Iran yaanza kukarabati upya kinu cha nyuklia kilichoshambuliwa na Marekani

Iran yaanza kukarabati upya kinu cha nyuklia kilichoshambuliwa na Marekani

Acha kupiga kelele kwenye mitandao ya makafiri.
Makafiri wapo busy kwenye coding, nyie mpo busy kwenye kukariri lugha ya bwana wenu muarabu msomee Quran matokeo yake. Mnatupigia kelele tu humu JF😁😁😁
Makafiri mnatabu kujifanya wasomi wakati hata toothpick tunaagiza Kwa mabudha china
 
Na sisi kwenye uzalishaji wetu wa Uranium kwa ajili ya umeme tuanze kutafakari na matumizi mengine pia.

Hii kuchelewa chelewa utakuta mwana si wako 😃
 
Makafiri mnatabu kujifanya wasomi wakati hata toothpick tunaagiza Kwa mabudha china
Hii ndiyo shida ya kuwa mfuasi wa mtu asiyejua kusoma na kuandika😁😁
Kumbe mabudha siyo makafiri? Nimecheka kwa sauti mpaka watu wamenishangaa hapa road😁😁 Hongera sana
 
Mgewashauri waache kwanza vita haijaisha wako kwenye cease fire tu.

Cease fire huwa wana pause kwa muda tu kisha wanaanza upya.

AU wao hawakuelewa maana ya cease fire?
 
Mkaguzi wa masuala ya Nyuklia anaomba kuja kukagua maendeleo hayo. Huyu ni yule waliyemtuhumu KUWA Mossad agents
Iran husingizia mtu yeyote wakiona mambo hayaendi vizuri yaani wamekuwa sio waislam ambao huamini kila kitu Allah ndie Anapanga sijui uislam wao upo vipi
 
Kunywa maji mengi upunguze makasiriko muiran mweusi😁😁😁
Houthi, Hamas, Hezbollah na Iran wote wameshindwa kuifuta Israel😁😁
Wapelekee ndugu zako debe la unga Gaza na siyo kupiga kelele kwenye mitandao ya makafiri😁😁😁
Driver Professional ungeandika kwa kiarabu ingependeza sana. Uache kutumia bidhaa au vifaa vya makafiri na mitandao yao😁😁😁
Another innocent neck, carrying a rotten pumpkin head
 
Kwanini nao Iran isijibu kwa kupiga kambi za Wamarekani hukohuko kwao.
Au hawana hiyo mijidege.

Maana haiwezekani mtu toka maili nyingi aje apige kwako, na wewe ujibu kwa kupiga kambi yao ambayo haiko nchi kwao. Na hata waliozuia mabomu ya Iran sio wamarekani ni nchi husika.

Sasa kwanini basi Iran isipeleke vilio USA.??
 
Back
Top Bottom