana na IQ nzuri, sijui waliingiaje kwenye huo ujinga wa dini ya waarabu, ilipaswa iwe dini ya nyie waswahili na waarabu tu maana imejaa uzombi sana.
 
Leo nimekupa Like mwote ulimo andika.
Hawa jamaa Verse zao zimeharibu ubinadamu wao. Utu wao.

Kwakuwa una hekima ya kutosha hebu soma hapa utaelewa vizuri kuhusu hayo matendo.

Mfano wa kwanza[emoji523]
Katika Kesi aliyopelekewa Nabii Suleimani.

Mama aliyesingizia kuwa yule alikuwa mtoto wake, alikubali yule mtoto achinjwe na Mfalme Suleimani ili wote wakose mtoto.

Mama mwenye mtoto alikuwa na upendo wa dhati kwa mtoto wake. Alikataa mtoto wake kuchinjwa na Suleimani.

Akamwambia Mfalme (basi mpe huyo mwenzangu huyo mtoto akamlee)

Mfano wa pili.[emoji526]
Yesu alipelekewa Mwanamke Mzinzi ili auliwe kwa mawe.
Akawaambia waliomleta.

(ambaye anajiona hajafanya dhambi awe wa kwanza kumrushia jiwe)

Wote wakakimbia, Yesu akamwambia mwanamke mzinzi (Nenda usirudie tena vitendo vyako)

Kila jambo unaloliona zuri kwako, hebu jaribu kutumia hata muda mchache kulitafakari kwa umakini bila hisia za ndio ndio.

Kamwe Mzazi hawezi kufurahia kifo cha Mwanawe. Hata kama huyo mwanawe amekosea kwa kiwango kikubwa.

Ukiona Mzazi ana ruhusu na kufurahia kifo cha mwanawe, ujue huyo sio mwanaye, ila anasingizia tu kuwa ni mwanawe ili atimize hila zake.
Kama yule mama wa kesi ya Mfalme Suleimani.

mwenye macho haambiwi tizama.
 
Ha...ha...ha[emoji28][emoji28][emoji28] leo nimecheka kwa mala ya kwamza toka mwaka huu umeanza.
Sio kicheko cha furaha bali cha huzuni nyingi.

Kufurahia kumwaga damu ya Binadamu mwenzako ambaye hujamleta duniani na wala hajakufanyia tendo lolote baya wewe kama wewe ni kicheko cha huzuni kuu.
 
Kwel makafir hawana akili Sasa ttz litokee Iran wewe utukane uislam mzima hivii imekaaje hii?
 
hizo dini daah...

Utakuta mtu yuko busy kumtetea huyo Mungu kwa kila namna, wakati huo huo akishiba makande utaskia '' Mungu wetu hashindwi kwa lolote"
Twende taratibu mkuu, dini imeagiza anaekaa kichwa wazi auawe? Kuhusu watuhumiwa kuuawa vituo vya polisi bongo inaongoza mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…