Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Kuna mmakonde mmoja atakuja kukubishiaIran wanaamini sana katika kuuana kwa makosa ya kawaida yaani wao wamejipa hati miliki ya kuua raia wao kwa kisingizio cha Dini niliona huko walikomzika huyo dada wanawake karibu wote walitoa hijabu wakishinikiza nao wauliwe...wanamuuzia Mrusi drone ili auwe huko Ukraine harafu wapo busy kusimamia mistari ya uongo tuu..
Uhuni wako mwenyewe ndiyo umekusababishia hayo. Ungetulia nyumbani usingeyapata hayoNa hao wanaofunika kichwa ndo mmoja wao kanipa gonno hapa naugulia
Kwani si ndio mnajinasibu ni ndugu zenu..haya ndugu zenu wameua huko...kisa hijabu.Kwel makafir hawana akili Sasa ttz litokee Iran wewe utukane uislam mzima hivii imekaaje hii?
Hiyo yoote ni sababu ya hulka za uzinzina sio imani za kidini kama wanavyo aminisha watu. Madikiteta wengi hutumia dini kama ulevi kuwadhulmu wananchi wao. Viongozi wa dini( wengi matapeli) huungana na serikali dhalimu ktk kutengeneza uraibu huo wa kidini.Mataifa yanayoongozwa kidini huwa kama mazombi vile, mwanamke anauawa kisa tu hakufunika kichwa, watu wamejeruhiwa kwenye maandamano ya kupinga mauaji hayo.
======
At least 36 people have been injured in the Kurdistan Region of Iran, in the northwest of the country, during protests sparked by the death of a Kurdish woman, Mahsa Amini, who died shortly after being arrested in Tehran for not wearing the Islamic headscarf or hijab properly.
The director of the Hengaw Human Rights Organization, Arsalan Yarahmedi, reported the number of wounded in declarations to the Kurdish-Iraqi television Rudaw and explained that five of the injured "are in critical condition and need surgery". These are individuals injured in Saghez, Amini's hometown, who have been hospitalized in Tabriz.
Hengaw, an organization dedicated to documenting human rights violations in the Kurdish region of Iran using local sources, has warned that some of the injured have not gone to health centers for fear of being arrested for participating in the protests.
Kurdish opposition parties have called a general strike for Monday in Rojhelat, eastern or Iranian Kurdistan, to protest Amini's death.
Amini was buried on Saturday in her home town of Aychi in the Saghez region of Iranian Kurdistan, and the event turned into a protest rally that was broken up by police using tear gas.
On the same day, protests were held in Sanandaj with slogans such as "Death to the dictator!" or "Death to Khamenei!", in reference to the supreme leader of the Islamic Republic, Ayatollah Ali Khamenei, according to the Saudi channel Al Arabiya.
The demonstrators also tore down a poster in memory of Qasem Soleimani, a senior Iranian Revolutionary Guards commander killed in Iraq in a U.S. attack, according to videos posted on social networks.
"Saghez is not alone!" they have also shouted in reference to Amini's home region. In that locality on Friday there were mobilizations and some women removed the hijab as a gesture of protest.
Bila USA dunia ingekuwa kama jehanamuLa kumshukuru MUNGU, ni kuwa kilanja wa dunia ni USA, La sivyo dunia hii ingekuwa sehemu hatari sana.
😅😅😅ni tamaa za uzinzi tu eti akiona Nywele za mwanamke anamtamaniHivi kweli Mungu aache kufanya shughuli zake za msingi afuatilie kwanini fulani hajafunika kichwa? Kweli? Embu tumpe Mungu heshima na utukufu wake.
😅😅😅hizo dini daah...
Utakuta mtu yuko busy kumtetea huyo Mungu kwa kila namna, wakati huo huo akishiba makande utaskia '' Mungu wetu hashindwi kwa lolote"
Hawa wakalidayo ni watu waovu toka zamani kabla na baada ya Yesu na Mtume Muhamad. Ni watu wa hovyo sana. Wanaabudu mizimu tu toka enzi na enzi.Mataifa yanayoongozwa kidini huwa kama mazombi vile, mwanamke anauawa kisa tu hakufunika kichwa, watu wamejeruhiwa kwenye maandamano ya kupinga mauaji hayo.
======
At least 36 people have been injured in the Kurdistan Region of Iran, in the northwest of the country, during protests sparked by the death of a Kurdish woman, Mahsa Amini, who died shortly after being arrested in Tehran for not wearing the Islamic headscarf or hijab properly.
The director of the Hengaw Human Rights Organization, Arsalan Yarahmedi, reported the number of wounded in declarations to the Kurdish-Iraqi television Rudaw and explained that five of the injured "are in critical condition and need surgery". These are individuals injured in Saghez, Amini's hometown, who have been hospitalized in Tabriz.
Hengaw, an organization dedicated to documenting human rights violations in the Kurdish region of Iran using local sources, has warned that some of the injured have not gone to health centers for fear of being arrested for participating in the protests.
Kurdish opposition parties have called a general strike for Monday in Rojhelat, eastern or Iranian Kurdistan, to protest Amini's death.
Amini was buried on Saturday in her home town of Aychi in the Saghez region of Iranian Kurdistan, and the event turned into a protest rally that was broken up by police using tear gas.
On the same day, protests were held in Sanandaj with slogans such as "Death to the dictator!" or "Death to Khamenei!", in reference to the supreme leader of the Islamic Republic, Ayatollah Ali Khamenei, according to the Saudi channel Al Arabiya.
The demonstrators also tore down a poster in memory of Qasem Soleimani, a senior Iranian Revolutionary Guards commander killed in Iraq in a U.S. attack, according to videos posted on social networks.
"Saghez is not alone!" they have also shouted in reference to Amini's home region. In that locality on Friday there were mobilizations and some women removed the hijab as a gesture of protest.
Mbona hapa umejijibu vizuri sana. Umesema hasira ya Mungu itawaka juu yake. Sasa kwanini wasiache hii hasira ya Mungu iwake juu ya Binti. Nyie mnamuua tuKama DINI haitamuingiza mtu huko mbinguni!Unaonaje sasa uende ukaufunue uchi wa mzazi wako kwa matamanio tuone kama ndiyo utaingia mbinguni.Kwa maana ni dini pekee ndiyo zimezuia mtu kuufunua uchi wa wazazi wao na atakaye fanya kinyume na katazo hilo,hasira ya Mwenyezi Mungu itakuwa juu yake.
Mbona hapa umejijibu vizuri sana. Umesema hasira ya Mungu itawaka juu yake. Sasa kwanini wasiache hii hasira ya Mungu iwake juu ya Binti. Nyie mnamuua tu
Uhuni wako mwenyewe ndiyo umekusababishia hayo. Ungetulia nyumbani usingeyapata hayo
Dhamira tu inakukataza na dhamira ilikuwepo kabla hata ya hizo dini mnazoabudu na kuona ni kubwa kumshinda hata Mungu mwenyewe. Very hopeless.Kama DINI haitamuingiza mtu huko mbinguni!Unaonaje sasa uende ukaufunue uchi wa mzazi wako kwa matamanio tuone kama ndiyo utaingia mbinguni.Kwa maana ni dini pekee ndiyo zimezuia mtu kuufunua uchi wa wazazi wao na atakaye fanya kinyume na katazo hilo,hasira ya Mwenyezi Mungu itakuwa juu yake.
Ndiyo uhuni wenyewe niliyokwambia halafu ukabishia.Afu t*ndu ungenipa wewe au haya njoo nipe
[emoji817] percentKuna shida mahali Acha tu nikae kimya.
Tunachozumgumzia hapa ni sheria ya kiislamu ndo iliyotumika hapa kupoteza maisha ya huyu binti.Kwel makafir hawana akili Sasa ttz litokee Iran wewe utukane uislam mzima hivii imekaaje hii?
They are not happy everywhereSaudi chaneli inatangaza kwa mzuka mwingi hii habari njema (kwa Mamlaka za Saudi) juu ya haya maandamano ya kuipinga serikali na Khomeini. Ulimwengu wa Waarabu ni mgumu sana.