Akli za kipuuzi sana unamshambulia mtu halafa unampangia namna ya kujibu😂Uzuri muda si mrefu majibu yatapatikana, kuna mmoja anajipigia tu makombora bila kuathiri uwezo wala kuua makamanda, Mwingine anapiga kwa malengo na kimkakati, kwanza kaua waongoza vita tegemezi, kisha kaua mfumo wa kulinda anga, sasa anashambulia mifumo inayorusha makombora
Kurushwa hovyo tafsiri yake ni kuona damages kwenye military assets ili kupungua uwezo wa adui kukufikia, bahati mbaya military science ni taaluma niliyo nayo sio ushabiki wa kahawa, kuna uwezekanao mkubwa hata chain ya events tangu Syria na mpaka kupandikiza molecules kwenye mifumo yote sensitive ya ulinzi Iran ilikua ni mikakati ya muda mrefu sana. Binafsi sielewi mpaka Majenerali wote wanafyeka how safe are you?, ni sawa nyumba imeingia nyoka na kuna gizaAkli za kipuuzi sana unamshambulia mtu halafa unampangia namna ya kujibu😂
Wewe upo Njombe ndiyo unaona makombora yanarushwa hovyo.
Umeishajiuliza kombora linasafiri Km 1500 linatua sehemu uhusika wewe unasema yanarushwa hovyo.
Mabwana zako ni waoga wanatumia ugaidi kuwavizia viongozi wa Iran.
TAARIFA KUTOKA KWA MAHUSIANO YA UMMA YA JESHI LA IRAN:Mbona leo Iran kimya? Kaishiwa?
"Maisha haya ya dunia kwangu hayana thamani hata ya miwani yangu hii – na damu yetu si ya thamani zaidi kuliko damu ya mashahidi wetu…!"
"Hatutosimamisha vita vyetu dhidi ya adui Mzayuni hadi msikiti wa Al-Aqsa ukombolewe kikamilifu, na hadi askari wa mwisho wa Kizayuni atoke katika ardhi ya Palestina!"
"Kifo au kuuawa shahidi kwa kiongozi mmoja hakutabidili msimamo wa Iran wala kuidhoofisha. Kuna makumi ya maelfu ya makamanda wa kijeshi na maelfu ya wanazuoni vijana – hawa ndio wanaoiendesha Iran, wanaopigana na wanaoongoza mapambano moja kwa moja uwanjani dhidi ya adui Mzayuni"
"Hakuna cha kuogopa kuhusu Iran wala kuhusu mpango wake wa nyuklia – dhidi ya tishio lolote la uvamizi kutoka nje!"
NDO ZAO IRAN WANAKURUSHIA TOYS UNAKUWA BIZE NAZO WANAKUTIA DOLE CHALIIIIGod Bless Iran
zimetumwa kwanza drones kama decoys alafu zile 1000 Fattahs zinakuja