Iran yaanza kukarabati upya kinu cha nyuklia kilichoshambuliwa na Marekani

Iran yaanza kukarabati upya kinu cha nyuklia kilichoshambuliwa na Marekani

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Picha za satelaiti kutoka Maxar Technologies zinaonyesha vifaa vizito vya ujenzi vikifanya kazi katika kituo cha nyuklia cha Fordo nchini Iran mojawapo ya maeneo yaliyoshambuliwa na jeshi la Marekani.

Picha hizo za Juni 29 zinaonyesha magreda na mashine za kubwa za kuchimbua (excavator) zikiendelea na shughuli za kutengeneza barabara mpya ya kuingilia karibu na eneo lililoshambuliwa na mabomu ya Marekani yenye uwezo wa kupenya ardhini (bunker-busting bombs).Katika eneo la chini zaidi limeonekana tingatinga (bulldozer) na lori.

Magari ya ujenzi pia yanafanya kazi kwenye lango la kinu hicho na kwenye jengo lililobomolewa upande wa mashariki wa jengo hilo, yote mawili yaliharibiwa katika mashambulizi ya Israel siku moja baada ya mashambulizi ya Marekani.

Kwa mujibu wa mtaalamu wa silaha za nyuklia, David Albright, ambaye alichambua picha za eneo hilo hilo zilizopigwa Juni 28, kazi hiyo ya ujenzi inaweza kujumuisha kuziba mashimo yaliyotokana na mabomu, kufanya tathmini ya uharibifu wa uhandisi, na kuchukua sampuli za mionzi.

Kufuatia mashambulizi ya Marekani, Rais Donald Trump alisema walikuwa "wameangamiza kabisa" vinu muhimu vya urutubishaji nyuklia vya Iran.

Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki (IAEA), alisema Ijumaa kwamba Iran inaweza kuanza tena urutubishaji wa urani "ndani ya miezi michache
 
Mbona internet mezima wewe muiran mweusi😁😁😁
Internet ipi hiyo imezimwa huko Iran? nyie mnaropoka hovyo sana sidhani kama mnajitambua
 

Attachments

  • Screenshot_20250630-210657.png
    Screenshot_20250630-210657.png
    360.4 KB · Views: 36
Internet ipi hiyo imezimwa huko Iran nyie mnaropoka hovyo sana sidhani kama mnajitambua
Kunywa maji mengi upunguze makasiriko muiran mweusi😁😁😁
Houthi, Hamas, Hezbollah na Iran wote wameshindwa kuifuta Israel😁😁
Wapelekee ndugu zako debe la unga Gaza na siyo kupiga kelele kwenye mitandao ya makafiri😁😁😁
Driver Professional ungeandika kwa kiarabu ingependeza sana. Uache kutumia bidhaa au vifaa vya makafiri na mitandao yao😁😁😁
 
Kunywa maji mengi upunguze makasiriko muiran mweusi😁😁😁
Houthi, Hamas, Hezbollah na Iran wote wameshindwa kuifuta Israel😁😁
Wapelekee ndugu zako debe la unga Gaza na siyo kupiga kelele kwenye mitandao ya makafiri😁😁😁
Hujajibu swali!! au uliropoka tu kama mwehu!
Humu kuna wenye akili mkishajiona ni mazuzu mnatia aibu kwa familia zenu.
 
Hujajibu swali!! au uliropoka tu kama mwehu!
Humu kuna wenye akili mkishajiona ni mazuzu mnatia aibu kwa familia zenu.
Acha kupiga kelele kwenye mitandao ya makafiri.
Makafiri wapo busy kwenye coding, nyie mpo busy kwenye kukariri lugha ya bwana wenu muarabu msomee Quran matokeo yake. Mnatupigia kelele tu humu JF😁😁😁
 
Back
Top Bottom